Napenda sana biskuti, especially nikila na Icecream (nachovya kama ugali na mboga).
Recipe hii nilipewa na Mama Zurie nami nashare nanyi ndugu zangu.
MAHITAJI:
Unga wa Ngano Kikombe kimoja na...
Karibu Chai sasa, Yeah it's late but it's weekend for Heaven Sake. Recipe from Fauzia Kitchen Fun for Mandazi in Google, nimetumia vikombe sita vya ngano, kijiko kimoja na nusu cha hamira, kijiko...
kwa wale tunaojua kupika
kuna hii style ya kupika labda wali nazi au pilau tamu au biriani la mchele wa kawaida
tunavoloweka mchele muda mrefu ni sawa ? haushi virutubisho?
tunapika chakula...
Mahitaji
Juice ya chungwa (Unaweza kukamua au ukatumia ya box)
Asali ya nyuki
Chombo cha kuchemshia ( sufuria, glass au bilauri)
Microwave au jiko la kawaida
Maelekezo
Unaweza kuandaa juisi hii...
Mahitaji
Kuku nusu kilo
Asali vijiko 4
Sukari ya brown kijiko 1 na nusu
Soy sauce nusu kikombe ,hii ni sawa na vijiko 8 vya mezani
Tangawizi vijiko 2 vya chai
Kitunguu saumu vijiko 2 vya chai...
Mahitaji
Unga wa ngano kilo 1
Mayai 2
Chumvi
Maji
Siagi (butter) vijiko 3 vikubwa
Mafuta ya kula kwa ajili ya kuchomea
Iliki ya unga
Maziwa ya unga vijiko 3 vikubwa
Maelekezo
Weka unga kwenye...
Msaada tafadhali!
[emoji39] Habari,
Kuna rafiki amenunua chakula chenyewe amenijuza kinaitwa Sushi.
Naomba kufahamu kuna sSushi za aina ngapi na jinsi ya kuandaa Sushi tamu kuliko zote.
By the...
Kuna makitu flani niliwahi kula kwa jirani yanaitwa mabese aiseeee ni miaka kama 15 hivi sijapata kuyaona tena hayo makitu.
Yanakuwa na rangi flani hivi kama ya cream matamu sana. Kuna anaeyajua...
habari za majukumu wana jf
Naomba msaada wa kutengeneza kachumbari
nina viungo hivi; nyanya, kitunguu maji, karroti, pilipili hoho, limao
naomba muongozo wa jinsi ya kuandaa kama kutakua na...
Wakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ???
karibuni...