Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Uhuru wa mahakama ulitamalaki na hawa, to mention but a few
1. Lugakingira
2. Mwalusanya
3. Mroso
Being a Judge is not easy! as it is now!
www.bbc.co.uk/news/world-africa-35562081
Kumekuwa na ubabe mkubwa mkubwa sana unaofanywa na serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kuhusu kulipa madeni ya mikopo ya 'tuition fees' na kufikia hata hatua ya kutu-brand...
Wakuu,Serikali Ishaupeleka Bungeni Muswaada wa Sheria ya Msaada wa Kisheria 2016-(Legal Aid Bill of 2016) na Kusomwa kwa Mara ya Kwanza!
Muswaada Utawatambua Watoa Msaada wa Kisheria,Hasa Watakao...
Wadau mnisaidie, kuna ndugu yangu alikuwa na kesi kazini kwake lakini kabla ya kutatuliwa katika kikao cha nidhamu mdau alikuwa anajiskia kuugua hata akashindwa kuhudhuria tarehe zilizopangwa...
WHY HARDWARE DEVICE ARE NOT VERY USED IN LEGAL EVIDENCE TO COMPARED TO SOFTWARE
KWA NINI HARDWARE DEVICE(MFANO COMPUTER,MOBILE PHONE) HAZITUMIKI SANA KAMA USHAIDI MAHAKAMANI UKILINGANISHA NA...
Nina watoto 3 ninawalea bila baba yao, Nakaa yumba ya kupanga Tandale kwa Tumbo Nafanyakazi ya uuguzi hospitali moja kinondoni, baada ya makato yote mshahara wangu ni sh. 547,058.24. nauli yangu...
Hello guys l am a first year student of law at udom.
I have the have not understood to these terms that we have been given as a question to deal with, the question is that.
The strict liability...
Kwa aliye Na taarifa Juu ya kesi ya kupiga Umeya wa Manispaa ya Kinondoni ambao CCM waliufanya kama Uchaguzi wa Kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni .Je kesi hiyo itaanza lini?
karibuni wanabodi mnipe msaada wa kisheria.
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Ikiwa kwa uwezo wa kawaida kabisa nimebaini kuwa mahakama kwa kuelewa au kutoelewa haitendi haki kwa mtuhumiwa...
Ndugu zangu, tumekuwa tukishuhudia baadhi ya askari police wakiwakamata kwa kuwastukiza watu bila kuwapa taarifa zaidi juu ya kitu walichomkamatia.
Tena wana msemo ya kwamba ukitaka maelezo zaidi...
Hii kesi inatuonyesha nguvu ya vyombo vya habari na NGUVU YA UMMA. Please read this case for those activists and law abiding citizens of this nation.
Follow this link: Wikipedia, the free...
Kuna mwl alituhumiwa kuwa amemwambia mwanakijiji kwamba " mkuu wa shule amenituma nikwambie kuwa umempa mimba mwanafunzi X" kabla ya kujibu tuhuma hiyo kwa muda alopewa, alisimamishwa kazi na...
I am very glad to announce to those persuing LL.B that apart from providing PhD of Laws, Masters of Laws, Bachelor of Laws, Diploma and Certificate of Laws, now St. Augustine University of...
Nilikuwa najaribu kuangalia mambo yanayoitwa ya Muungano na yale yasiyo ya Muungano. Kwa tafsiri ya Sheria ya Ardhi Na. 4 na 5 za mwaka 1999, upo uwezekano kwa wazawa (Raia) wote wa Tanzania bila...
ndugu zangu hamjambo? naomba msaada wa kisheria endapo nilishitakiwa na mtu, nikashindwa kesi, kwa maana ya sheria kupindishwa maana nilitakiwa pamoja na kushindwa nishinde na sio kushindwa, Akimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.