Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mi mgeni kwenye jukwaa lenu wapendwa ila limenivutia sana nikaona si mbaya kama nitashare nanyi ujuzi na kupata mawazo mapya kuhusu mapishi mbali mbali. Leo wapenzi ningependa muonje uji wa...
11 Reactions
17 Replies
25K Views
Vyuma vimekaza, hii ni njia rahisi ya kupata balanced diet yenye protein. Ni mlo wa mayai mawili. Mods si kuona jukwaa la mapishi. Kata kitunguu, nyanya, hoho, uviweke sehem tofauti kwenye...
11 Reactions
40 Replies
11K Views
Mwenyezi Mungu ametupatia aina lukuki za matunda lakini ukipita mitaani au ukitembelea kwenye nyumba zetu, juice maarufu ni ya Pasheni,Parachichi na embe. katika kusaka maarifa huku na kule...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Wapenzi mie upishi zamani nilikuwa sipendi kabisa ha ha ila sasa ndio nimeanza kuwa na Interest za kupika pika vyakula mbalimbali Ila kuna vitu napenda sana kujua,hasa hapa nilipo tukiagiza Keki...
2 Reactions
5 Replies
10K Views
Heshima kwenu wakuu, Nmegundua kumbe kutengeneza chapati simple sana. Nimetengeneza chapati sikutegemea kama zitakua tamu hivi. Yaani ni tamu balaa.. Nikimpikia mgeni itabidi nimwambie awe makini...
2 Reactions
279 Replies
19K Views
Hii inawahusu sana Wanaume wa Pwani hasa wale wa Daslam! Kweli unaweza ukatoka nyumbani kwako ukaenda kununua Pweza na kumla kweli? Tena kuna wengine wanapeleka zawadi mpaka nyumbani kwao...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa anaejua kutatua tatizo hili,Fridge yangu inachachisha chakula ila kwenye freezer inagandisha vizuri
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Vipimo Vikombe 3 vya unga Kikombe 1 maziwa ya dafudafu (warm) ½ kikombe sukari ½ kikombe maziwa ya unga Mayai 2 Kijiko 1 cha chai baking powder ½ kijiko cha hiliki ya unga 1/3 kikombe mafuta...
5 Reactions
19 Replies
34K Views
TAMBI ZA MIHOGO Mahitaji a) vikombe 3 vya unga wa mihogo b) kikombe 1 ½ cha unga wa soya c) yai 1 d) kijiko 1 cha unga wa curry e) chumvi kiasi kidogo kwa ladha f) maji...
1 Reactions
4 Replies
19K Views
Juisi Ya Mabungo Vipimo: Kupata takriban gilasi 6 Mabungo................................................ 3 Maji....................................................... 6 au 7 Gilasi...
4 Reactions
22 Replies
19K Views
kwa wale wapenzi wa chapati Kama mie Naona mate yashawatoka. Upishi Wa chapati umekua kitendawili kwa warembo wengi sana ila ukishazijulia utakua wazipika kila siku. Leo naja waletea pishi hili...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Hawa ni bata wale wafugwao,kama ilivyo kwa kuku bata hawa pia wanauzwa masokoni na wachinjaji hadi wanyonyoaji wapo huko huko sokoni,wananyonyoa na kukukatia katia nyama vizuri,pesa yako tu...
9 Reactions
33 Replies
12K Views
Naomba msaada wa kuelekezwa utengenezaji wa siagi ya karanga (peanut butter) ntashukulu nikipata msaada wenu. Mahitaji 1)Karanga kg 1/4 2)Asali kijiko 1.5 cha chakula 3)Peanut oil au mafuta...
3 Reactions
28 Replies
42K Views
jamani wana jamvi wa mapishi mim nime jaribu sana kutengeneza peanuts butter lakin kila niki pack kwenye container ina chacha hivi ni kwa nini naomba msaada wenu jamani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi! Binafsi napata tabu sana kumkata kuku vipande vipande, nikimkata nakata hovyo hovyo tu, naomba kuelekezwa jinsi ya kukata vizuri hatua kwa hatua. Asanteni.
0 Reactions
22 Replies
24K Views
Naomba msaada wa software za simu zinaweza kutumika kwenye windows Pc na jinsi yakuzipata asantoeni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari mabibi na mabwana! Kuanzia dunia inaumbwa hadi leo hii tulipo tumekuwa tukishauriwa au kujishauri kuhusu ulaji wa matunda na mboga za majani. Nadhani hata mgonjwa hospitali huwa daktari...
2 Reactions
18 Replies
6K Views
Jinsi ya kupika biryani ya kuku, ng'ombe au mbuzi Mahitaji 1 kilo mchele wa basmati mrefu 1 kilo nyama iwe ya kuku au ng'ombe au mbuzi kata katika umbo dogo la kutosha kula kisha...
13 Reactions
82 Replies
86K Views
Wadau naomba msaada wa maelekezo jinsi Ice cream local huwa zinaandaliwaje?
0 Reactions
4 Replies
8K Views
JINSI YA KUANDAA NA KUTENGENEZA BISKUTI ZA JAM . MAHITAJI:- Unga 2½ glasi Sukari ¾ glasi Samli\blue band(ndogo) Mayai 2 Baking powder 2 kijiko vya chai Vanilla 1½ kijiko cha chai Maganda ya...
4 Reactions
26 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…