Heshima kweny wakuu,
Nimejitahidi kukaanga chips zikaungua kidogo. Sijajua nimekosea wapi, nlitaka nitoe Chips zilizokauka laini na tamu kama zile za pale kwa mdebwedo.
Naomba msaada;
Ni hatua...
Jamani, nimejaribu mara kadhaa kupika ugali kwa kutumia sufuria mpya, mara zote ninatoa ugali wa ajabu, na mimi ni mzoefu wa kupika ugali. Nikishapikia chakula kingine na kupikia tena ugali sufia...
salamu kwenu ndugu zangu wana jf!!
naomba kujuzwa sehemu ambazo naweza kujifunza mapishi bure au kwa gharama nafuu au kama kuna mtu yuko ready kujitolea nitashukuru sana na nitamuombea duaa...
1. nusu kila makorona madogodogo
2. 400grm nyama ya kusaga ukifnyanga kuwa meat ball
3.vitungu viwili
4.kikombe cha starch/unga
5.kikombe cha maziwa.....
weka kwenye oven kwa dkk 25~30
DON'TS AT THE DINING TABLE
It’s important to know the don’ts of dining around the world to avoid offending your hosts.
JAPAN You can cause quite a bit of offense when using chopsticks. Don’t...
Wakuu naomba msaada wa namna ya kutengeneza supaghett, mfano unatumia unga gani, maji kiasi gani, mayai, ama vipimo nk nisaidieni tafadhali.
Natanguliza shukrani kwa msaada wa aina yoyote.
Mahitaji
Vipapatio vya kuku kilo 1
Yai 1, pasua na vuruga
Kikombe 1 cha unga wa ngano, kwa kuweka utando (layer) juu ya kuku
Kikombe 1 cha siagi (butter)
Mahitaji ya sauce
Vijiko 3 vikubwa vya...
Ni kawaida ukienda kwa Doctor ukiwa na magonjwa fulani,basi Doctor atawaaambia huyu mgonjwa wenu jaribuni kuacha kumpa nyama nyekundu (ng'ombe,mbuzi, kondoo na n.k) na badala yake kama anataka...
Mambo vp ,
Naombeni kujuzwa hyo cake inapikwaje na kupambwaje? Birthday yangu ni trh 20/10 (alhamis) I wish nijue nijitengenezee ili nile na familia
Karibuni wataalam
NB:hyo picha nimeiiba mahali...
Mahitaji
Muhogo uliomenywa Na kukatwa vipambe ukubwa kiasi
Mafuta
Chumvi Na pilipili kavu twanga pamoja
Namna ya kutaarisha
Chemsha muhogo wako Na maji hadi uwive Na kua laini (angalia...
Mahitaji
Kikombe 1½ cha unga wa ngano (kama gramu 200)
½ kikombe cha siagi (margarine, kama gramu 133)
Mayai 2
Vijiko 2 vikubwa vya vanilla
Kikombe 1 cha sukari nyeupe (Ni kama gramu 200. Mie...