Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Uhuru wa mahakama ulitamalaki na hawa, to mention but a few 1. Lugakingira 2. Mwalusanya 3. Mroso Being a Judge is not easy! as it is now! www.bbc.co.uk/news/world-africa-35562081
1 Reactions
0 Replies
778 Views
Kumekuwa na ubabe mkubwa mkubwa sana unaofanywa na serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kuhusu kulipa madeni ya mikopo ya 'tuition fees' na kufikia hata hatua ya kutu-brand...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu,Serikali Ishaupeleka Bungeni Muswaada wa Sheria ya Msaada wa Kisheria 2016-(Legal Aid Bill of 2016) na Kusomwa kwa Mara ya Kwanza! Muswaada Utawatambua Watoa Msaada wa Kisheria,Hasa Watakao...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau mnisaidie, kuna ndugu yangu alikuwa na kesi kazini kwake lakini kabla ya kutatuliwa katika kikao cha nidhamu mdau alikuwa anajiskia kuugua hata akashindwa kuhudhuria tarehe zilizopangwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomben mnieleweshe ktk kesi ya mb wa arusha nin tatizo hadi apigwe danadana ya mdhamana?
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Why married couple are disqualified by law to enter into contract
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WHY HARDWARE DEVICE ARE NOT VERY USED IN LEGAL EVIDENCE TO COMPARED TO SOFTWARE KWA NINI HARDWARE DEVICE(MFANO COMPUTER,MOBILE PHONE) HAZITUMIKI SANA KAMA USHAIDI MAHAKAMANI UKILINGANISHA NA...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nina watoto 3 ninawalea bila baba yao, Nakaa yumba ya kupanga Tandale kwa Tumbo Nafanyakazi ya uuguzi hospitali moja kinondoni, baada ya makato yote mshahara wangu ni sh. 547,058.24. nauli yangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello guys l am a first year student of law at udom. I have the have not understood to these terms that we have been given as a question to deal with, the question is that. The strict liability...
0 Reactions
7 Replies
923 Views
Kwa aliye Na taarifa Juu ya kesi ya kupiga Umeya wa Manispaa ya Kinondoni ambao CCM waliufanya kama Uchaguzi wa Kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni .Je kesi hiyo itaanza lini?
0 Reactions
0 Replies
741 Views
karibuni wanabodi mnipe msaada wa kisheria. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Ikiwa kwa uwezo wa kawaida kabisa nimebaini kuwa mahakama kwa kuelewa au kutoelewa haitendi haki kwa mtuhumiwa...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Naomba msaada wana jamiiforum kuhusu sehemu ya mada iitwayo criminal liability vire vineno vya actus reus and mens rea
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu zangu, tumekuwa tukishuhudia baadhi ya askari police wakiwakamata kwa kuwastukiza watu bila kuwapa taarifa zaidi juu ya kitu walichomkamatia. Tena wana msemo ya kwamba ukitaka maelezo zaidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Babari za humu wapendwa me naomba kujliza jkt inaanza mwezi wangapi kutoa nafasi kwa vijana wakujitolea?
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Hii kesi inatuonyesha nguvu ya vyombo vya habari na NGUVU YA UMMA. Please read this case for those activists and law abiding citizens of this nation. Follow this link: Wikipedia, the free...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Kuna mwl alituhumiwa kuwa amemwambia mwanakijiji kwamba " mkuu wa shule amenituma nikwambie kuwa umempa mimba mwanafunzi X" kabla ya kujibu tuhuma hiyo kwa muda alopewa, alisimamishwa kazi na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wajuzi, naomba kujua kama huyu Mheshimiwa Jaji Richard E. Mziray bado yuko kwenye utumishi wa umma mahakamani? Kama hayupo yuko wapi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I am very glad to announce to those persuing LL.B that apart from providing PhD of Laws, Masters of Laws, Bachelor of Laws, Diploma and Certificate of Laws, now St. Augustine University of...
2 Reactions
58 Replies
11K Views
Nilikuwa najaribu kuangalia mambo yanayoitwa ya Muungano na yale yasiyo ya Muungano. Kwa tafsiri ya Sheria ya Ardhi Na. 4 na 5 za mwaka 1999, upo uwezekano kwa wazawa (Raia) wote wa Tanzania bila...
4 Reactions
9 Replies
5K Views
ndugu zangu hamjambo? naomba msaada wa kisheria endapo nilishitakiwa na mtu, nikashindwa kesi, kwa maana ya sheria kupindishwa maana nilitakiwa pamoja na kushindwa nishinde na sio kushindwa, Akimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…