Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
habari...., niliwahi fanya kazi ktk shule moja ya binafsi.
Wakaja watu wa NSSF wakatusajiri ktk mfuko huo wa nssf. Mwaka 2011, makato yalikuwa aslimia 10 ya mshahara wangu.mwaka 2015 nikapata...
Mimi nafanya kazi kama kibarua katika kampuni fulani sina mkataba wowote wa ajira cha kushangaza leo naambiwa nitaanza kukatwa kodi,,, je hii ni sawa, naomba kuelimishwa hapa.
habari...., niliwahi fanya kazi ktk shule moja ya binafsi.
Wakaja watu wa NSSF wakatusajiri ktk mfuko huo wa nssf. Mwaka 2011, makato yalikuwa aslimia 10 ya mshahara wangu.mwaka 2015 nikapata...
BAIL PLEASE
Grant of bail is a rule and refusal is an exception. A person accused of a bailable offence has the right to be released on bail. Bail in case of bailable offences is compulsory. In...
Hivi wanaposema dhamana labda ya sh milion 20. Huwa unatakiwa utoe hiyo hela cash pale pale au la. Mana huwa tunagombana hasa humu vtuo vdogo vya polisi
Wanasheria naomba ushauri wenu au maoni yenu kuhusu ajali ya gari.
Kuna rafiki yangu kaniomba ushauri kuhusu hatua za kufuata kufuatia ajali iliyosababisha mauti ya ndugu yao.
Kwa maelezo ya...
Kuna jamaa kanisingizia eti nimemuibia na kudai kuwa usiku aliniona kwa mbali nkikimbia na mali yake.
Pia mtu huyu katoa maelezo yanayotafautiana zaidi ya mara 3.
Akidai alishuhudia mali yake...
Wadau nimeona nilete hii hoja hapa ilinipate ufahamu zaidi katiba au sheria zetu zinavyolinda haki za wagonjwa kwenye hospitali zetu. Wagonjwa wengi wanafariki na wengine wanapata huduma mbovu...
Wadau naomba msaada wa kesi/vifungu zinazohusu athari ya upande kushindwa kuleta mashahidi wa muhimu kwenye kesi pamoja na ushahidi muhimu kwenye kesi husika
Swali la nyongeza evidence Act and...
nilikuwa naomba msaada wa kupatiwa soft copy ya sheria ya makosa ya mtandao kwa lugha ya kiswahili..
au kama kuna mtaalam wa sheria anaweza nifafanulia sheria inasemaje juu ya kosa ,kesi hii...
Katika kipindi cha bunge jioni hii ya leo, Mbunge Saed Kubenea alipata nafasi ya kuuliza swali la kisera kuhusu Tume ya Uchaguzi. Alihoji ni lini Serikali italeta hoja hiyo ijadiliwe ili ifanyiwe...
Naomba kujuzwa yafuatayo kwa wajuzi wa masuala ya jeshi.
1-je raia anaruhusiwa kuipigia bendera ya nchi saluti ?
2-iwapo askari alievaa sare atagoma kutoa kitambulisho,raia anaruhusiwa kupambana...
Habari wana jamvi,
Ninaomba nitoe story fupi kisha mnipe msaada wa kisheria.
Kuna mdogo wangu alimpa mimba mwanafunzi wa kidato cha tano mwaka 2016. Lakini mwanafunzi huyo alimaliza darasa la...
Natanguliza salamu, pia nataka msaada wa ufafanuzi juu ya dhamana ya kesi iliopo mahakama ya mwanzo kesi ya madai na pia ya wizi. Je kunaurazima wa wadhamini wawili mmoja wapo awe mfanyakazi wa...
kuna rafiki yangu alienda kutoa pesa katika ATM za Bank fulani baada ya kuandika kiasi mashine ikahesabu halafu haikutoa kiasi chochote cha pesa halafu card ikarudishwa akaenda bank kuulizia...
Kuna judgement (JAJI?) nyingi zina neno "I THINK", this is this and not that without giving reason. Ni maoni yangu kuwa thinking yake lazima iwe guided na law, agreed judicial principles, and...
Waungwana msaada wenu unahitajika.
Chuo kimoja cha ZCBE ambacho kimesajiliwa na Nacte kwa kozi moja tu ya Accountancy kikaamua kuendesha na kozi nyengine hizi hapa :- Business Administration...