Wadau,
Ni matumaini yangu wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku.
Naomba msaada kwa yoyote anaejua jinsi ya kutengeneza icecream amabazo zinakua zenye ladha nzuri,rangi ya kuvutia...
Heshima kwenu mabibi Na mabwana popote mlipo, ni iman yangu kuwa mko bomba kabisa,
Km kichwa cha habari kinavyosomeka mwenzenu napata tabu sana kwakweli, mikono yangu iko Na alama alama hadi...
nilivutiwa na MziziMkavu na threa yake ya kuhusu pishi la bamia,.na kwangu ndo ilikua mara ya kwanza kujua kama inaitwa ladies finger, nshazoea okra mie kumbe !!!! basi katika pitapita yangu ya...
JIFUNZE KUMPIKIA MKEO BIRIANI YA KUKU WA KUCHOMA NI RAHISI UKICHEZA NA JIKO SOMETIMES
Viungo na vipimo vyake
Mchele wa Basmati /Pishori vikombe 4
Kuku 1
Vitunguu 3
Nyanya/Tungule 2
Tangawizi...
Habari zenu wakuu
Naomba msaada wa kutengeneza juisi zifuatazo
(1)Juisi ya tangawizi
Nataka jua kiufasaha, na je naweza weka sukari au asali? Naomba mnijuze vizuri.
(2) Pia nataka kujua jinsi...
Mapishi ya nyama ya kuku na tangawizi
Mahitaji
Nyama ya kuku, tangawizi gramu 10, vitunguu maji gramu 5, siki kijiko kimoja, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, maji...
mimi kijana wa magetoni tu najipikia peke angu ila tatizo langu ni.chumvi siku nikisema chumvi imekolea chakula hakiliki nina mkono wa chumvi mbaya sana, na nikisema niweke ya kawaida chakula...
Leo nawaletea mapishi ya fish fingers ( sijui kama unaweza kusema vidole vya samaki)!, Ni mlo mzuri hasa kuliwa kama kitafunio au mboga ya pembeni au kitafunwa cha jioni.
Mahitaji
500g Fileti ya...
Mlenda wa bamia na nyanya chungu
Kuandaa: dakika 10
Mapishi: dakika 20
Walaji: 2
Ujuzi: Rahisi
Gharama: Nafuu
Mlenda ni mboga yetu cha asili. Kuna mlenda wa aina nyingi sana. Haya mapishi...
Hii ni juice ambayo niliigundua miaka flan nilipokuwa natumika sana kwa maswala ya wanawake. kipindi hicho kusema ukweli nilkuwa wakati mwingine najikuta nakuwa na mechi tatu kwa siku ambazo zote...
Wana jamii nimepata mengi sana kwenye JAMII FORUMS na nina imani hata hili wapishi au Chef wa Jamii forums atanipatia
NATAKA NIWE NATENGENEZA BIRTHDAY CAKES KWA FAMILIA YANGU MWENYEWE
ASANTE
Kwanza, weka wings ya kuku, tangawizi na vitunguu maji majini kwa dakika 15, halafu nawa wings kwa maji mapya
Pili, weka wings katika maji ya kuchemshwa mpaka rangi ya wings igeuze
Tatu, weka...
Mahitaji:
Kitunguu maji 1;
Vitunguu saumu 2;
Mafuta ya kula kikombe 4(1);
Nyama ya kusaga 1 2(1);
Vijiko 2 chumvi;
2(1)kijiko cha pilipili manga iliyosagwa vizuri;
Kijiko moja cha unga wa...
habarini humu ndani naomba msaada jinsi ya kutengeneza fondant sababu nimeangalia youtube naona wanaweka icing suger na marshmallow sina hakika kama hii marshmallow inapatikana hapa kwetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.