Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

kuna sheria inaitwa Inquest Act ambayo inasema Medical Practitioner atafanya "postmoterm". Now the question is who is medical practitioner. according to Medical Practitioners And Dentist Act R.E...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa wajuzi wa sheria, binafsi sina weledi na sheria. Nilikuwa na kesi ktk baraza la ardhi nyumba na makazi, taxation case kuhusu bill of cost, bahati nzuri ile kesi nimeshinda na imefikia mwisho...
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Asanteni
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Jamani Mkataba wa ajira unatakiwa kuwa na nakala ngapi original maana kuna mtu kaniuliza muajiri wake kampa nakala moja tu asaini na alipouliza nakala yake akaambiwa labda atoe fotokopi
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Je kwa wajuzi wa bima za pikipiki naomba mnijuze iwapo ikatokea mtu kaibiwa pikipiki na alikua amekata compressive insuarance , je kuna uwezekano wa kulipwa madai yake??
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wandugu, I declare interest, mimi ni mdau wa sheria kwa miaka mingi. nimekutana na kifungu cha 130(2)(e) of the Penal Code kinachotoa adhabu ya kosa la kubaka kwa mtu mzima (kuanzia 18 years and...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanasheria na serikali nisaidieni kujibu hii hoja. 1. Ni kwa nini kesi zinazohusu mambo ya siasa zinaharakishwa kusikilizwa na kutolewa hukumu ndani ya kipindi kifupi. Mfano wa kesi za uchaguzi...
0 Reactions
2 Replies
658 Views
Wanafunzi wa Darasa la saba takribani 795,761 leo wameanza mitihani yao ya kumaliza darasa la saba inayotarajiwa kumalizika kesho nchini,ambapo walimu wametakiwa kuhakikisha hakuna udanganyifu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau,kuna rafiki yangu alifukuzwa kazi ktk taasisi moja ya serikali kwa hila tu za boss wake na baadae akaenda mahakama ya kazi na kuonekana kuwa ameonewa hivyo alipwe stahili zake lakini...
1 Reactions
1 Replies
612 Views
Imekua kama desturi watu kukengeuka kutoka kwenye ndoa za kimila na kwenda za kidini yaani mtu anafunga ndoa kwa taratibu za kimila aghalabu kulipishwa mahari na itifaki nyinginezo na kisha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni baada ya muda gani mwajiri anatakiwa awe amemlipa mwajiriwa gratuity baada ya mkataba kuisha?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepata mkanganyiko kidogo na hii sheria hasa kipengele kwamba wafanyakazi wa mikataba hawahusiki na hii sheria yaani wale wenye mikataba say miaka miwili nk ila zaidi inawahusu wale wafanyakazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu sikutaka kuleta huu uzi kama mfanyabiashara mdogo kuomba msaada wa kisheria kuhusu kampuni ya Vodacom Tanzania. Ninavyoandika huu uzi ni mwezi sasa nilituma pesa kwenda akaunti yangu...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu, Ni utaratibu gani wa kuomba kupatiwa ripoti ya uchunguzi wa maiti sababu za kifo chake (Post-mortem examination) kutoka hospital? Mtu kauawa na Dr/Pathologist aliyefanya uchunguzi anasema...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Wakuu hbri za humu. Kuna mtumishi alienda masomoni bila utaratibu wote kukamilika. Cha ajabu mtumishi akawapeleka CMA, kuwashitaki kwa nini hapewi mshahara. Hana barua ya kufukuzwa kazi wala onyo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu mimi ni mpangaji nimepanga sehemu ambako nafanyia biashara yakuzaa vifaa vya mziki mbalimbali sasa kodi namlipa kila mwezi gafla tarehe mbili aliomba pesa nikawambia nitakulipa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Nilipata Ajali ya kugongana gari langu na lingine la kampuni fulani hapa jijini dar,Gari yangu ina third part ile gar iliyonigonga ina Comprehensive,Kesi ilienda nahakamani imeisha mwezi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi, Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya. J3 naenda kazini HR ananiambia...
1 Reactions
59 Replies
9K Views
wa JF naombeni mwenye kujua iyo tofaut ya mwanasheria na wakili anijuze
0 Reactions
9 Replies
14K Views
unaposomewa mashitaka yoyote ya jinai muheshimiwa atakwambia "huku ukijua kufanya hivyo ni kosa" ni kweli kutokujua sheria haikupi unafuu wa adhabu ila mwendesha mashitaka asiandae mashitaka yake...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom