Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari,
Kumekuwa na watumishi wengi walioshinda kesi dhidi ya serikali na serikali kuamuliwa kulipa fidia lakini serikali hailipi.
Je aliyeshinda na kukazia hukumu atafanyaje kutekeleza hukumu...
Nitafupisha hii hukumu na kuichambua siku zijazo.
UAMUZI HUU HAPA
http://www.judiciary.go.tz/wp-content/uploads/2016/09/CRIMINAL-APPEAL-NO.-358-OF-2013-ZOMBE0001.pdf
Kizungumkuti ni hiki...
Kiongozi wa serikali ananituhumu hadharani kwa kosa linalohitaji ushahidi wa kitaalam, ushahidi wa kosa hilo unachunguzwa na chombo cha serikali, na tuhuma zinathibitika kitaalam kutoka...
Sina uelewa wa sheria za kimataifa lakini utashi wangu unanipa kwamba vitendo tulivyofanyiwa na nchi hizi mbili wakati wa ukoloni sio haki kabisa.
Wamejitajirisha kwa mali zetu na nguvu za watu...
Sasa baada ya kukaa kutafakari nikapata washauri wakanielekeza WLAC msaada wa kisheria kwa akina mama. Nilipenda ofisi zao Dar makao makuu. Nikashauriwa nipeleke taarifa hizo ofisi zao wilaya...
Wanasheria naomba mnielimishe kuhusu suala la dhamana kupitia maswali yangu yafuatayo;
1. Mahakama inapoamuru kuwa moja ya sharti la dhamana ni kutoa hela, mfano sh. 20 mil.
-Hii hela...
. Kwanza kabsa mimi naitwa Noel nko mkoa mpya wa songwe wilaya ya momba mji wa tunduma. Nmeajiliwa na kampuni Fulani lililopo mbeya lakn nafanyia kazi katika tawi (....) Nmeifanyia kazi kampuni...
Uchaguzi wa Tanganyika law Society (TLS).
By; Noel C Shao.
Kampeni za nani anaenda kuwa rais wa TLS tarehe 17 pale jijini arusha, zimeanza huku kila upande ukijaribu kupinga upande wa pili hata...
Wanajukwaa,
Kwa maoni yangu ni kwamba sheria zilizopo kuhusu dawa za kulevya zinapoteza muelekeo wa mapambano dhidi ya dawa hizo.
Kitendo cha kuiweka mirungi na bangi katika level moja na Cocaine...
Habarini wanajamvi, naomba kwa wenye kujua hatua za kufata kumsaidia ndg yang moja.... ..
Ni kijana mkubwa sasa amemaliza chuo kikuu mwaka jana. Baba yake alifariki akamuacha akiwa na miaka minne...
Kitendo cha gavana Wa DZM kumpiga Mzee MAKAMO WA RAIS MSTAAFU amtafisri lije jambo
Je kuna kesi dhidi yake inayo endelea kwa kitendo au tukumbusha iliishia wapi
S.8-18 penal code kitendo hicho...
Napenda kufahamu yule Shikuba aliyekamatwa uwanja wa ndege na kisha kupelekwa Kilwa kwenye kesi yake ambae aliunganishwa na wenzie,Kesi yake inaendeleaje,Anaefahamu atujuze
Hivi ni kwanini kila Mtuhumiwa pindi awapo Mahakamani au hata Polisi akiachiwa tu huru hutoka nduki ( hukimbia mara moja ) kutoka eneo la Mahakama au Polisi huku wengine wakiwa radhi hata kukimbia...
Wakuu, nimebahatika kuipata nakala ya barua ya malalamiko ya vijana wanaojiandaa kuingia School of Law,tuidodose....
THE LAW SCHOOL OF TANZANIA
"FOR WHOSE BENEFIT"
A COMPREHENSIVE ANALYSIS...
Nimechaguliwa kujiunga na CL(Certificate in Law) chuo cha sheria Lushoto, mahitaji muhimu nayafahamu lakini nahitaji kujua ni aina gani ya sanduku linafaa kuhifadhi vitu vyangu kama...