Wanaukumbi.
Tambi za mayai ni moja kati ya vyakula ambavyo napenda kuandaa pale ninapokua ninaharaka au sina muda mrefu wakukaa jikoni.pishi hili huchukuca muda mfupi sana nanimlo...
Wanaukumbi.
JIFUNZE KUPIKA CHAKULA HIKI KITAMUA NA RAHISI SANA KWA MCHANGANYIKO WA MBOGA MAJANI, NYAMA YA MBUZI NA VIAZI ULAYA KWA MTINDO HUU WA MAPISHI UNAWEZA PIKA NYAMA YA KUKU, SAMAKI...
Wanaukumbi.
Makaroni nichakula jamii ya Tambi,ni moja kati ya vyakula ambavyo napenda kupika siku za jumapili ninapokwepa kukaa jikoni kwa muda mrefu.
makaroni ya nyanya na nazi
Mahitaji...
ukiangalia picha vizuri vimechemshwa turn na havina viungo vingi, vyakula vya Vasili kama hivi ni vizuri kwa afya ya mwili na akili na ndio maana wazee with waliweza kuishi miaka mingi bila...
SAMAKI HUYU NI MTAMU SANA IKIWA UTAPATIA JINSI YA KUMPIKA NA MAPISHI HAYA HAYA UNAWEZA TUMIA PRAWNS WA AINA ZOTE, LOBSTA, CHAZA NA UDUVI IWE NI KUTENGENEZA MCHUZI SAFI AU KUTENGENEZA SUPU HATUA ZA...
Wanaukumbi.
Imezoeleka kua nyama huwekewa chumvi na si sukari au asali.Hapa jikoni leo Nyama italiwa na chovyo la asali.Ni chakula ambacho kila mtu hapa jikoni anakipenda.Naamini Utakipenda...
Jinsi ya kumatayarisha kuku
Mgawe kuku kwenye kifua,Mgeuze ili mgongo uwe juu na mchanechane kwenye mapaja na kifua,dhumuni la kufanya hivo ni ili viungo vikolee vizuri.
Kama unavyoona...
These special dedication are meant for you farkhina na wale wote ambao kwa njia moja au nyingine wameifanya JF CHEF iwe hivi ilivyo leo Farkhina umededicate muda wako kutupa elimu ya...
Mahitaji
Kwa ajili ya chicken jalfrezi
Kuku 1 mkate vipande vipande
Curry powder 1 teaspoon
Uzile wa unga (bizari ya pilau) 1 teaspoon
Bizari ya manjano 1/2
Plain yogurt (sio...
habari wanajfchef, leo nmeandaa ftari ya vipopoo. skuwa na maziwa, hivyo nmepika kwa nazi, kwa vile tumefunga wameonja watoto, tusubiri jioni vtakua mkekani inshaallah. Karibuni saana, ramadhan njema.
Mboga za majani huchangia sehem ndogo sana ya mlo wa watanzania wengi.Naamini moja kati ya mambo yanayofanya watu wengi hawapendi mboga za majani nipamoja na upishi mbaya wa mboga.
Majani ya...
Wasalaa wana Mapishi.
Mimi ni mmoja wa viumbe ambao hawapendi mafuta na chakuLa kinacho zidi mafuta huwa sili. Lakini nimekuwa nikijiuliza chakula kitamu au kizuri ni kile kilicho ng'arishwa na...
Wakuu nahitaji kujua upikaji wa aina hii ya nyama kwani kwangu mi ni mashikoro mageni ....hapa ninapofanyia shughuli zangu Kuna duka wanauza hii kitu huwa natamani ninunue ila naogopa inaweza...
Za jioni wapendwa!
Pishi la leo km jina linavyojieleza...samahani kwa wasiotumia sukari..
1) Katika suria ndogo kiasi weka sukari 5-6 tbsp. Yayusha kwenye moto mdogo mdogo huku ukiizungusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.