Wasalaam ndugu zangu,
Kuna mboga fulani inaitwa mlenda niliwahi kula zamani kidogo,
inakuwa imelojeka sana. Sasa kutokana na kuisoma namba nataka nijifunze kupika hii kitu ili kubana matumizi...
Sukari yeyote ni hatari katika mfumo wa mwili, Wataalam wanathibitisha uwepo wa takribani vijiko 10 vya sukari katika kila chupa moja ya soda, kwa maana hiyo unapokunywa soda 5 kwa siku maanake...
Heshima kwenu brothers and sisters
Napenda kutambulisha kwenu app inayoitwa "Appetite" ambayo inakupa uwezo wa kuandika recipe zako (maelekezo ya mapishi) na kushare na watumiaji wengine wa app...
Toka nikiwa mdogo na mpaka sasa huwa naona katika matumizi ya samaki(kula) watu wengi huwa hawali vichwa vya samaki pia katika maandalizi ya dagaa(mboga) watu huondoa vichwa.
Mi naona kuondoa...
Unakuta unavunja yai na kile kiini cha njano kinasambaa na kuchanganyikana na ute hata kabla hujalikoroga. Hili yai bado zima?.
Nawezaje kujua yai limeharibika au la?
Habari nduguz. mwenye namna ya kuteblngeneza kalimati anielekeze pls. recipe nlopewa mara ya mwisho zilitoka nyembamba na zilinyonya sana mafuta, in short sikuzifurahia. Msaada tafadhali.
Wadau,
Hivi ni kwanini ukitafuna karanga mbichi na dagaa wabichi, unapata radha flani ya kushangaza(sio mbaya)?
Embu jaribu leo kisha nawe ushangae.
Note; Hakikisha hujashiba kama mbu wa...
Habari zenu wapishi wote natumai mko salama
Ningependa tujumuike pamoja katika kujifunza mapishi mbalimbali kupitia ukurasa wangu wa Instagram ambao nimefungua siku chache zilozipota..
Ukurasa...
Snacks made up of eggs are tasty and easy to make. Whenever we want to eat something healthy as well as tasty, one thing that comes to our mind is egg. Let us see how we can make an easy and quick...
Kitindamlo au dessert ni chakula kinacholiwa mwishoni mwa mlo. Mara nyingi huwa ni chakula chepesi na chenye sukari kama matunda.
Binafsi, napenda sana sukari na siku nikiamua kupika lazima kuwe...
Jamani jana nilitengeneza cocktail ya Konyagi, Asali na Sprite sasa tatizo sikuenjoy sana kichwa kikaanza kuuma, Je kuna yeyote ambaye amewahi kutengeneza Cocktail ya asali na Kilevi? Sio mahali...
Wataalam wa cocktail naomba mnipe mchanganuo wakutengeneza cocktail ambayo itakua mbadala wa bia katika birthday yangu ili kuokoa hela mana watu watakua wengi, nahitaji itayokua strong ya...
Salam kwenu wanajukwaa,
kwamuda mrefu hili swala la namna ya kuandaa yogurt zenye ladha mbalimbali ie,vanilla limekua likinisumbua, kwa mwenye ujuzi tafadhali naomba msaada wa namna ya kuandaa...