Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nataka nikamshtaki jamaa mmoja baada ya kumpa simu yangu leani kwa elfu20.
Akaniambia angetoka na kurudi baada ya cku kumi, lakni jamaa alikaa hadi cku 30.Alipo fika jamaa hakuwa na cm zaidi ya...
Habari ndugu,
Kuna mtu kanitukana, bahati mbaya zaidi niko mbali nae. Sasa nahitaji mwongozo ktk hili. Nahitaji kumshtaki na kufika mbali zaidi, sababu ni matusi yasiovumilika. Pia katukana kwa...
Ni wiki sasa imepita tangu Mtendaji kata alipochukua vifaa vyangu vya pool table kwa kosa la kufunguliwa kabla ya muda.
Lakini kila nikimfuata anadai hajisikii kunipa na atakapojisikia kufanya...
Habari zenu wanajamvi
Nimepata shida sana katika kulijua hili na bado sijalijua vyema.Kama nchi inataka kujigawa na kuunda nchi nyingine hufuata sheria gani?Na ni mambo yapi yatakayozuilia nchi...
Ndugu wanajamvi,
Binafsi nakerwa sana na ninaposimamishwa na traffic kisha kuombwa leseni, kadi ya gari na wakienda sana ni fire extinguisher na triangle! vitu hivi ni muhimu kuwa navyo na hasa...
Habari zenu wakuu.,
Ninaomba kujua sheria hapa ikoje, nielezee kwa kifupi tu swala lenyewe.
Mzee wangu mimi alinunua kiwanja maeneo ya kibaha, ni kiwanja kilichopimwa kabisa. Yeye aliuziwa...
Wakuu, asalaam aleiykum
Ama baada ya salaam, kama kichwa cha post kinavyojieleza, naomba yeyote mwenye Katiba ya Tanzania ya 1977 anisaidie.
Natanguliza shukrani.
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni flani hapa Dsm na mkataba wangu wa kazi unaisha Desemba 2017.
Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kampuni inampango wa ku outsource operations zake kwenye kampuni...
Leo najisikia amani sana tu. Nataka kusambaza upendo.
Sasa kwa wale wanasheria wanaosoma vyuoni, au wanapenda kujisomea.
Nataka kugawa vitabu vya sheria vya Cambridge. Vipya vya mwaka 2012-2016...
Naomba mnisaidie sheria inasemaje? mm nimezaa na mwanamke mtoto mmoja wa kiume nikapewa tangazo Hospitali na nikaenda Rita nikachukua cheti cha mwanangu cha kuzaliwa mtoto ana miez 10.
Bibi yake...
naomba kuelimishwa, hivi mtu unayemfahamu kama ndugu akikupigia simu akakutishia kuwa atakuua ni hatua gani unaweza kuchukua??? Mtu huyo ametumia namba yake halisi na sababu ya kutoa vitisho hivyo...
Habar wanajamii,
Kwa mwenye ufahamu wa sheria inayohusiana na Financial guarantor, kwa mtu ambaye tayar amesha ajiriwa na tayar alisha saini mkataba wa kudumu wa kudumu kwa takrbani miaka zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.