Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mambo ya uongo na uzushi huwa ni hatari sana, nchi nyingi zimeingia katika mapigano na mifarakano kwa ajili ya uongo wa watu wachache.
Ben - verified user hapa JF ameshiriki ku-publisize uongo...
Upo kazn kwako unahudumia wateja ofisini au mishemishe zako ghafula unagundua kuna mtu anakurecord kwa camera au anakupiga picha pasipo ridhaa yako na ukadhibitisha kwa ushahidi.
Je hili ni kosa...
Sheria ya Ajira na Uhusiano kazininNA6/2004 na sheria ya Taasisi za kazi Na7 ya mwakan2007 zinamtafsiri mfanyakazi kuwa
Ni mtu yeyote aliyeingia katika mkataba wa ajira wa aina yoyote kumfanyia...
Utafiti ni jia ya kupata ufahamu mpya kuhusiana na jambo au kitu fulani katika muda fulani ndani au nje ya dunia.
Mtafiti baada ya kufanya utafiti wake kiutaratibu uwatangazia wahusika na...
Kuna suala linaendelea DRC cha kushangaza polisi wanawatawanya wananchi wakati katiba inavunjwa na mtawala kwamaana hiyo polisi ni wajibu wao ni kwa watawala tu?
mtu anadaiwa na manispaa kodi iliozuka kwa mfanyabiashara inaitwa Level anashitakiwa mahakama ya mwanzo eti kesi ya jinai hii inakaaje kisheria wanasheria mtufafanulie
Wanasheria kifungu hiki ni kwa kiasi gani kimeleteleza kufukuzwa kwa Mwele? Kumekuwa na hoja kuwa alikiuka kifungu hiki. Sioni uhusiano wa yeye kuwajibika.
17. Where there is occurrence of a...
Yaan n hivi: nipo na jamaa tunashea kwenye biashara ya kukopesha pesa kwa liba. Alikuja dada mmoja anaitwa Tatu aliwaleta wenzake wawili wanaoitwa Juliana na mwajuma kwa lengo la kutaka hela sh...
Polisi waliofika Jamii Media wame confiscate nyaraka za usajili wa BRELA and there is a compelling reason for that.
Labda tusome kwanza regulation iliyomkamata Maxence Melo:
Electronic and...
Ninauliza kufuatia tukio la Bw. Max huku nikilinganisha na lile lilitokea la Apple kule Marekani.
Kama JF ingekuwa kampuni with limited liability, Max angekamatwa au kampuni ndio ingeshtakiwa...
Habarini wadau,
Awali nilishtakiwa kwa uvamizi wa eneo la mtu ambalo nami niliuziwa, nikashinda kesi baraza la ardhi nyumba na makazi ngazi ya kata, niliemshinda akakata rufaa, baraza la wilaya...
Case study, case ya mexence mello
Pale inapotokea polisi/serikali wanapokukamata kwa lengo la kukuhoji kuhusu case fulani bila idhini yako baada ya muda let say 3 days wanakuachia baada ya...
Background of the case
High court of Iringa registry found G. 2573 Pacific Cleopas guilty of manslaughter. On 2cd September 2012, Chanel Ten Television Journalist, Daudi Mwangosi had gone to...
When bias is alleged in a case by the accused/applicant, the Judge is advised to do the following:
In the case of, Kishore Vallabhdas and Another Vs. SMZ (Zanzibar) Criminal Appeal No. 80 of 1999...
Salaam wadau!
Yapata miaka miwili sasa tangu nifungue mashtaka CMA dhidi ya kampuni fulani ya hapa jijini Dar (jina kapuni).
Kampuni ilisitisha mkataba wangu wa miaka 2 due to redunducy ambayo...
Dawa Ya Deni Ni Kulipa!,jamani Naombeni Msaada Wa Kisheria Kuna Jamaa Alinikopesha Hela Ya Riba Laki Nne400000 Ambapo Nilitakiwa Nimlipe Laki Sita,nilikubali Coz Nilikuwa Na Matatizo Nimemlipa...
Habari wanajanvi! Naomba kujuzwa. Je, Kuna sheria yoyote ambayo inamlinda mfanyakazi ambaye hajapewa mkataba na amefanyakazi mwaka mmoja na nusu ikitokea amesimamishwa Kazi Mara moja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.