Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Law school, Kitivo cha sheria (UDSM) na ubinafsi wa wanataaluma wa sheria
Kati ya fani zilizowekewa ugumu, ubinafsi, mizengwe, na umimi wa hali ya juu Tanzania, basi fani ya sheria inatia...
Tarehe 30 mwezi wa sita, Waziri wa katiba na Sheria aliwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2009/2010 bungeni mjini Dodoma. Pamoja na mambo mbalimbali aliyoyaeleza kutoka katika hotuba yake...
SHULE YA SHERIA YA TANZANIA INAHUJUMIWA?
Sheria ni moja ya taaluma mbalimbali zilizopo hapa nchini na kwingineko. Zipo nyingine nyingi kama vile Uhandisi, Ualimu, Uchumi, Uandishi wa...
habari zenu wadau,
naomba ushauri wenu kwa wale wenye utaalamu wa kisheria,
mzee wangu alinunua Ghorofa kwa mzungu(mzawa) japo alikua hajamalizia hela kidogo ila mzungu alisamehe ila hati...
Jamani msaada wenu wa kisheria Kuhusu huyu jirani yangu ambaye ustaarabu mdogo umemshinda
Iko hivi kila siku asubuhi huwa natoka nje ili kusubiria bajaji au pikipiki kwa ajili ya kwenda kwenye...
Habari wanajamvi,
Mie naishi Mbaya, nilifungua kesi yangu CMA baada ya kampuni kunifukuza kazi bila uthibitisho wa hatia na CMA wakatoa hukumu nilipwe mishahara ya miezi 10.
Baada ya hapo...
Ingawa dhamana ni haki mtu kikatiba, lakini Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo wa Karatu, Martina Fue anawanyima watuhumiwa dhamana ama kuweka masharti magumu kwa sababu anazozijua mwenyewe. Hali hiyo...
Kiufupi dogo alizaa na mwanamke mmoja ambae hakuja kuishi nae na mtoto ana miaka mitatu sasa.
Tatizo liko kwa mwanamke kukosa hekima, dogo anamtunza mtoto kama kawaida anatoa pesa za chakula na...
Habari wana Jamii,
Kwa heshima na taadhima naombeni msaada wa mawazo (Kisheria) katika hili.
Mwishoni mwa mwezi wa tatu mdogo wangu anayesoma kidato cha nne alipotea nyumbani majira ya saa 2...
Habar za kwenu Ndugu zangu kuna jambo naomba kujuzwa eti si kosa kwa mapacha wanaofanana kutumia lesen moja ya gari.
Cheti cha shule iwapo mmoja alifeli mmoja akaendelea bas wanapasiana vyeti...
Ni mda mrefu kidogo tangu hoja mbalimbali zilianza kutolewa na watu hususani wanaharakati wa haki za binaadam(human and peoples rights activists) na wanasheria mbalimbali(lawyers social group)...
habari zenu wanajukwaa... Natumain nyote mu bukheri wa afya na kwa wasio vyema basi mungu awainue kiafya..
kuna mtu aliweka poni kiwanja chake kwa bei ya shiringi elfu thelathini hivi na hiyo...
Juzi nilikuwa maeneo ya selander bridge naelekea upanga. Kwa bahati mbaya kwenye mataaa taa ya njano ikanikuta nipo mbele ya zebra nikasita kuendelea maana nikajua nyekundu itanikuta mbele tu na...
Salaam wana JF.
Nianze kwa kukushukuru kwa mchango wako. Asante sana!
Kuna watu wanaendesha mradi Fulani Wa wakulima hapa Mwanza. Ni mradi unaodhaminiwa na watu Fulani kutoka US.
Sasa mwishoni...
Miezi michache ilopita kuna jamaa mmoja alikuwa anatuhadithia kuwa alikuwa Coco Beach na "kiburudisho " chake, baadaye wakajisikia " wadudu wananyenvua nyenvua", wakaamua kumalizana katika gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.