Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

  • Closed
Habari zenu Wanajamii, Naomba msaada wenu kwa mwenye kujua/kutambua baadhi ya vipengele katika salary slip. Vipengele hivyo ni; 1. Total Company Contributions 2. Total Deductions Haswa hii...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Wana Jamiiforum habarini za asubuhi!!Ndugu zangu nilikuwa naomba ufafanuzi. Mimi niliajiriwa Bukoba na shirika moja la ubelgiji. Katikati ya mkataba wakanihamishia Dar, lakini kabla mkataba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wanajukwaa.. Naomba msaada wenu kisheria wakuu...nitaeleza kwa kifupi kidogo ili nisiwachoshe. Kuna boss wangu (Indian) aliniajiri yapata mwaka mmoja na miezi saba sasa...lakini wiki...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mimi nimepanga chumba cha biashara cha duka nililipa mwaka mkataba wangu unaisha mwez wa kumi na mbili tarehe 31 lakin juz kulitokea ajali chumba kikashika moto duka likaungua sasa leo mwenye...
0 Reactions
5 Replies
820 Views
Habari wanasheri wa jamvi hili. Naomba ushauri wa kisheria juu ya tatizo langu,ni hivi,mimi nina gari yangu ndogo ambayo nilimpa kijana kwa ajiri ya kufanyia biashara maeneo ya kimara kwa lengo la...
1 Reactions
4 Replies
787 Views
Nimekaa kutafkari kwa kina sana kuhusu watu kufungwa kwa kesi zisizo halali, nimegundua kuwa huwa watetewa na wanasheria wasio na uelewa wa sheria ni nini na nini ni sheria. Kwa wanasheria wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilifanya kazi katika taasisi moja ya serikali kwa Mara ya kwanza nilipewa mkataba wa miezi mitatu, baada ya kuisha nikaongezwa miezi sita. Hali iliendelea hivyo kila baada ya miezi sita...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Hey, habari zenu wanaJF? Jina langu ni Gabriel, nipo Dar, na nafanya kazi kwa shirika la kienyeji, na tunatengeneza mradi wa kuwatetea mahabusu na wafungwa wa kike, hasa hasa wanawake wajawazito...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1128679/ MSAADA WA KESI
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Nina ndugu yangu anafanya kazi kampuni Fulani sasa ,chakushangaza HRM wa hiyo kampuni ,kawaambia walinzi asiingie ndani,pia kazuia mshahara wake wa miezi miwili na kikubwa zaidi computer yake...
0 Reactions
1 Replies
584 Views
niwasalimu wote kumekuwepo na dharau kashfa na kejeli dhidi ya wanasheria/waendesha mashtaka wa serikali kana kwamba hawana mchango wowote katika ujenzi wa taifa. je, tunawatendea haki ?
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Mada tajwa hapo juu yahusika: a)Hivi kuna sheria au tangazo la serikali iliyoanzisha/lililoanzisha hiki kitu? b)Kama hipo ni ya/la mwaka gani Maswali mengine yatategemea na ujibwaji wa maswali...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naomba nieleweshwe hapo kdogo maana toka ninakua ninaona na kusikia mbio za mwenge tz na zinatumia gharama nyingi sana za kodi ya wananchi huku faida ikiwa ni kuzindua miradi na viongozi nao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni marketing officer kutoka Unilever courier- nafanya shughuli ya kudeliver parcel au document- kwa sh.5000/= elfu tano tu.nina bima katika service yangu ikitokea document imepotea una be...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu na wenzao zaidi ya 50 wapo gereza ni Segerea Dar es salaam kwa zaidi ya miaka mitatu . Ni sheria ipi inatumika kuwaweka watanzania gerezani...
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Kila Rais anaamua kadiri ya utashi wake juu ya kutekeleza hukumu ya kifo. wale wa Nyerere walifahamika: Mwamwindi, yule aliyemuua mkuu wa mkoa Dr. Kleruu na Mbongo mwenye asili ya Kihindi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF! Jana (10/10/2016) nilinunua vocha kwa wakala wa Maxmalipo kiasi cha sh. 12000 Nilipata risit ya max malipo lakini kwenye line yangu sijaingiziwa vocha hiyo. Nimemueleza wakala...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Nimechoka kuishi kama digidigi ktk nchi yangu mwenyewe. Siku zote TRA walikuwa wapi kutoa elimu juu ya road licence? Kwa nn mnakamata gari lililo na vibali vyote ili kulipia gari ambalo...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Naomba wabobezi wa masuala ya sheria munisaidie mifano ya 'Tort of continuing offence cases' Nitafshukuru sana kwa msaada wowote wa kuniwezesha kupata mifano ya kesi hizo.
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Naomba kujulishwa kama ushahidi wa kimazingira(circumstantial evidence) unaweza kutumika mahakamani kumtia mtu hatiani. Pamoja na hayo maelezo(kama yatapatikana) naomba pia kutajiwa kesi mojawapo...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom