Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari.
Wanasheria, naomba kujua mtu anaetuhumiwa kwa kosa kama hili adhabu yake ni nini na kosa lake hasa ni lipi.
Kuna mdogo wangu aliomba kazi mahala, akaombwa kupeleka vyeti baada ya usaili...
Ingekuwa vyema watunga sheria wakafanya mchakatuo wa kuweka vigezo vitakavyofanya upumbavu uwe ni kosa ni la jinai kwa nchi zisizoendelea. Ili tujenge utamaduni wa uwajibikaji uzembe na upumbavu...
Wiki iliyopita, Wazee wa Baraza Mahakamani wametoa maoni yao katika kesi dhidi ya msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu na kusema mtuhumiwa huyo aliua bila kukusudia.
Ukweli ni kwamba...
Sheria inasemaje kuhusu hili
Umempa mimba mwanafunzi wa secondary (umri wake ni miaka 23)
Sheria inasemaje kuhusu hapa??
Kuna miaka 30??? au kwakua umri ushavuka hamna tatizo??
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, naomba ufafaniz juu hili.
Kuna rafiki yangu shulen kwao alikuja afisa elimu na kupiga mstri mwekwend kweny daftar la mahudhurio la walimu muda wa7:28asubuh na...
Habari zenu ndugu zangu nimekuja tena hapa ili nipate kusaidiwa nanyanyasika sana na watoto wangu na sijui pakwenda na kupata haki za watoto kwa haraka bwana niliyemuacha hawahudumii watoto leo...
Wadau mliosoma sheria naomba ushauri kuna ndugu yangu anakesi ya miradhi aliyoifungua, ambayo imechukua muda wa miaka mitatu hukumu imetoka juzi na ndugu yangu ameshidwa.
Kutokana na kesi...
Kama nalivyo sema hapo juu kuna mzee jirani yangu amenisingizia kutaka kumshaburia chanzo ni kwamba alikua anadai mpaka wa shamba lake aliaza kudai tarekebishe naye nikamwabia aenda kwa mzazi kwa...
Nina imani humu Ndani kuna ma guru wa sheria mutanisaidia kUjibu swali husika.
Hivi ni kosa kisheria kuchangia mada kwenye thread ya kichochezi.
Nauliza tu kwasababu kuna kipindi habari zilismbaa...
Wakuu
Hivi kama MTU ulikua muajiriwa serikalini labda kwa miaka 20 na ikatokea umefanya kosa ukafukuzwa kazi, Je mafao uliokua unachangia kwenye mifuko ya kijamii unastahili kulipwa?
Naomba...
Habari zenu wakuu,
Kuna mtu tulikubaliana aniuzie kiwanja kwa bei ya Tsh milioni 8, nikamlipa hela ya awali milioni 3.6, tukakubaliana kiasi kilichobaki ntakimalizia ndani ya miezi 6.Kwa Bahati...
Mheshimiwa Ukiwaona Ditopile Mzuzuri alipiga risasi na kuua mchana kweupe polisi walipoona aliyeuawa ni kijana kapurwa kwa maana ya kipato cha chini walimbadilishia Mheshimiwa Ukiwaona Ditopile...
Habari zenu wanasheria na members wote humu jamvini!
Naombeni msaada wa kisheria kwa mtu aliyekiri kosa ambalo hajafanya, ila alikubali kwa kushinikizwa au kulazimishwa na police na mbaya zaidi...
Habari zenu? Leo napenda tukumbushane mambo muhimu kidogo ya kisheria kwa ajili ya utendaji wa kazi kitaalamu wa polisi.
1.k/f 19 CPA,CAP 20 1985 R:E 2002. Kinampa mamlaka askari polisi kumkamata...
Nina mtuhumiwa wangu yuko mahabusu.. inatakiwa tar 12 kesi isikilizwe. Lakini ushahidi bado sijakamilisha na nikisema niende hiyo tar 12 kuna possibility kubwa ya mtuhumiwa kushinda kesi mana...
Je sheria ya ndoa tanzania inasemaje kuhusu bint chini ya miaka 18 na juu ya miaka 16 ( 16=<18 )aliefeli shule? Akiwa hana cha kufanya yafaa kuolewa? If no kwanini? Afanyeje mtaani?