Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba msaada wa kisheria wadau,
Ikiwa hakimu ametoa hukumu na mshtakiwa akashinda kesi, hakimu akaruhusu ikiwa mlalamikaji hajaridhika anaweza kukata rufaa ndani ya siku 30,
Je mshatakiwa...
Ndugu wanajamvi,
Nimejitokeza hapa jukwaani kuuliza swali hili ili nipate ufafauzi wa kisheria. Je, kuna sheria yoyote iliyotungwa na Bunge la JMT inayombana mfanyabishara kuuza bidhaa? Na kama...
Habari wapendwa!
Naomba kuuliza ni taratibu zipi zinatakiwa kufuatwa za kubadili jina mahakami! Nina mdogo wangu ambaye alisoma Tanzania mwaka darasa la saba na kufaulu kwenda sekondari ila kwa...
Naombeni msaa wa kujua ni sheria gani inalinda wazo la ubunifu au hatimiliki ya ubunifu wa vitu kama michoro ya nyumba,software ,musiki,mitambo na vitu mbalimbali vya ubunifu sheria na adhabu yake...
Kuna kijana flani alikuwa anafanya kiwanda cha wachina cha kutengeneza magunia.
Amekuwa mfanyakazi wa hicho kiwanda kwa muda wa miaka minne na miezi tisa lakini kama walivyo wachina, hakuwa na...
Tujiulize swali hili: was the decision of the Resident Magistrate an interlocutory decision in terms of Section 5(2)(d) of the Appellate Jurisdiction Act, 1979 and therefore not subject to appeal...
Ni kesi ya ajira ninayotarajia kufungua hapa CMA mjini Iringa.
Kesi yenyewe ni unfair termination yaani mwajiri kakatiza mkataba wangu kiuonevu. Taratibu za kumwachisha kazi mwajiriwa ninazijua...
Salamu wana jamii, kuna jambo linanitaza naomba kueleweshwa. Hivi karibuni nimewasikia wabunge wa upinzani wakimlalamikia Rais JPM na serikali yake kuwa kitendo chake cha kutumbua majipu...
Naomba ufafanuzi wa mirathi ya wake ewawili.
Nina kaka yangu aliyefariki miaka miwili iliyopita akiwa na wake wawili. Mke wa kwanza alifunga naye ndoa kanisani na amezaa naye watoto wanne na Mke...
kutoa mimba ni uuaji wa kikatili kwa kiumbe kisicho na hatia tena kisichoweza kujitetea. visa vya utoaji mimba yaani uuaji wa watoto ambao hawajazaliwa ni vingi. sijui kwanini wanaotoa mimba...
Nizipi haki zako pindi ukipandishwa cheo au kutoka nafasi ya chini kwenda nafasi ya juu bila ongezeko la mshara wala grade..
mfano..ulikuwa cashier now wana kukomfemi kama accountant
then unapewa...
Habari wana JF ,natumaini wazima ,kuna tatizo ambalo lipo ila hili nitaliandikia uzi wake hapa hapa hili nilakuhusu kesi ya mpka baina yetu na jirani yetu ,ila hili limezaa hili la picha...
naomba msaada wana jamvini, sheria inawezaje kumhukumu mtu ambaye bila ya ruksa kaweka number ya msichana mmoja kwenye mitandao na kudai kwamba eti anatafuta mchumba, wakati siyo kweli... sasa...
Kwa ufupi
Hakimu Mkazi wa wilaya hiyo, Agnes Mhina alisema upande wa mashtaka umethibitisha kosa hilo pasipo kuacha shaka kuwa Juma Omari (30) na Samwel Shoo (23) walitenda kosa hilo.
By Hussein...
Wakuu naishi hapa karibu na Micasa lounge Riverside. Wamekua wakipga muziki kwa sauti kubwa sana,kiasi kwamba houses within 200m kutoka hapo bar tunapata shda sana.
Yaani usiku kama huu sauti iko...
Pindi mwanamke anapokunywa sumu kuhusu mapenzi alaf akaandika ujumbe wenye jina la MTU flani hivi hyo MTU alieandkwa jina anahusika vipi ??? Na hukumu yake huwa Ni VP ???
Habari wakuu, nimeamua kutunga vitabu vya sheria kwa kiswahili ili kuweza kuchangia ktk ulimwengu wa haki na sheria.
Ndani ya kitabu hiki kuna mada zifuatazo,haki zako unapokamatwa na polisi...
Samahani sana wakuu. Naomba kujua link ya application ya sheria ya nchi yangu ya Tanzania. Maana natumia katiba kwa njia ya simu. Nahitaji pia kuwa na app ya sheria. Naomba kuwasilisha
Nimechoka nataka kulinda hadhi yangu je ninaweza kuchukua hatua gani za kisheria dhidi ya kinamama hawa wanaonitukania mke wangu ambaye ni mpole saana!Natamani hata kuua mtu kwani hawa watu ni...