Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari.
Hivi Tanzania ina sheria dhidi ya kukatiza holela barabara (Jaywalking)?
Usalama barabarani ni pamoja na udhibiti wa matumizi yasiyo ya vyombo vya moto.
Lini mara ya mwisho aendaye kwa...
Habari zenu waheshimiwa naomba kujuzwa.Niliajiriwa katika kampuni fulani na nimefanya kwa muda wa miaka 6 na kabla ya mkataba kuisha nilipewa barua ya kumaliza mkataba na kuambiwa nisiripoti...
Habari wana jamvi,
Nimetoka kumaliza msiba wa mwanangu wa kwanza aliefariki siku chache baada ya kuzaliwa.
In short ishu ilikua hivi last Monday Feb 19th wife alienda kupiga ultra sound private...
Habari
Naomba msaada kwa mtu yeyote mwenye soft copy ya katiba ya kampuni sample na article of association. Naomba kama mtu anayo anitumie. Hata aki upload hapa sio mbaya
Inaweza kuwa ya...
Habari za muda huu.
Nahitaji kujua sheria inasemaje juu ya suala lifuatalo.
Kaka yangu alitengana na mwenza wake miaka miwili iliyopita. Akalazimika kuwachukua watoto watatu aliozaa nae na...
Wakuu samahani am just very new here sasa naomba msaada nimechelewa kumuomba ruhusa ya maternity leave muajiri yani ile miez mitatu kabla imepita nimeapologize na kuomba afikirie kunipa hizo siku...
wajameni, kuna kesi ya jinai inaendelea hapa tunduma. Kuna jamaa ana kabiliwa na kesi ya jinai inayohusu kufoji. Katika kesi hii imebainika kuwa mlalamikaji aliwasilisha nakala ya document...
Learned brothers and sisters.
Naombeni msaada kwene hili.
Kuna mtu yupo South Africa, anataka kutengeneza power of attorney kwa ajili ya mali zake ambazo zipo tanzania! Na mtu anayetakiwa...
Nashauri ni wakati mwafaka sasa kwa Wanasheria, wanaharakati na viongozi wote wa vyama vya Siasa kulishinikiza bunge kufanya Amendment kwenye sheria hii, maana ni useless na inaleta attentions kwa...
Baba wadogo wanahusikaje katika mirathi Ikiwa watoto wapo Na wanamsaidia mama mdogo alieishi Na baba miezi miwili Na baba kufariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wadau,
Naomba mwenye kitabu cha kielektroniki chenye sheria za barabarani anisaidie. kikiwa na picha na michoro itakua vema zaidi.
JF daima.
Hiki ndio Kitabu cha sheria/Kanuni za...
Mtoto ni mtu yeyote aliye na umri chini ya miaka 18, kutokana na kifungu cha 4 (1) cha Sheria ya Mtoto ya Tanzania ya mwaka 2009. Mtoto ana haki kama mtu mwingine (adult). Haki kama ya kupiga...
JAMANI NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA THIDI YA MADAI.
Kuna mtu nilimwazima pesa kiasi cha mil 1.5 na kuweka dhamana ya nyumba kwa maandishi mbele mtendaji wa kijiji kwa makubaliano ya kulipa ndani...
Kwa mfano mwananchi kufanya matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kwa mfano kupoteza au kufanya matumizi mabaya ya risasi 30 au zaidi bila manufaa, huwa ni kosa gani kisheria wakuu?