Hivi karibuni, mji wa Chengdu, ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Sichuan uliidhinishwa kujiunga na mfumo wa miji yenye wazo la uvumbuzi wa shirika la elimu, sayansi na utamaduni wa Umoja wa Mataifa, na...
Habari ya mchana wakuu nmekua na wazo la kutengeneza pilipili yenyewe ladha tofauti na chili source ambayo ndo kidogo imezoeleka kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya naona kidogo chillsource...
Habarini wana-JF.
Nazani Leo ndo first day fact ya SWAUM RAMADHANI KWA WAISLAMU DUNIANI KOTE.
UNAZANI NI CHAKULA GANI UNACHOPENDELEAGA KUFUTURU JIONI?
TUMWOMBE MOLA TUWE WENYE KUMALIZA SWAUMU...
Sabakher Wadau;
Baada ya kuona Maujuz Mbali Mbali Ya Mapish Humu Na Mim Nimeona Mapish Matamu Ya Panya Almaarufu Kama Mbuku.
Panya Anaweza Kutumiwa Kama Kitoweo! Au Roast.
MAHITAJI;
Panya Saiz Ya...
Pilipili hoho ni kiungo muhimu sana cha mboga na salad na wengine hula zikiwa mbichi.
Lakini je wajua kuwa ziko za kike na za kiume na je wajua utumie vipi aina hizi mbili ili kupata matokeo ya...
Mahitaji
Unga wa ngano 250g
Butter 250g
Mayai 9
Baking powder kijiko cha chai 1
Kuku wa kusaga 2 cups
Chumvi kijiko cha chai 1
Sukari 1/3 cup
Kungu manga 1/2 kijiko cha chai (sio lazima)
Mdalasini...
Ngano nzima (shayiri) 3 Vikombe
Kuku ½ (3 LB takriban)
Thomu na tangawizi iliyosagwa 1 kijko cha supu
Pilipili manga ya unga ½ kijiko cha chai
Jiyrah (cumin/bizari ya pilau) ½ kijiko cha chai...
HATUA
√ Ichambue soya yako vizuri kuondoa uchafu na mbegu mbovu
√ Bandika maji jikoni mpaka yachemke
√ Weka soya yako ndani ya maji na iache kwa muda wa nusu saa na kuendelea kulingana na ukali wa...
jameni pokeni na shughuri za kutafuta mafao,
naombeni msaada , leo kuna hii mboga ya wanyamwezi na wasukuma huitumia " MZUBO" naomba kujua jinsi ya kuiandA na vile vile jinai ya kuipika
asanteni
Salaam,
Mara kadhaa nimekua nikikutana na mtindi ambao unagandishwa kwa njia za kawaida kabisa humu mitaani,naita njia za kawaida kwasababu mtindi huu hauhitaji mitambo kama mtindi wa viwandani...
Kwa wakazi wa tanga na wapishi wote nawaletea Karanga za kusag kwa ajili ya kupikia mapishi mbali mbali jiandae kutumia kiungo tofauti na Nazi kwa oda kwa watakao itaji 0762581579
Heshima kwenu ndugu zangu kwasana wana jf.
Naombeni msaada wenu wa jinsi yaku andaa pilipili na tangawizi, lakini ziwe katika mfumo wa unga.
Nina penda kujifunza njia hii ya uandaaji wa hivi...
Habari zenu wapishi mashuhuri.
Kuna huyu Samaki nilibahatisha kumla kama mara tatu hivi Hotelini kwenye mchanganyiko wa sea dish, nikampenda sana.
Naomba kujuzwa aina mbalimbali ya mapishi...
Kila nikijaribu kupika tembele nashindwa mwenzenu mara maji mengi, nisipoweka naunguza, mara limelepweta eti nakoroga badala ya kugeuza shida tupu.
Nisaidieni mwenzenu.