Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Kumbe kutumia tsh 15,000 kwa ajili ya chakula ni kujidekeza tu!Jioni nikirudi home nahakikisha napika wali wa kutosha nakula jioni. Asubuhi nakunywa na chai nachukua hot pot naweka cha mchana...
6 Reactions
42 Replies
8K Views
Habari wana Jamvi, Nahitaji kujua jinsi ya kupika hii mboga, kwani ina manufaa makwuba kwenye mwili wa binadamu, Kwa mdau anaefahamu jinsi ya kupika mboga tunaomba maelekezo yake ili tuanze...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Wakuu,naomba kuelekezwa namna ya kupika brown rice,naona kama unanishinda,uko tofauti sn na ule mchele wa kawaida
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Uzi wa kumkaribisha member yeyote wa JamiiForums karibu ya chakula cha mchana (lunch time) Bila kusahau picha ya chakula itapendeza zaidi. Karibuni lunch wapendwa #demisi #Mshanajr #EverynSalt...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
The Way to a Man's Heart is Through His Stomach! Hii ni methali ya kizungu haipo kwenye methali za wahenga wetu wa kiswahili ila ina make sense hata huku kwetu uswazi. Ni aibu wanawake wengi...
33 Reactions
147 Replies
19K Views
Chakula kitamu sana kwa ugali hiki
1 Reactions
11 Replies
9K Views
Asubuhi hii nimefika hapa Ngara, nimekula kitu Adimu kwa Mikoa mingine, Kitu hiyo ni KATOGO, hii kitu tamu sana. Wana Kagera Karibu, tujuzane na na Vyakula vingine vya Asili ktk Mkoa huu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahitaji Ndizi mshale 10 Utumbo wa ng'ombe 1/2 kilo Nazi ya kopo 1 Nyanya 1 Kitunguu kikubwa 1 Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chakula Olive oil kiasi Limao 1 Chumvi Curry powder 1 kijiko cha chai...
3 Reactions
4 Replies
10K Views
AINA YA KWANZA Vipimo 1. Siagi - 200g 2. Unga - 2 Vikombe 3. Sukari - 1 Kikombe 4. Vanilla - ½ Kijiko 5. Arki rose ukipenda - 2 matone 6. Mayai - 6 7. Zabibu - ¼ Kikombe 8. Baking powder -...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Napenda Kupika na najivunia kuwa sehemu ya kuwapikia wale nilio nao nyumbani pale niwapo nyumbani..... Wale ambao pia wana hobby kama yangu basi njoo tuongee chakula gani au menu gani unapenda...
4 Reactions
102 Replies
12K Views
Mkate wa kidole ni mkate wa kiasili ulopikwa kutumia tui la nazi na ni mtamu sana. Ladha yake ni ya kipekee! Mkate huu una majina mingi kutokana na shepu unazoziunda madonge yake. Kwa mfano...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
"How to make cannabis-infused honey" When it gets colder outside, and we’re all looking for something sweet and warm to help soothe the winter blues, it means it's the perfect time to whip up...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Licha ya kutumika kama chakula cha kawaida,boga pia huweza kutumika kutengezea supu ambayo ni nzuri na nzito twende moja kwa moja. MAHITAJI: BOGA CARROT LEEKS ROSEMARY BLUEBAND SALT MAZIWA ONION...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Wapendwa naomba msaada wa mahitaji na jinsi ya kupika biriani!!_ Natanguliza shukurani.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wanajamvi, anayejua materials yaliyotumika kutengenezea diamond karanga aje atueleze hapa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari! Naomba kujua kwanini unga wa ngano hua haupikwi ugali kama unga mwingine wa muhogo, mahindi nk.
1 Reactions
53 Replies
22K Views
Hi every one. Mimi napenda kunywa kinywaji cha coca cola bila hiyo sijisikii vizuri kwa siku lazima ninywe 2 au 3 napenda sana coke. [emoji51] [emoji16] [emoji119] [emoji119]
2 Reactions
73 Replies
17K Views
Wasalam wakuu wote, Twende moja kwa moja na kichwa cha habari, kuna juice (cocktail) ya rosela kwa anayefahamu utengenezaji wake jamani anisadie. Mchana mwema kwa wote!
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Ndugu wana JF, kuna mtu aliwahi kuniuliza kuwa hv icecream za kawaida tofauti na zile kama za azam nk , alimaanisha zile local mfano za ubuyu nk, huwa zinaandaliwaje? Nilimjibu ninavyojua mm bt...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Mahitaji yake pamoja na vipimo vyake ni vipi?msaada wenu kwenu wapishi mliobobea katika kuandaa vitafunwa
0 Reactions
0 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…