Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu wakuu, hii nimeiona mara nyingi sana na imekuwa ni kawaida kwa askari Polisi,mwanajeshi au maofisa wa serikali kuwa juu ya sheria sijajua kama ni sheria zetu ndio zinasema hivo au ni...
Mm ni mtumishi wa serikali. Kuna mtumishi mwenzangu ambaye tunafanyanaye kazi kituo kimoja. Ametamka wazi kuwa atakuja kunilisha sumu, japo hakuniambia mm moja kwa moja ila ushahidi upo.
Habari wakuu.
Kumbe sheria ni ujanja ujanja sio haki inayokufanya ushinde.Si ajabu ukiwa na kesi ukaambiwa hii kesi yako ukimpata mwanasheria mzuri unashinda,utajiuliza kwa nini hadi niwe na...
Kutokana na tamko la Rais kuwa matrafiki kuchukua elfu tano ni hela ndogo ya kubrush viatu, JE NIKICHUKUA RUSHWA HIYO nitatiwa hatiani nikitoa kielelezo cha clip ambayo raisi ameruhusu tuchuke...
Habari wanajamvi
Mimi ni mfanyakazi katika kampuni binafsi(sio kubwa) kwa takribani miaka mitatu now
Nmeona nirudi shule na mwajiri wangu amekubali na kuahidi kunilipia ada na kunilipa mshahara...
Wakuu habari za sahizi naomba kujulishwa juu ya hii huduma ya PF3 inayotolewa na Polisi kwa wanaopata majeraha na wanahitajika kutibiwa, je ni sheria gan inayo ipa uhalali hii form kutumika...
Wakuu nataka kununua gari kutoka NGO moja hapa nchini. Lakini hili gari halikulipiwa kodi wakati linaingizwa nchini ila lilisajiliwa kwa namba za kiraia. Nikitaka kulimiliki natakiwa kulipa kodi...
Wajameni nifafanulieni kisheria, je, fumanizi ni kosa? na udhalilishaji unaofuatia matukio haya, mfano kuwatembeza wahusika wakiwa uchi, kuwalazimisha kuwapiga picha wakiwa uchi, pengine kuwapa...
Wakuu, kwa anayefahamu.
Naomba kujuzwa ni Kanuni namba ngapi ya Public Finance Regulations ya mwaka 2001 revised edition 2004 ambayo inazungumzia matumizi mabaya ya fedha za umma/serikali. Au...
hellow guys ukifanya kazi zaidi ya miaka 9 kwenye kampuni bila mkataba ila tu malipo ya NSSF kupelekewa kama kawaida na mshahara usio na salary slip ukija kuachishwa bila sababu una haki zipi...
Wafungwa nane ( 8 ) waliokuwa katika Chumba kimoja katika Gereza moja huko Mjini Texas nchini Marekani waliamua kuvunja hicho chumba chao ili kuweza kumuokoa Askari Magareza aliyeanguka ghafla na...
Wakati nilipopata nafasi ya kupitia sheria ya makosa ya mtandaoni sikupata clear definitions ya adhabu zake na matkwa yake na watu gani haswa wamelengwa kulindwa au kuwa sewed kwa makosa...
Sasa ukimfunga miaka yote hiyo mtoto anakua bila baba: Mtoto huyo huyo atadhihakiwa na jamii kwa kutokuwa na baba na alivyopatikana (bastard?????). Pili malaezi/matunzo???? Hili lilihitaji mjadala...
Wadau msaada kutoka kwenu,
Kuna rafiki yangu alikua kwenye kampuni moja ambayo alikua akifanya kazi pamoja na raia wa kigeni. Anadai siku moja alifanyiwa fujo na raia mmoja wa Uingereza ikiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.