Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nilikutana na rafiki yangu mkoani mwezi wa 7 akaniambia anauza gari yake ambayo naifahamu sana coz alisema amepata tatizo, nikamwambia aniuzie mimi, Coz nilikuwa naifahamu nikamwambia mimi bado...
0 Reactions
3 Replies
872 Views
kipindi cha zile karatasi tulizo zoea kuziita notification kulikuwa na sehemu mbili tofauti za kutia saini ama kukubali kosa ambapo unalipa papo halpo ama kukataa kosa ili shauri liende mahakamani...
2 Reactions
0 Replies
702 Views
Wakuu naomba kujuza. kume kuwa na kawaida kwa waajiri kupuuzia summos wanazopewa kuhudhulia usuruhishi CMA hivi sheria inasemaje kwenye hili naomba kujuzwa.
0 Reactions
11 Replies
39K Views
je wanawake wanahaki ya kugawa mirthi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mdogo wangu aliachwa na mkewe mwaka mmoja uliopita.Katika hali isiyokuwa ya kawaida akamuandikia barua kuwa hamtaki tena na akamkabidhi barua hiyo mbele ya mtendaji. Agosti 2016 akaenda mahakamani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye sheria ya ardhi na.4 /1999 tafsiri ya kiswahili anisaidie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. The primary courts ( Administration of Estates) Rules G.N No 49 of 19711 2. Probate rules made under The Probate and Administration of Estates Act
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna issue naombeni msaada, case inapo Isha hakimu anasema rufaa ipo wazi kwa ambae hajalidhika na maamuzi, sa mfano inatokea judgment holder akakata rufaa na judgment debtor akakata rufaa at the...
0 Reactions
4 Replies
827 Views
Wana J-f Poleni na majukumu,nina mdogo wangu wa kike alipata ajali na kukatwa mguu mmoja juu ya goti.Ajali ni kwamba alikuwa kituo cha daladala gari la mtu binafsi likapoteza muelekeo na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari Mimi ni binti ninayesoma katika taasisi ya elimu ya watu wazima. Nimekuwa nikisumbuliwa kuhusu matokeo yangu ambayo yalikosewa kwa makusudi na muhusika wa examination room. Kisa chenyewe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome amesema kuanzia sasa sheria zote zitakazotungwa nchini zitakuwa katika lugha ya Kiswahili ili kuwawezesha wananchi wengi ambao ndio...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Wanabod habar za majukumu.kwanza nitangulize shukran kwa msaada wanaopata watu humu kuhusiana na maswala haya ya kisheria.nakuweza kupata muongozo wa kutatua matatizo yao. Mimi nina ndugu yangu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello Learned brothers and sisters, Hivi mtu akitumia picha ya mtu mwingine kwenye bandiko lake la biashara bila ridhaa yake hapo atakuwa ametenda kosa gani? Karibuni kwa michango yenu.
0 Reactions
9 Replies
941 Views
Mambo vipi wadau.. Nahitaji kujua ni sheria ipi na adhabu gani anayopewa Mtoto wa chini ya miaka 10 anapouwa bila kukusudia..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
*```TUJIFUNZE SHERIA```* *IJUE KATIBA YA TANZANIA* ```Katiba ni msingi mkuu wa uendeshji wa nchi, ukuaji wa demokrasia na utawala wa sheria. Katiba ni sheria kuu au sheria mama katika nchi...
4 Reactions
1 Replies
9K Views
Naomba kujua hii kesi iliyokuwa na mvuto kwa jamii nini kilizingatiwa mpaka kumtia Bageni hatiani katika kesi ya pamoja na kuwaachia Zombe na wengine huru??Wajuzi wa sheria mtujuze.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna kesi nyingi maarufu ambazo pamoja na kuwa na majina unique uwa zinatia hamasa na burudani sana katika kuzisoma Mfano kuna kesi kama Dpp vs Shaw, cabolic smoke ball, Suzan Kakubukubu vs...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanaume ajitokeza na kudai ameporwa demu na Nuh Mziwanda! Mwanaume ajitokeza na kudai ameporwa demu na Nuh Mziwanda!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wengi washakamatwa kwa kosa la kumtukana rais, na kila anapo kamatwa mtu kwa kosa la kumtukana rais mtu huyo hutangazwa na huishia kupelekwa mahakamani. Pamoja na hatua zote hizi za kisheria...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Msaada wa uelewa please Wana jamvi naomba kufahamu, maana naamini humu kuna wataalam mbali mbali ikiwemo magwiji na wataalam wa sheria.... Swali langu~ Mtanzania mume anapooa mwanamke wa nchi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom