Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Kuna raw foods "movement" duniani, yaani jamaa wanaokula vyakula visivyopikwa. Kuna mwenye experience hiyo humu jf atielezee faida zake?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nna hamu ya viazi vitamu balaa, ila hunisababishia kiungulia hatari. Sasa natafuta njia ya kuvi-pimp kupunguza kiungulia. Je, naweza kufanya 'mashed potato'? Sijawahi jaribu viazi vitamu...
3 Reactions
15 Replies
6K Views
Onion Soup Diana Herrington | February 20, 2012 | 1 Comment This is a very simple soup to make. Ingredients: 1 yellow...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Watermelon Soup Diana Herrington | July 15, 2012 | 0 Comments Ingredients 4 cups cubed seeded watermelon 2 tablespoons...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali kwa yeyote anayejua atusaidie namna ya kuwatengeneza hy kuku naona wife anahangaika kutafuta. formula.
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Mahitaji ya mseto Mchele vikombe viwili Choroko vikombe vitatu Tui bubu kikombe kimoja Jinsi ya kutayarisha Chemsha choroko mpaka ziive,punguza kiasi weka kando.Weka mchele ulooshwa kwenye...
8 Reactions
27 Replies
10K Views
Tazama video hiyo kisha toa maoni.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda sana hii kitu nikila najiuliza hivi wanatengenezaje?
0 Reactions
0 Replies
6K Views
kama huja jaribu jaribu leo na huu ndi msimu wenyewe!
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Soseji ni kitafunwa kinachopendwa sana,na hutumika sana kama sehem ya kifungua kinywa.Ni namna nyingine ya kuhakikisha unapata protini kwenye kifungua kinywa. Hata ivyo soseji huweza kutumika...
1 Reactions
7 Replies
15K Views
hii ni namna ya kutengeneza CURRY nyumbani kwako. KARIBU Korma paste 2 cloves of garlic / a thumb-sized piece of fresh root ginger / ½ teaspoon cayenne pepper / 1 teaspoon garam masala / ½...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Pishi la Pweza Vipimo Pweza 1 Kilo Mafuta ½ kikombe Chumvi...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Wapendwa za J1.. Kuna recipe hii ningependa kushare nanyi.. Unga mug 1 na robo Mtindi plain mug moja Sukari vijiko 7 Mayai 2 Samli aseel vijiko 4(unaweza tumia mafuta 1/2 mug) Vanilla 1-2 tbs...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Kuku 1 Tangawizi Kitunguu thomu 1 teaspoon Orange juice 2 glasses waweza kamua fresh orange au orange juice ambayo 100% alafu no sugar added Chumvi kiasi Chungwa moja kwa ajili...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Type 1 Mahitaji Majani ya salad Samaki asie na miba wa kuchemsha bila ya viungo weka chumvi (unaweza tumia samaki wa kikopo) Nyanya 1 kubwa Kitunguu maji kidogo sana 1 Pilipili...
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Wana jiko!! Ni mda sasa nimekua nikienjoy mapishi ya chef wetu farkhina. Naomba nami niwaekeeni kaujuzi hapa wa kutengeneza mkate simple wa ufuta!! Mahitaji; Unga vikombe 2 Maziwa kikombe 1na...
5 Reactions
52 Replies
11K Views
Nimejipiga mwenyewe nikanunua azam unga,maziwa,samli,mayai. Nikachemsha samli iyeyuke nikachanganya unga,yai moja,chumvi kidogo,na sukari kiduchu kwa ladha maji yakawa maziwa nikakanda weee mpaka...
1 Reactions
21 Replies
14K Views
unachukua fish fillets au meat fillets unazikaanga na mafuta kidogo na vinegar kwa mbali kisha unapasulia yai lisilovurugwa juu yake unaacha kwenye moto kama dak 5 kisha unaopoa! unakuwa na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wapendwa leo niliandaa maandazi matamu balaa haya nlitumia hivi vipimo....jaribu na wewe uje uniambie kama hutashibia jikoni Mahitaji Unga kg 1 Sukari robo ila usijae Samli 5...
12 Reactions
92 Replies
39K Views
niupikaje huo uji jamani, msaada wa hatua na vinavyohitajika. asante
0 Reactions
19 Replies
34K Views
Back
Top Bottom