Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
wakuu hebu naomba mnifahamishe namna ya kutengeneza hizi ndude za kulamba, maana sijui hata jina kama nimelipatia. Msaada pliz kwa anayeweza.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mtori ni moja ya vyakula ambavyo nafurahia sana kula ninapokwenda kijijini kumsalimia bibi yangu kule uchagani. Naamini wote tunajua kua mtori ni moja ya vyakula vya asili vya wachaga,kwakawaida...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Mchele wa brauni,unaojulikana zaidi kwa jina la kiingereza Brown rice,Ni mchele wenye wanga salama na unabeba virutubisho vingi kuliko mchele mweupe ,vitamin B1,B3,fatty acids,magnesium,iron na...
1 Reactions
3 Replies
10K Views
Nahitaji ile meat hand grinder kibongo bongo naipata wapi hapo dar nimtume mtu anichululie na sh ngapi?? Maana hawa wahindi wa supermarket kumaynina zao nyama hata robo haijafika eti 5000 ??? Wizi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Pengine umewai kujiuliza kwanini ukiifadhi viazi ulaya au viazi vitamu nyumbani havikai muda mrefu vikiwa vizima ,naamini mara nyingi umehifadhi viazi vikaaribika kwa kutoa maji,kutengeneza...
5 Reactions
9 Replies
8K Views
Eti wanjamvi..nimuwekee nini mbuzi choma anogeee had nijisikie kweli nimemla.. Kuna chef mmoja nilimuamini nikamkodi aliweka weka vikorombwexo hakuvutia kwakweli...nipeni maujuzi tafadhali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Pishi hili ni maalum kabisa kwa wale ambao ni wageni jikoni au hawajui kupika.Niliomba nipewe pishi la futari ambalo hata asiejua kupika anaweza jaribu na akapatia,nikapewa pishi hili.Shukurani...
2 Reactions
4 Replies
14K Views
Recipe/Mapishi ya MAIDANA DEMARNY Mahitaji Maharage 1/2 Chumvi kijiko cha chai 1 Nazi kopo 1/ nazi ya kawaida 1 kubwa. Kitunguu maji 1 Kitunguu swaumu punje 2 Binzari kidogo Njia 1...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Recipe/Pishi la Raphia Hussein Mahitaji Ndizi Malindi 5 Nyama ya Ng'ombe½ kilo Vitunguu maji 2 Vitunguu saumu kijiko 1 cha chai Nyanya 3 Binzari ½ kijiko cha chai Chumvi kwa kiasi chako Hoho 1...
2 Reactions
3 Replies
7K Views
PISHI LA SAMAKI WA FOIL MAHITAJI: -Foil, -Samaki, -Limao, -Soya Sauce, -Chumvi, -Karot, -Hoho, -Nyanya, -Garlic, -Vitunguu na Kabichi Unampaka kwanza samaki wako chumvi...
12 Reactions
52 Replies
21K Views
Haya jamani kwa sie tunaoenda kuolewa na wanaijeria aka wapopo tufundishane kupika vyakula vyao jalfrezi rice pepe soup egusi etc
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wale wenzangu wa huku jikoni hebu leo kila mmoja ataje chakula apendacho na anaandaje tugawane maujuzi ya mahanjumati..... Naanza mimi napenda afghani rice recipe yake hii apa ndivo naandaa hivi...
6 Reactions
27 Replies
6K Views
Kuepuka usumbufu wa kwenda kujisaidia unaposafiri pata huu mlo...! Mayai mawili tu ya kuchemsha na malta moja Mlo huu utakusaidia pia kama bajeti inabana kwakuwa hutaumwa njaa wala hutasikia kiu...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Maji ya moto robo lita, yaliyochanganywa na asali mbichi vijiko vitano, na kijiko kidogo cha kitunguu saumu cha kusaga shushia na mayai mawili ya kuchemsha hasa ya kienyeji daily CHORDS THAT ARE...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF wenzangu, Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbali mbali na watu wengi wamekuwa wakilalamika kuwa matumbo yanajaa ges au wana vimbewa. Kwanza hakikisha usiku kabla ya kulala...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Leo bwana nimetoka kuzurura nimerudi kulala aaa nikaona kila siku kula kwa jirani noma ngoja leo nikaushe nipike nikaingia rum kuangaza angaza kupika cha dakika 2 akili ikanijia fasta mchuzi wa...
22 Reactions
94 Replies
28K Views
Vaaaap napitia humu kila nikitoa jicho nakuta kila pishi ni mwendo wa saa liimoja.. Hebu wadau tushirikiane mapishi ya chap chap ya ki bachelor.... Kwangu napendelea kupika. 1. Tambi, nachemsha...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Wadau ninagombana na mama J hadi basi, mimi sioni shida ya kununua tetra boxed juice mfano Golden circle, Ceres, Delmontre etc nakunywa tu kwa vile naamini zile nembo za 'No added sugar'. On the...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mix grille
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Back
Top Bottom