Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nimeamua kuleta huku hili suala hili lipate ufafanuzi wa kisheria , kwani hili suala limekuwa likijadiliwa kwa hulka bila utaratibu. Je uteuzi wa ma das unaolalamikiwa kukiuka sheria na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, salaam. Nina shahada ya kwanza Elimu ya pili katika HR. lakini maishani nimetamani kuwa lawyer ingawa sikufanikisha kutokana na circumstances anuai. Naomba mnijuze kama nikifanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Shambani kwangu nimepakana na Mjumbe,huyu bwana na mke wake wamekuwa wakiwalaghai wafanyakazi wangu kila Mara ninapopata mfanyakazi mpya na kupelekea wao kuondoka,na kuna taarifa pia wamekuwa...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Msaada wenu tafadhali kuna jamaa mmoja alikuwa na ugomvi na mke wake ndipo yule mwanaume alipoamua kuchukua kipande cha tofali na kumrushia mke wake lakini mama yule alifanikiwa kulikwepa tofali...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za mihangaiko wakuu. Nina swali hapa ni kwanini wanasheria wanapokuwa mahakamani wavae suti, ni kisheria inatakiwa hivo ........... au mapendekezo ya mtu mwenyewe ???? naombeni...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Hii ishu ina migogo baadhi ya maeneo na watu wanataka kuanza kugoma kununua nyama. Niliwahi kutana nayo na kwenye maoni ya katiba mpya. Kisheria na kijamii nani wanaruhusiwa kuchinja mifugo...
5 Reactions
138 Replies
28K Views
Wabobezi naomba mwenye kumbukumbu/mifano ya kesi zilizokwisha tolewa maamuzi zinazohusu 'malicious prosecution related to employment' ambazo zilisikilizwa katika mahakama za wilaya ndani au nje...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa yaliotokea katika kipindi cha take one na kumhoji yule shoga nakusudia kufungua mashitaka dhidi ya clouds!Kwa wana sheria nitumie njia gani maana nikienda kichwa kichwa sintafanikiwa. Hebu...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari ! Naomba mnisaidie ndugu zangu ! Mi ni mwenyeji wa daresalaam nilikuja ulaya kwa kuzamia meli kutokea south africa nikiwa sina passport na mpaka sasa bado sina passport. Nimejaribu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu salamu, Naombeni msaada wa kisheria kuhusu suala hili. Nimekopa benki ikafika kipindi nikashindwa kurejesha vizuri marejesho yangu kwa sababu ya kupata hasara katika biashara yangu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
habari zenu ndugu zanguni mimi ni mwanasheria nina bachelor ya law nipo kilosa mjini (Morogoro) ndiko ninakofanya kazi nataka kuhamia Dar es salaam. anaetaka tubadilishane nafasi jaman asisite...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeshuhudia Public Prosecutors and sometimes advocates wakisema UONGO ili kushinda kesi! Tafadhali someni hii article hasa Public Prosecutors iwakumbushe wajibu wenu. PUBLIC PROSECUTORS! MUST READ
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Mimi naitwa Marco Mhagama,niliona mke 2013 mwezi wa 6 akapata mimba mwezi wa 11 akajifungua tarehe 29/7/2014 kipindi tunaoana alikua anasubiri ajira ya ualim .Alipo ajiriwa mke huyu akapangiwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zanguni naombeni msaada wa kisheria ....Mimi ni mwanafunzi wa Elimu ya juu mwaka wa pili... Kuna kijana nilimuagiza laptop Iringa huyu kijana tunasoma nae ...ila mpaka sasa hajarejea chuo na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba msaada:- Hivi unapotaka kununua kiwanja ni hatua/mambo gani muhimu unatakiwa kuyafanya kabla ya kununua ili kuepuka utapeli unaoweza sababisha mgogoro?Namaanisha kiwanja sio shamba.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Are expenses such as insurance, wages&salaries, motor expenses included in the calculation of V.A.T? and when expenses are standard rated what is their meaning on vat calculation,, I will be...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Mzee(Baba) alitumia Hati ya Nyumba ya familia kukopea mkopo CRDB Milion 9 pasipo wanafamilia kujua(alikopa kwa siri bila kufata utaratibu) na sahihi ya mke(Mama) ilifojiwa. Kama familia...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Je? Adhabu ya kifo inayotumika na mahakama iendelee au ifutwe? Kwa nini iendelee...na kwa nini unafikiri isiendelee kuwepo.... Ahsanteni.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kujua kama mahakama ya MAFISADI ndiyo itakuwa final katika kesi zitakazofikishwa kwake. Au mtuhumiwa ana nafasi ya kukata rufaa Court of Appeal.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumai mko poa. Wakuu leo naomba tuanze moja kama chekechea kwenye haya maswala ya sheria. Najua humu kuna wanasheria,mahakimu,majaji na watu wote ambao kwa namna moja au nyingine...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Back
Top Bottom