Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari ndugu Wanasheria, Nilikuwa najaribu kukusanya viambatanisho vinavyohitajika kwa ajili ya kukamilisha maombi ya hati ya kusafiria, sasa kiambatanisho kimoja (Affidavit ya Mzazi) ambacho ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau naomba kujua raisi ana kinga gani ya kutokushtakiwa kwa mujibu wa katiba akiwa madarakani sheria inasemaje najaribu kutafakari vipi wakati mkapa kaenda kutoa ushaidi mahakamani wakati wa...
1 Reactions
2 Replies
827 Views
Habari wakuu! Naomba nipate muongozo wa nini cha kufanya, kuna frame ya biashara nilipata Mjini Morogoro mwaka huu kodi ya pango ilikuwa ni laki mbili kwa mwezi, sasa kwa kuwa nilikuwa na uhitaji...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wanajamii Naomba kufahamu vyuo vikuu vya serikali vinavyotoa stashahada na shahada ya sheria hapa Tanzania
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habar za asubuh ndugu! Naomba msaada wa kisheria juu ya jambo lililonisibu katika ajira nliokuanayo katika kampuni moja hapa Tanzania! Nimefanya kazi kwa miez 7 katika kampuni moja na baada ya...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Hey learned brothers and sisters I just want to know what laws that affect corporations
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Vipi kama nikibambikiziwa kesi Na askari au RAIA yeyote nichukue hatua gain
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Siku hizi pamekuwa na tabia ya watu kuiba hati ya nyumba na kwenda katika taasisi ya fedha kuchukuwa mkopo bila ridhaa ya mwenye hati. Inawezekanaje mtu apewe mkopo kwa hati ambayo haina jina...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nina kiwanja cha mzee ambaye sasa ni marehemu, ni miaka mingi imepita na sasa nimepata akili nahitaji kutumia hati katika mambo yangu ya kibiashara hasa mikopo!! Nb: Nilishakabidhiwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wana janvi ile kesi iliokua inasubiria sana iliokua inamuhusu askari aliemuua marehaemu mwangosi mwandishi wa habari wa Chanel 10 imetoka kwa askari kuhukumia miaka 15 jela kwa mujibu wa jaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtuhumiwa Mohamed Yusuph Ally anayedaiwa kuingiza milioni 7 kwa dakika akipelekwa rumande. MFANYABIASHARA anayedaiwa kukwepa kodi na kuingiza shilingi milioni 7 kwa dakika amesomewa mashitaka 199...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu zangu wataalam wa sheria naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu betting /Kamari au bahati nasibu. 1. Katiba ya nchi ina ruhusu hii michezo? 2.Je ikitokea tatizo let's say umedhurumiwa kwa...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Jamani wanajamvi habarini za muda huu. Naombeni msaada kuhusu fidia ya kulipia gari lililogongwa na sheria inasemaje kuhusu matengenezo ya magari yaliyogonga. Msaada wenu please. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kufahamu wapi pa kupeleka lalamiko lako na taratibu zake, pale unapoona wakili wako amekukosea kwa kutofuata maadili ya kazi yake.
0 Reactions
4 Replies
864 Views
Je kwa sheria za nchi yetu zinaruhusu mali wanazozalisha wafungwa kuuzwa kwa minajili ya kibiashara au magereza za tanzania zinaruhusiwa kuuza kibiashara mali wanazozalisha wafungwa msaada kwenye tuta
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Hivi majuzi tumeshudia picha chafu za bibi harusi kwenye mitandao mpaka ndoa yake kuvunjika ghafla baada ya fungate.Niliona jinsi swala la kule morogoro la kubakwa yule msichana watu...
4 Reactions
41 Replies
7K Views
Nina nyumba imechakaa ipo katika eneo zuri la biashara binafsi sijawa na uwezo wa kuirekebisha kwa sasa, kaja mtu anataka kuirekebishe kisha afanye biashara. Tayari kashaingalia na anasema gharama...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu nahitaji setup ya hii game au direct link nikadownload Email teslasenior@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi mtu mmoja anawezaje kuwa na majina manne? Yanakaaje kwenye Nyaraka za kisheria (Legal Documents) ambazo Mara nyingi huwa na nafasi tatu?!!, yaani Jina la kwanza, la Pili/kati na la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Uliza chochote kuhusu Financial Act ya 2016.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom