Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wito wa maandamano kwa Watanzania wote tarehe 21/11/2013 nchi nzima kushinikiza yafuatayo:-
1. Sheria iwe na haki sawa kwa watanzania wote. Kapuya afungwe miaka yake 30 yaishe.
2.Wote waliohusika...
Ndugu wanaJF,
Ninaomba msaada wa kisheria katika swala zima la elimu najua jukwaa hili wapo waataaam wa mambo haya
Sheria zinasemaje au zinatakaje kwa mwalimu aliye bainika kumfelisha mwanafunzi...
Niliajiriwa na kampuni fulani ya binafsi hapa Dar. Taratibu zote za ajira zilifuatwa. Bahati mbaya nikiwa nimetimiza miezi miwili kukatokea kutoelewana pale kazini kati yangu na mmoja wa wamiliki...
Mama Kairuki na Afande Mlowola, tunaomba mtupe definition ya FISADI. Hii ni muhimu kwa vile ile mahakama mnayoianzisha (christened mahakama ya mafisadi), itashughulika na mafisadi. Sasa fisadi ni...
habarini
kuna rafiki yangu hapa, so far ni mwaminifu, ila anataka nimkopeshe 4,000,000 ili ajazie kwenye working capital ya biashara yake
makubaliano ni atakuwa ananilipa 5% ya deni kila mwisho...
wanasheria shikamoni,
Ninahisi kuwa sheria ya nchi yetu inasema mwanamke akibakwa na mwanaume zaidi ya mmoja, au hata mmoja anatakiwa afungwe, naomba kujua kama ni kweli na ni kifungu gani...
Habari wanajamvi!
Sorry naomba msaada namna ya kubadili matumizi ya ardhi kutoka kwenye makazi kwenda kwenye biashara kwa surveyed area.
Ushauri wenu nitaomba ujikite kwenye haya:
1. Ni sheria...
Polisi wanapomshikilia mwenyekiti au Mjumbe wa serikali ya mtaa kwamba alitoa Barua ya kumtambulisha mwananchi ili aweze kumdhamini nduguye aliyekàmatwa kwa kosa la kuiibia maji dawasco. Mtuhumiwa...
Nianze kwa historia kidogo, mwaka 2007 nilimpoteza kakangu mkubwa na mke wake wote kwa pamoja kwenye ajali ya barabarani. Kwenye ndoa yao walifanikiwa kuwa na watoto wawili ambao walichukuliwa na...
Mambo niaje wakuu,
Polen na majukum.
Nina swali mmoja tu nataka mnisaidie tafadhari,
Hivi kodi ya uingizaji wa pikipiki hapa nchini inakuwa vipi?maana TRA hawajaonesha
kwenye website yao wala...
Hello! Wadau wa sheria humu, naombeni kuuliza jambo, kuhusiana na title hapo juu, maana napata shida kujua.
Nauliza, Law School Ya Tanzania, ipo chini ya Wizara ya Katiba na Sheria ama ipo chini...
Nimeshitushwa na kauli za mara kwa mara za DPP wetu kuhusu ugumu wa kuishitaki kampuni ya KAGODA. Nimeshitushwa zaidi na matamshi yake yaliyonukuliwa na gazeti la Tanzania Daima la Jumapili...
Baada ya askari anayesemekana kutukunwa na mke wa waziri wa mambo ya Nje kupost audio aliyeirekodi mitandaoni katika mazungumzo yaliyojumuisha bosi wake pamoja na mke wa waziri (Mama Mahiga)...
Mimi sio mwanasheria, wala sikubahatika kusomea taaluma ya sheria, kwa taaluma mimi ni mhandisi wa umeme na kompyuta, lakini uzoefu wangu wakujisomea machapisho mbalimbali vikiwemo vitabu vya...
wakuu mambo vipi? Naitaji Mwanasheria Ambae ataweza kunisimamia kwenye ishu yangu ya mgogoro wa kiwanja... kuna mtu aliniuzia kiwanja ila badae nimekuja kugundua kuwa amemuuzia na watu wengine 2...
Habari wanaJF,
Leo nimeona ni vyema tukajuzana juu ya mkataba wa huduma kwa wateja wa shirika letu la umeme Tanzania au TANESCO. Kwasababu huu ni mkataba nimeona ni vyema niweke kiambatanisho cha...
Wanajamii naomba mnisadie ushauri wa kisheria, Marehemu baba yangu alikuwa anamiliki eneo lenye nyumba na mabanda ya biashara, lenye Certificate of Ocupancy ya mwaka 1980 na kibali cha kuendeleza...
Naomba mwenye pdf Ya code of good practice and regulations GN 42/2007
============================
Published on: PDF copy from Tanzanian Parliament website, 2004 PDF 470KB
Legislation on-line...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.