Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari wakuu, Hivi ikitokea mti uliopo kwenye eneo lako(kwa maana ya ardhi) ukaangukia upande wa jirani mnae pakana nae na ukaleta madhara yawe makubwa kama kuua au madogo mfano kulalia bati...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Tangu Uhuru sijawahi kuona kile nilichokiona mwaka huu Kwa Mh. mkuu wa mkoa DSM kupongezwa na Askari. Kwa tusiofahamu ile ni kawaida au kuna sheria fulani ilivunjwa?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna mama mjane amenifuata akiniomba nimsaidie kesi yake ambayo amefunguliwa baraza la ardhi la kata. Kesi yenyewe ipo hivi mme wake ambae ni marehemu kwa sasa (miaka 20 tangu afariki)alikuwa na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kifungu cha 61(1)(v) Cha Sheria ya Elimu Sura ya 353 marejeo ya mwaka 2002, kinampa mamlaka waziri wa Elimu kutunga kanuni za masuala mbalimbali zitakayokidhi utekelezaji wa masuala ya sheria...
3 Reactions
29 Replies
7K Views
Unawezaje kuwa Solicitor ( Advocate) juu ya mtu aliyeambukizwa VVU kwa makusudi ukizingatia adhabu juu ya mshtakiwa Na kuifunza jamii kuwa ni kosa kisheria kufanya Maambukizi kwa mtu mwingne...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Kuna mgogoro umemkumba jirani yetu hapa na ulipofikia anahitaji msaada wa kisheria. Huyu mama ana mtoto wa miaka 6 na Mme wake alifariki mwaka 2016. Marehemu aliacha watoto 5 na wake wawili na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kujua hivi sheria inasemaje pale mtu anakuletea mkataba ambao anasema umeusign wewe ukiangalia mwandiko na sign vinafanana kabisa na wako pia kaattach na copy za ID original zako akidai...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Sehemu ninayoishi, Kuna ujenzi wa barabara Ya lami,. Tatizo linakuja kwa wanaotengeneza,, wamekuwa wakikata matairi ya vyombo vya moto ili kuwakomoa madereva wanaopita,,. Wakati hawajatengeneza...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Natanguluza shukrani je sheria zipoje pale unapopingwa picha na mwajiri wako bila idhini yako na picha kurushwa kwenye mtandao wa whatssap na zingine kubandikwa kwenye ubao wa matangazo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamu, kususia uchaguzi kwa sababu maalumu ya absence of new constitution in order to have free and fair electro committee, je!! Utakuwa umekiuka sheria gani? Na impact yake ninini?
0 Reactions
2 Replies
660 Views
Naomba msaada hapa,. 1.je nina haki yakupewa notisi ya kuachishwa kazi? 2.Je nina haki ya kupewa madai yani termination benefits?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Salaam waungwana . Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba law school pale mawasiliano ila mwanzo alisoma Bachelor ya Law Enforcement na amesoma PostGraduate Diploma in Law.. je wanaweza mpokea...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Hivi... Kunautaratibu gani utumike kuachana na mke ninaeishi nae ikiwa hatujafunga ndoa huku tukiwa tayari tuna watoto wawili?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mke wangu amezaa nje ya ndoa kabla talaka haijatolewa. Je naweza kufungua kesi ya kudai fidia n.a. kuzalilishwa?
1 Reactions
3 Replies
836 Views
Kuna mgogoro wa ardhi kati ya familia moja, Iko hivi mzee mmoja aligawa ardhi kwa vijana wake wawili, yeye akabaki na sehemu ndogo ya ardhi, baadae mzee yule akaoa mke mwingine na baada ya mwaka...
0 Reactions
5 Replies
845 Views
Je kwa mfano mtoto kazaliwa let's say marekani lakini wazazi wake ni watanzania je huyu mtoto atakuwa raia wa nchi gani? Nawasilisha
0 Reactions
8 Replies
848 Views
Mode, Hii mada ni ya kisheria naomba sana imekuja huku ambako ni maalumu kwa ajili ya sheria na mahakama, maana huku ndiko tatizo linalokoeleweka...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakuu, kuna mdogo wangu mwaka jana mwezi wa kumi alipeleka maombi ya kazi katika kampuni fulani. Maombi yake hayajajibiwa mpaka leo, lakin mwezi wa sita mwaka huu mdogo wangu alikutana na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…