Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Inatambulia Tanzania kama Taifa haina Dini. Ni nchi isiyoendeshwa kwa dini.
Pia inatambulika vema nchi yetu ina wenye imani tofauti zenye kuamini Mungu na zisizo amini Mungu.
Watu ambao...
Nawashangaa Wanasheria wetu kukaa kimya wakati wananchi wanahangaika kupata tafsiri kisheria Juu ya uteuzi wa Wabunge 6 wanaume uliofanywa Na Mh.Rais.Niliamini wanasheria wetu wangetusaidia...
Wakuu,
Naombeni kujua kama pana sheria zinazoyatambua mabaraza ya ukoo na kimila katika shughuli zake na utekelezaji wa hukumu zake katika jamiii?
Mfano: Bibi kizee ananyanyaswa na mwanae wa...
Wakuu naombeni kujua kama pana sheria zinazoyatambua mabaraza ya ukoo na kimila ktk shughuzi zake na utekelezaji wa hukumu zake katika jamiii ?
Mfano: Bibi kizee ananyanyaswa na mwanae...
Naomba kufahamishwa juu ya kuingilia uhuru wa mahakama na ni nani anahusika kutekeleza kama imezuiwa?
Mfano Mitambo ya Richmond iliuzwa hali ya kuwa iliamriwa iwe chini ya mahakama wakati kesi ya...
Naomba kujuzwa kwa jicho la kisheria consequenses za employee kuandika barua ya kumnotify employer kwamba hatataka kurenew mkataba ujao kutokana na sababu binafsi siku 28 kabla ya muda wa mkataba...
ZIFAHAM SHERIA ZAKO ZA MSINGI UKIKUTANA POLISI USINYANYASWE FANYA HAYA UWAPO MIKONONI MWA POLISI
IMEANDALIWA NA MAWAKILI.
1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako...
Hakika nimekuwa nafuatilia utendaji Kazi wa Majaji, Mahakimu Na Wanasheria wetu wa kila siku. Watu hao Kwa pamoja waliapa Kwa Mwenyezi Mungu kuwa Watatenda haki bila upendeleo Na uonevu. Naamini...
Natanguliza shukrani,,nilikuwa unafanya kazi ktk sekta ya utaliii,,kwenye restaurant Fulani ya mwekezaji kwa miezi 6..naaingia asbuhi saaa tano mpaka saaa tano usiku,,,no malipo muda wa ziada...
Kwenye mikataba tuliyosaini sisi watumishi wa serikali,kuna kipengele kinasema you shall be entitled to annual increment every July, swali langu ni kwamba mpaka sasa hatujaongezwa mishahara mpaka...
Mm nilikamatwa na jeshi la polisi taree10-01-2017 mnamomajila ya saamojausikunikiwa nyumbani kwangu walikuwa wanawakimbiza wavuta bangi kwa bahati mbaya na mm nilikimbia pasipokujua...
Wana jamii forum, jukwaa la sheria nauliza lini sheria inakubaliwa kutungwa leo na kutumiwa kuhukumu matukio yaliyopita. Nauliza kwa sababu siku za nyuma nilikuwa nimeajiriwa na shirika moja la...
Baba yangu alifariki miaka 10 iliyopita na wakati wa uhai wake alikuwa na wake wawili. Kwa bahati mbaya mke wa pili hakubahatika kupata mtoto. Kabla ya kifo aliniita mimi na mama mdogo (mke wa...
MTAMBUZI, NAOMBA KAMA UPO UWEZEKANO TULETEE ILE KESI YA YULE MAMA WA BAGAMOYO ALIYEMUUA KISHA KUMTUMBUKIZA KISIMANI MUME WAKE, ALIHUKUMIWA KIFO LAKINI KABLA YA UTEKELEZWAJI WA HUKUMU INASEMEKANA...
Sheria inasemaje kama yafuatayo yakitokea?
1. Rais akichanganyikiwa au akiugua kichaa akiwa madarakani.
* je, maagizo yenye utata yataendelea kusimama kama maagizo halali ya rais?
* Nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.