Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Date::4/21/2009
Serikali yatoa onyo kwa wabunge wanaoiba nyaraka za siri
Na Kizitto Noya, Dodoma
MBUNGE ambaye atakayebainika anatumia nyaraka za serikali kwa sababu yoyote ile...
Wakuu salaam.
Mimi ni mhanga wa mikopo toka taasisi za kifedha ambapo niliposhindwa kurejesha mkopo baadhi ya Mali zangu ziliuzwa kwa mnada na dalali wa benki husika. Taratibu zote za mnada...
Wadau, nawawekea hii as an attachment an article on sedition law in modern democracy- experience from Malaysia.
"ukitaka kumficha mtanzania kitu just put it in writing"!
Let us share this to shed light on the above two laws, how the international community looks at it. Follow the link below.
======
A bid to rid Africa of criminal defamation, sedition laws
The...
Wakuu,
Kama nilivyotaja kuna bwana mmoja nilikuwa nafanya nae kazi lakini kutokana na kutokuwa mwaminifu nimevumilia siku nyingi kuusu utendaji wake wa kazi na hisitoshe alikuwa mtu wangu wa...
Imekuwa kana kwamba haupo kabisa! Au kana kwamba uliteuliwa ukiwa huna sifa! Mambo yafuatayo yanadhihirisha ninachokisema.: 1. Polisi baada ya kuwakamata watu kijinga kijinga, na kwa hoja za...
Nina ndugu yangu amekuwa Ni msumbufu sana kwa Jamii.Huyu bwana ameanza muda mrefu kuwa kero toka kwa ndugu zake hadi Jamii mzima inayomzunguka hapa kjjn.
Tatizo lilianza Kama Miaka 14 hv...
Hukumu ilisema Hakukusudia kuua! Mabomu ya machozi sheria yeke inasema huwa unapiga umbali gani toka kwenye target (for that matter waandamanaji) ? Yeye alikuwa umbali gani? Na nini kilimfanya...
Habari wana JamiiForum!
Nina huzuni kubwa sana kwani baba yangu mzazi amekamatwa na police wakishirikiana na askari wa TANAPA na kuwekwa ndani zaidi ya wiki sasa bila ya maelezo yoyote yale ya...
Habari ndugu zangu, nahitaji kujua kuhusu kesi ya mauaji mfano watuhumiwa wa kesi ya mauaji wako wawili au zaidi. Inawezekana hukumu zinatofautiana, au wote watahukumiwa kifungo Sawa?
Wadau mimi naishi na mtoto wa dada yangu, kwasababu dada yangu hana uwezo nilichukua jukumu la kumsomesha huyu mtoto, kwasasa yupo form four, jana kafukuzwa shule baada ya kugundulika ni mjamzito...
Ikiwa postmortem inarudiwa baada ya marehemu kuzikwa, Je nani anapaswa kushiriki? Na haki ya ndugu wa marehemu ni zipi ili kuhakikisha ukweli Wote kuhusu kifo cha marehemu una julikana?
Ni mke wa kaka yangu amekuwa akifundisha shule ya sekondari Mgulasi,iliyopo manispaa ya Morogoro.
Shemeji yangu huyu pamoja na kuwa wako 2 tu wanaofundisha fizikia shuleni kwao,lakini Mkuu wake...
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Biashara imeamuru Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi afike mahakamani kujieleza kwa nini asifungwe gerezani kwa kushindwa kutekeleza hukumu inayohusu...
UMEWAHI KUKAMATWA NA POLISI BARABARANI?
Je, umewahi kukamatwa na polisi wakati ukiendesha gari, pikipiki au baiskeli?
zijue haki na wajibu wako !
Bila kufuata sheria na kanuni za usalama...
Wadau wa sheria msaada tafadhari.kuna huu utaratibu wa wakurugenzi kulipia gharama za masomo kwa watumishi walio makazini.Gharama za malipo zinatofautiana tofautiana kutoka Halmashauri Moja hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.