Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Naomba waungwana muhusike na kichwa cha habari kisha mutowe maoni na msaada wa kisheri. **** mke wa mtu ni muajiriwa wa muda katika taasisi ya Serekali na nafasi yake ni meneja mauzo ( muuza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwema Humu? Za Wikiend? Kuna Bwana Mmoja hivi nilimkopeshaga hela akaweka rehani hati ya "collateral". Zile hela alishindwa kuzilipa lakini nilivyofatilia mamlaka iliyotoa ile hati nkagundua kua...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Nataka kupeleka shauri mahakama kuu kitengo cha kazi. Hapa ni baada ya IKULU kukataa rufaa yangu.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanasheria Emmanuel Ukashu amefanya ‘Risachi’ akichambua Sheria ya Tanzania ya Makosa ya Mtandaoni (Cybercrime Act) ya Mwaka 2015: Uelewa wa jamii juu ya Sheria hiyo. Kuifahamu vizuri Sheria hiyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mtu akituhumiwa kwa jinai inayohusu nyaraka, na ktk mahojiano na mchunguzi akasema hizo nyaraka alipewa na watu Fulani na akawataja kwa majina je ni sahihi kwa mchunguzi kutowakamata hao watu na...
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Hii kesi inapande tatu kwa hio natafuta nani anaetakiwa kwenda mahakamani . Bosi wangu alinipa kazi ya ujenzi na tukakubaliana kulipana malipo ya ujenz huo baada ya kukamilika yalitalipwa kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni entrepreneur nimeanzisha mradi wangu wa ufagaji na uzalishaji wa kuku kwamaana nafuga kuku na kwa wale wanaohotaji vifaranga nawazalishia pia..Ila nimepatwa na changamoto moja nimepata...
0 Reactions
1 Replies
740 Views
Kazi kubwa ya sheria zote zinazoshughulika na masuala ya ardhi ni kuratibu na kutoa mwongozo katika miamala mbalimbali ya masuala ya ardhi katika maisha ya kila siku...
3 Reactions
129 Replies
28K Views
Tafadhali anaejuana na mwanasheria au wapi kuna law firm Arusha anijuze haraka sana
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina shangazi yangu ni mtumishi wa halmashauri fulani huko Songea. Yeye aliwahi kuchukua mkopo katika bank inayoanziwa na jina N.... Baada ya muda kadhaa alienda kufanya top up ya mkopo wake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilivunjiwa nyumba usiku na kuibiwa vitu vyenye thamani ya zaidi ya TShs 3,500,000/= mashahidi wanne walitoa ushahidi was kumshuhudia mtuhumiwa akiiba. Hakimu was mahakama ile ya mwanzo alimtia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bosi wangu amenipa kazi ya ujenzi lakini kwenye makubaliano ya pesa yangu sikutaka nilipwe mimi nikataka alipwe mama yangu na bosi akakubali bali hio pesa bosi wangu hakutoa Cash akatoa Cheque...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wanasheria na wana JF, habari za wakati huu. Naomba msaada wa kisheria toka kwenu, Mimi ni mwanaume na nilifunga ndoa ya kikristo miaka kumi (10) iliyopita,tuna watoto wawili. Safari ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Is it right to use Section35(3) of the Education Act of tz on the offence of impregnating a school girl? While there is an amendment on 20/May/2016 under Section 60A of the Education Act. Hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu habari! Naombeni msaada wa kisheria kuhusu muda wa mtuhumiwa kukaa mahabusu ya polisi. Kuna ndugu mmoja yupo kituo cha polisi tabata zaidi ya wiki sasa, ukiuliza kwa nini unaambiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sheria kuhusiana na Mpangaji na Mwenye Nyumba nchini Tanzania zinaeleweka vizuri zaidi kwa kuiangalia kwanza Sheria iliyoweka misingi ya mahusiano ya masuala ya upangishaji (haki na wajibu wa...
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Habari za majukumu wadau. Nina stationery yangu nimefanya kazi ya kichapisha mitihani ya shule flani ya secondary (Government school) mwezi wa 11 mwaka 2017 kwa makubaliano kwamba baada ya kazi...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana Jf. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye lengo, mimi tangu mwaka jana niliajiriwa kwenye kampuni ya mtu binafisi, Kipindi ninaajiriwa msimamizi mkuu walikuwa ni wahindi...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
tunaangalia kwa kifupi masuala mbalimbali yahusuyo Sheria ya Ndoa nchini Tanzania ambapo tunajikita zaidi katika misingi ya utoaji talaka na mambo yazingatiwayo katika kugawana mali za familia...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…