Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kumetokea mkanganyiko sehemu ya kazi ambapo imebidi nije na uzi huu. Kwa kawaida sehemu hii ya kazi kuna neno gratuity hutumiwa kuwa utalipwa baada ya kufanya kazi kwa miaka miwili yenye mkataba...
*Ya haraka jamani*
kama unayeyote unayemfahamu aliyesoma sheria na GPA ya 3.8 & 4.0(Bachelor & Masters) + *Law School* na yuko interested kufundisha chuo kikuu, SAUT anaweza kutuma CV na details...
Hello,
Naomba kufahamu kuhusiana na sheria ya mafao (Pension). iwapo nina wafanyakazi ambao ni part time, mfano daktari anayefanya kwenye kituo cha afya kwa masaa, sheria inanitaka nifanye makato...
*Judgment of the Human Rights Court of Strasbourg -France*
*Unanimously, the World Court of Human Rights has established, verbatim, that "there is no right to homosexual marriage." The 47 judges...
Ameiingizia kampuni hasara, ameikosesha serikali hasara, amewakosesha wananchi usafiri na ameitia nchi aibu kwa majirani waliokuja kujifunza usafiri huo nchini.
Akamatwe tu.
Maswala ya watoto naona hayazungumuziwi sana humu,kuna sheria nyingi zinazomtetea mtoto lakini zinazomkemea mtoto pia ni chache sana. kwa kuanza,nashauri kuwe na sheria inayomkataza mtoto kutumia...
Habari za sahizi wanajamvi mnamo mwaka 2011 nilikutwa na hatiya ya kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha nne nikahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa mujibu wa mahakama walivyo hamua shauri...
Salaam,
Ndugu zangu kwa uelewa wangu mdogo ninajua kuwa mtoto ni chini ya miaka 18 kwa hapa Tanzania.
----Mzazi wa kiume ( baba) anapaswa kumuhudumia mtoto wake mahitaji yake yote muhimu...
STAAJABIKA NA NA KESI HII YA MAUAJI YENYE UTATA ZAIDI. March 23 mwaka 1994 tabibu mkaguzi(medical examiner) anauchunguza mwili wa marehemu Ronald Opus na kufikia maamuzi kua Ronald Opus alikufa...
Habari waungwana.
Niko na mjomba wangu ana umri wa miaka 17 wa kiume kajenga mahusiano na msichana alie na umri sawa na huo maana wako darasa moja.
Jana jioni mtoto wa kike alikamatwa na barua...
Habari wataalam,
Naomba kufahamishwa tofauti ya hizi taasisi:
1. Societies (vyama/jumuia vinavyosajiliwaga na wizara ya mambo ya ndani)
2. NGOs (taasisi zinazosajiliwaga na wizara ya ustawi wa...
Tangia kampuni ya sigara tanzania imepata mkuruzenzi mpya wa masoko na mauzo mtanzania baada ya kuondoka Mkenya kulizuka wimbi la kufukuza wafanyakazi,mkurugenzi huyu mtanzania alianza na...
Salama ndugu,
Kuna mwalimu ana project ya kufuga kuku wa biashara kwenye nyumba ya shule,
Usiku wa jana tukiwa kwenye mechi,
Paka watatu wa mwalim aliye nyumba jirani kala vifaranga/kuku wenye...
Hi wana JF,
Nina suala ninataka lisimamiwe na Mwanasheria katika Mahakama ya wilaya ya Kilombero iliyoko pale Ifakara. Kama kuna Advocate yeyote anayefanya/practicing kazi katika ama wilaya hiyo...
Umofia kwenu,
Kuna rafiki yangu yeye anafanya biashara ya kukopesha fedha kwa watumishi wa umma kwa marejesho ya muda mfupi isiyozidi miezi 4 akitumia mikataba fulani anayodhani ina security...
Naomba mnisaidie ili waungwana nina ndugu yangu alisingiziwa kosa la uwizi wa sh million mbili.
Baada ya hapo akawekewa dhamana na rafiki yake ila sasa alipoona ameshindwa kulipa hizo fedha...
Naomba mnisaidie ili waungwana nina ndugu yangu alisingiziwa kosa la uwizi wa sh million mbili . Baada ya hapo akawekewa dhamana na rafiki yake ila sasa alipoona ameshindwa kulipa izo fedha...