Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kuna mchezo nimegundua kuwa nafanyiwa na Kampuni fulani ya simu kwa kunikata pesa zangu bila ridhaa yangu ile airtime, ukiwapigia wanasema kuwa ulijiunga na huduma hizi. Nimewalalamikia mara...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu? Tafadhali mnisaidie. Mwanamke fulani huku Zanzibar anayejaribu kunitapeli alifungua kesi ya madai, lakini alishindwa kupinga majibu yangu na hati zangu, kwa hiyo alisema mahakamani...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nataka kupata nafasi ya kuingia magereza (yoyote) ili niongee mawili matatu na wafungwa na kupublish mahojiano hayo, je ni hatua zipi za kisheria natakiwa kufuata ili kuwa na uhalali wa kufanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wanaJamvi naomba mnipe ufafanuzi wa kina kuhusu neno subsistence allowance, na ina jumuisha posho gani za kijikimu.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuna Shangazi alikuwa anaishi nje ya nchi ya Mume wake walifanikiwa kupata mtoto mmoja ambaye sasa ana miaka mitatu Mwaka jana mmewe akaamua kurejea Tanzania na uyo kwa makubaliano ya kwamba mtoto...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Watu tuliowekeza kwenye biashara ya daladala tunakumbana na shida nyingi sana. Utasikia dereva anakupigia simu eti gari imekamatwa na imepelekwa kituoni halafu huyo dereva aliyefanya hilo kosa...
1 Reactions
5 Replies
852 Views
Mimi sio mwanasheria ila sidhani kama unaweza kumfungulia mtu kesi kwa kosa la kusema Mungu anaweza kuchukua maisha ya mtu fulani. Kwa mfano,nikisema hadharani, "Mungu chukua maisha ya mtu...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Kifungu cha 49: Muswaada wa Habari kinasema hii Hapa kazi tu....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakumbuka wakati wa Kikwete waliteuliwa majaji wengi kwa mkupuo kupunguza uhaba wa majaji. Watu walihoji sifa za hao majaji kupewa nafasi hizo kama wana sifa stahili. Kama kawaida, umwamba wa JK...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Salamu zenu waungwana, Nawakaribisha kwenye bandiko hili ili tuweze kuulizana na kujibiana kuhusu Sheria za kazi hapa nchini Tanzania. Mimi pamoja na wasomi wenzangu wa sheria wenye nia kama...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ni swala lisilo pingika kwamba kitendo cha Scorpion kumtoboa macho bwana Said kama anavyotuhumiwa limegusa hisia za Watanzania wengi sana. Naomba maoni ya wanasheria humu ndani juu ya hukumu...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Msaada NI SHERIA GANI INATUMIKA KUMFUNGA JAMAA MMOJA aliyempa mimba mwanafunzi mwenye UMRI WA MIAKA 19 akiwa kidato pili?je na huyu ni mtoto?
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Kutana na Dola Indidis, mwanasheria aliyeishtaki Israel kwa kumuua Yesu). nadai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya Kisheria. Anasema "Its academic thing not a...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu salam Naomba ufafanuzi wa sheria hasa kuhusu Kesi ya madai ambayo inamhusisha mtumishi wa umma baada ya kushindwa Kesi na kuamuriwa kulipa gharama na mahakama. Je anaweza akahatarisha ama...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu eti wakili anaweza kukugeuka au kwa makusudi akasababisha ushindwe kesi kwa kushindwa kukutetea? Nilipata kusikia wakili anavujisha siri na ushahidi wa mteja wake baada ya aliyekuwa...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Wakuu kwa mfano mfungwa ambaye anatumikia adhabu alafu akapata taarifa kuwa kiwanja chake alichokiacha mtaani kimechukuliwa na mtu, je anahaki ya kwenda kufungua kesi mahakamani? Anapaswa kufuata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
''Nikiwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza ndipo baba yangu kipenzi aliweza kunitoka duniani,nakumbuka tulikuwa hospitali ya taifa ambapo baba yangu alikuwa amenikumbatia huku akiwa ananiambia...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wana Jf.Niende moja kwa moja kwenye mada.Mimi ni dereva Bajaji na nimekamatwa kwa kosa la kutembea na copi ya leseni kwani orijino ipo na tajiri.Walipo hitaji orijino nikawasiliana na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wasalamu wana JF nimenunua kiwanja mwezi Aprili nikakilipia %90 zikabaki hizo zingine,kabla sijamalizia naenda site nakuta jirani yangu alieuziwa kajenga kaingia mpk kwenye eneo langu,kisheria...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Back
Top Bottom