Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wana jf naomba kufahamishwa jinsi yakuandaa/kutengeneneza ice cream corn, mahitaj na process zte, Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Napenda sana biskuti, especially nikila na Icecream (nachovya kama ugali na mboga). Recipe hii nilipewa na Mama Zurie nami nashare nanyi ndugu zangu. MAHITAJI: Unga wa Ngano Kikombe kimoja na...
6 Reactions
0 Replies
17K Views
Ndugu zangu wanajukwaa naombeni mnifundishe namna ya kutengeneza keki
0 Reactions
4 Replies
16K Views
Karibu Chai sasa, Yeah it's late but it's weekend for Heaven Sake. Recipe from Fauzia Kitchen Fun for Mandazi in Google, nimetumia vikombe sita vya ngano, kijiko kimoja na nusu cha hamira, kijiko...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Habarini wanaJF, Naomba msaada jinsi ya kutengeneza kuku sekela. Viungo gani vinatumika?
0 Reactions
26 Replies
15K Views
Mahitaji Kabichi 1 Pilipili hoho 1 Karoti 2 Vitunguu maji 2 Kitunguu saumu 1 Limao au ndimu Tangawizi 1 Mafuta vijiko 3 (olive oil) Chumvi Maelekezo Katakata kabichi, pilipili hoho, karoti...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kwa wale tunaojua kupika kuna hii style ya kupika labda wali nazi au pilau tamu au biriani la mchele wa kawaida tunavoloweka mchele muda mrefu ni sawa ? haushi virutubisho? tunapika chakula...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Huku nimeona wamechanganya na kiti moto, MUSHROOM + PORK SUNDAY LUNCH - Fashvo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mahitaji Juice ya chungwa (Unaweza kukamua au ukatumia ya box) Asali ya nyuki Chombo cha kuchemshia ( sufuria, glass au bilauri) Microwave au jiko la kawaida Maelekezo Unaweza kuandaa juisi hii...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za jioni, Kuna cake nyingi wanatengeneza wale wenye uzoefu walizokula tutajeni keki tamu na nzuri mikoa tofauti kama Dar, Mbeya.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mahitaji Kuku nusu kilo Asali vijiko 4 Sukari ya brown kijiko 1 na nusu Soy sauce nusu kikombe ,hii ni sawa na vijiko 8 vya mezani Tangawizi vijiko 2 vya chai Kitunguu saumu vijiko 2 vya chai...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyo andaliwa chakula safi huwa hatunaga tabia za kujazana kwenye magenge ya chipsi na soseji kama wanaume wa dar!
16 Reactions
85 Replies
12K Views
Mahitaji Unga wa ngano kilo 1 Mayai 2 Chumvi Maji Siagi (butter) vijiko 3 vikubwa Mafuta ya kula kwa ajili ya kuchomea Iliki ya unga Maziwa ya unga vijiko 3 vikubwa Maelekezo Weka unga kwenye...
10 Reactions
1 Replies
14K Views
Msaada tafadhali! [emoji39] Habari, Kuna rafiki amenunua chakula chenyewe amenijuza kinaitwa Sushi. Naomba kufahamu kuna sSushi za aina ngapi na jinsi ya kuandaa Sushi tamu kuliko zote. By the...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna makitu flani niliwahi kula kwa jirani yanaitwa mabese aiseeee ni miaka kama 15 hivi sijapata kuyaona tena hayo makitu. Yanakuwa na rangi flani hivi kama ya cream matamu sana. Kuna anaeyajua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwwnye ujuzi tafadhali
0 Reactions
13 Replies
16K Views
Habari wanaJf... Upikaji wa vileja vya dengu MAHITAJI 1.UNGA WA DENGU 3/4 KIKOMBE 2.UNGA WA NGANO KIKOMBE 1 3.VEGETABLE GEE AU SAMLI 1/2 KIKOMBE 4.SUKARI ILIYOSAGWA 3/4 KIKOMBE 5. HARUFU YA...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
habari za majukumu wana jf Naomba msaada wa kutengeneza kachumbari nina viungo hivi; nyanya, kitunguu maji, karroti, pilipili hoho, limao naomba muongozo wa jinsi ya kuandaa kama kutakua na...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Wakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ??? karibuni...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom