Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Ni muda gani sahihi au unaokubalika kisheria tangu linapotokea tukio kwa mtu kupata Pf 3 au kureport tukio la uhalifu kwenye RB.
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Wapendwa, Katika harakati za kuisoma namba, rafiki yangu ameamriwa kuresign na mwajiri wake au lah atafanya kazi bila malipo. Rafiki huyo ana mkopo toka kampuni hiyo na mwajiri anadai asaini...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasalamu wana JF nimenunua kiwanja mwezi Aprili nikakilipia %90 zikabaki hizo zingine,kabla sijamalizia naenda site nakuta jirani yangu alieuziwa kajenga kaingia mpk kwenye eneo langu,kisheria...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
wakuu niliajiriwa na taasisi moja ya serikali kwa mkataba wa muda flani ,lakini nikiwa kati ya mkataba siku yangu ya kazi nikiwa kazini ikatokea tukio linalohusu kazi lililofanywa na mtu mwingine...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natumaini ni wazima, Nilikuwa nawaza tu kwenda kufunguwa kesi mahakamani juu ya mafao yangu niliyochangia, nakunbuka wakati najaza mkataba wa kujiunga na mfuko huu wa mafao sikuambiwa na wala...
1 Reactions
5 Replies
995 Views
Habari wadau, Nina mdogo anatarjia kuingia law school of tanzania disemba 2016 hivyo angependa kujua ni vipi atapata makazi jirani na shule na ni bei gani pia angependa kufahamu zaidi maisha ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni kwa mujibu wa tangazo jipya linaloonyesha watumia madawa ya kulevya wakipinga uchangiaji wa sindano wanapojidunga madawa hayo,..tangazo hili linaonyesha kuunga mkono matumizi ya madawa hayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakubwa tumekuwa tunasikia watuhumiwa wa madawa ya kulevya wakikamatwa. Kuna yule mama alikamatwa kunduchi na wengineo wengi hebu tupeni mrejesho hivi kesi za madawa ya kulevya tanzania huwa zinaisha?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshimu kwenu wakuu nilikuwa nataka kujua taratibu zinazotumika kumkataa msimamizi wa mirathi Mahakama ya mwanzo jee unaandika ombi la kummkataa au unafanya vipi kwa sababu ni miaka miwili sasa...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Wapendwa katika Bwana hamjambo? Nawasilisha hoja yangu kwenu nikitafuta msaada, Hawa Bodi ya Mikopo wamekuwa wakifanya makato kwenye mshahara wangu kwa muda mrefu sasa wakati sikuwahi kusoma...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wajamani mtoto wangu alifanya interview ya kujiunga na hii kozi , mwenye kujua waliochaguliwa kujiunga nayo watujuze maana muda unaenda na hatujaweza kuandaa hata huo mkopo maana hatuna majibu,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hamjambo. Mimi ni mstaafu na ninataka kupata "resident permit" kwa mara ya pili (renew) lakini ninalazimishwa kupata barua ya sheha. Ninataka kujua kujua sheria gani sheha anaweza kukataa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwepo na kesi nyingi dhidi ya serikali ktk mahakama/tume za usuluhishi watumishi wakidai kufukuzwa kazi kwa uonevu na hivyo kuhitaji wakulipwa fidia na stahili zao kwa uonevu na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WANDUGU, TUANDIKE WOSIA ILI WATOTO WATAKAPOBAKI WASIISHIE KWENYE MAISHA YA SELINA.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya serikali ameshangaa kukuta kwenye risiti ya mshahara makato ya CWT CONTRIBUTION wakati hajawahi kuomba wala kujiunga na chama hicho. Kuna sheria ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau, Hivi sheria zinasemaje katika hili. Wafanyakazi wa umma wameajiriwa na serikali, na serikali hiyo hiyo ndo inasema baadhi ni hewa, sasa kwanini gharama za kwenda kuhakikiwa wanazotumia...
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Hivi kwa mfano mh. mkuu wa wilaya akatoa amri ya mimi kukamatwa, na nikakamatwa nikawekwa ndani kwa zaidi ya masaa 48, hivi ni sahihi kwa yeye kuniweka masaa yote hayo? na kama sio sahihi naomba...
1 Reactions
6 Replies
991 Views
Wadau habarini za mchana naomba kupata sheria inayozungumzia kupewa barua ya majukumu ya kazi pale unapoteuliwa kusimamia majukumu flani kwa mfano umeteuliwa kuwa mtaaluma mana nasikia ni lazima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni ushauri mimi nilichukua pesa laki nane tu kwa ajili ya biashara, ya chips ila haikunilipa mtaji ulikata wote, ingawa nilikuwa na familia ya watoto watatu, na mke mmoja nime teseka Kwa...
1 Reactions
3 Replies
826 Views
Nani Ana ufahamu juu ya (legal methods 1)anijuze inahusiana na nini
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Back
Top Bottom