Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wana jamvi, naomba kujuzwa ni haki zipi anazo mtu aliyetuhumiwa kwa kesi fulani anapofikishwa kituo cha polisi kwa mara ya kwanza. Je, anaswekwa rumande moja kwa moja mara afikapo tu...
Akina mama utoroka na wengine kwenda na watoto ili pengine aweze kuketewa vipesa vya matunzo ama tu kumkomoa mwanaume ama yote mawili.
Leo nimewaza juu ya hili, hivi inakuwaje pindi baba...
Wasomi wa sheria naomba msaada, Mimi ni mtumishi wa Umma , Miezi mawili iliyopita nimekuwa nakatwa Makato na loan board katika mshahara wangu wakati Mimi si mnufaika wa loarn board.. Nimejaribu...
Habarini watukufu. Ningependa kufahamishwa juu ya uwazi wa mishahara na mali za watumishi wa uma, ikiwemo raisi, makamo wake, mawaziri na manaibu, makatibu wizara, wabunge na wengineo ,kada zote 4...
Hivii Waziri Kangi Lugola unaposema kwamba Tundu Lissu na Dereva wake wao ni "keywitnesses" kwenye shambulio lao na mmewataka waje kutoa ushahidi ndio kesi iendelee,mm swali langu la msingi ni Je...
Habari wakuu!
Naomba kupata MSAADA kisheria kwenye Hili. Kwa kawaida tunatakiwa kutumia Majina matatu kama utambulisho kwetu. Mfano. John Azra Lema. Vyeti vyangu vyote vya shule vina John Azra...
NI WAKATI WA SERIKALI KUANGALIA UPYA SHERIA YA UTOAJI MIMBA.
Dr. Christopher Cyrilo .
Kwanza kabisa nitangulie kusema andiko hili linaweza kuibua mjadala mkubwa na malumbano. Lkn itapendeza kama...
Habarin wana jukwaa am conducting a research on the effectiveness of the commission of human rights and good governance towards protecting human rights in tanzania ...plz naomben mnisaidie...
Wakuu nawasalimu .
Nina mdogo wangu ana ndoto ya kuwa mwanasheria/wakili. Baada ya kumaliza advance level mwaka jana akapata division 2 ya points 12'
Lengo afanye Diploma ya sheria kisha degree...
Section 158A of The Child Act prohibit the "female genital mutilation"
FINE: NOT less than 2M or IMPRISONMENT for the term NOT less than 5 years and NOT exceeding 15 years
#ChangeTanzania
Sent...
Kama Jaji Mkuu,Rais Magufuli au Waziri Kangi Lugola wasipoliongelea lile tukio la DED kuamuru mtu kupigwa risasi kanisani ni wazi watakuwa hawana UTU na UZALENDO ambao wanaupambania kila...
Tra wametuandama wanataka records zetu za biashara kuanzia 2015 mpaka 2017 . records zenyewe zijakamilika na kuna kodi ambazo hatujawai lipa, nisaidieni ushauri kama kuna madhara ya kutotoa...
Samahani wanajamvi mimi nina swali na pia nisaidiwe:, Nina ndugu yangu yupo kituo cha polisi kwa kosa la kununua mali ya wizi:-
Swali 1. Je naweza kupata dhamana yake?
Swali 2. Je naweza kupata...
Wakuu humu kwa yyte mwenye huu mswada wa makosa ya barabarani tunaomba atuwekee humu ili tuusome, maana tunaambiwa kutokujua sharia hakukufanyi sheria hiyo kutokukubana kisheria.
Na Sisi na...