Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habarini waungwana!?
Natumai mu wazima na mnatambua historia ya nchi yetu tarehe kama ya leo ndio tulipata uhuru kutoka kwa waingereza.
Hivi hii inayosemekana kuwa ni bendera ya Tanganyika huku...
Amani na iwe kwenu wanasheria wa jf
Naomba ushauri wenu wa kisheria kuhusu hili:
Niliwahi kumpa ujauzito binti mmoja mwaka 1982, watu wengi kwenye kijiji kile pamoja na wazazi wake walikuwa...
Thefact that confession and admission of evidence on accused person is obtainedthrough the use of excessive force it contravening sect.21 of the Criminal ProcedureACT. (CAP 314 R.E. 2002.) Which...
Wandugu,
Vyuma vimekaza kweli kweli, Mhindi wangu mpaka leo hajanilipa mshahara wangu wa mwezi uliopita nahisi wa December ndio nitalipwa January mwishoni.
Hivi hakuna sheria yoyote inambana...
Mimi ni wakala wa m-pesa hapa mtaani wapo mawakala wenzangu kama yetu huwa tunaaminiana kama mawakala maana miongoni mwa sifa kuu ya kuwa wakala ni uaminifu. Sasa ipo hivi kuna siku nilikosea...
Habarini wadau.
Kuna lugha nyingi sana duniani, lakini kwanini kwenye sheria utakuta wanatumia misamiati ya kilatini na Kifaransa? Na ni kwanini ziwe hizo tuu? Natanguliza shukrani zangu.
Kwa wale wanasheria najua mnaelewa vizuri sana maana ya neno hilo hapo juu.Constitutionalism is to rule or govern a country or state based on the Constitution (WE People). Ndani yake kuna vitu...
Jaman wadau naombeni muungozo wanatakiwa kufuta wakurugenzi na makatibu kwenye kuajiri kuna sehemu nimeona watu wemepewa kazi bila hata nafasi za kutangazwa taratibu zinasemaje
Naombeni kujua hatua yakuchukua punde unapobadilishwa kitengo cha juu na kuhamishiwa cha kawaida sababu zikiwa za kutuhumiwa kujihusisha na siasa bila kuwa na fact.
Mf. Kuondolewa cheo cha uafisa...
Kuna jamaa yangu mmoja allinipa kazi ya kumtengenezea blog makubaliano yakiwa laki na ishiri blog yake ikiwa tayari, na tulikutana tu kwa njia ya mtandao. lakini baada ya kumaliza kutengeneza blog...
Naomba anayekumbuka/anayefahamu anijulishe.
Baada ya serikali kupiga marufuku mikutano ya siasa ya vyama, Chadema ilienda mahakamani kipinga narufuku hiyo.Sasa sikumbuki vizuri mahakama iliamua...
Wadau wa JF,
Kama kichwa cha uzi huu nilivyokieleza, hiyo ndiyo dhamira yangu ya dhati.
Nikiwa muhafidhina wa siasa za kisasa na zenye ukwasi wa muono wa juu, nimekuwa muhanga wa kusikia na...
jamani naomba msaada hapa wa mambo machache
1. law reports naweza kuzipata wapi na kwa bei gani. namaanisha Tanzania Law reports zote. hasa bei yake na mahali zilipo. chap kidogo
2. legal...
Ni matumaini yangu jukwaa hili Lina watu mbalimbali Wenye ubobezi Katika masuala ya nyanja nyingi.
Binafsi Nahitaji wataalam au washeria, hivyo naomba Kwa yeyote anaeweza kutoa Msaada huo...
Msaada tafadhali kuna jamaa yangu alifukuzwa kazi kwenye kampuni fulani na according to disciplinally procedures za kampuni ile Discplinally committee (DC) inayoweza kumfukuza ni Management DC...
Wakuu naomba kujua mamlaka ya Afisa mtendaji kata na Afisa Tarafa maana hawa watu wana nguvu sana kwenye maeneo yao kuna sehemu unakuta mtu anakubali kupelekwa polisi lakini sio kwa Afisa mtendaji...
Kwenu wadau..
Huwa napata sana shida ninaposikia mtuhumiwa kafikishwa mahakamani na kasomewa mashitaka lakini hakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa mahakama haina uwezo wa kusikiliza aina hiyo ya...