Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wakuu,
Samahani naomba msaada kwa yoyote ambaye ana connection na watu wa idara ya uhasibu mahakama ya mirathi temeke aweze kunisaidia mawasiliano.
Mama yetu mzazi alifariki mwaka Jana...
Wengi hatufahamu sheria inayotumika katika kuilinda bendera ya taifa na kuiheshimu.
Wakati wa ushushwaji wa bendera watu hutakiwa kusimama lakini pia wengi hawafahamu kuhusu hilo wala sababu ya...
Habar za usiku huu wana nzengo, mimi ni mmiliki wa carwash somewhere
Kwa bahati mbaya au nzuri pale nilipoweka carwash yangu kuna shughuli kadha wa kadha za kijamii,
Kwa kipindi ambacho...
Habari zenu ndugu humu ndani.Naomba ushauri.
Nina kesi tangu August 2023 hapa arusha.
Sasa kesi haikuwahi kufikishwa mahakamani ipo polisi mpaka leo.
Jumatatu niliitwa na askari anayehusika na...
Kwa wananchi wa Tanzania, serikali, na wadau wote:
Ni kwa wasiwasi mkubwa naandika juu ya kukithiri kwa rushwa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya jeshi la polisi nchini Tanzania. Ingawa kwa...
Salam ndugu zangu,
Ni mwaka wa pili Sasa toka niuziwe KIWANJA mbele ya serikali ya mtaa/ Kijiji
Naomba msaada au ushauri wa namna ya kupata Saini ya mahaka au HATI MILIKI .
Natanguliza shukrani zangu
Wabobezi naomba msaada. Nina Shamba ambalo namiliki kihalali. Lakini ninashindwa kuliendeleza kwa kuwa Kila siku wafugaji wanachungia ng'ombe humo. Hili limekuwa ni tatizo kubwa sana sana kwani...
1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako.
2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki...
Wosia ni maandishi au maneno anayo ya tamka mtu akielezea taratibu za mazishi yake,warithi, wake baada ya kifo chake
WOSIA KATIKA SHERIA YA KIMILA
Wosia wa maneno ya mdomo lazima wawepo mashahidi...
habari waungwana? mwezi wa 12/2023 mama ang alisafiri Musoma kwenda Chato Geita, alipofika mwanza stand akagundua kua tayari kapoteza pochi yake ambayo ndani ilikuwa na kadi ya mpiga kura, nida ...
Wakuu habari zenu! Hope mu wazima wa afya. Nimekuja hapa kuomba ushauri. Kiufupi nimechaguliwa kwenda law school intake ya January mwaka huu ila bado Kuna kitu kinaniwazisha.
Kuna kazi fulani...
DHANA YA NDOA (PRESUMPTION OF MARRIAGE)
Ndugu msomaji, unaweza kuwa na maswali mengi juu ya wapenzi (mwanamke na mwanaume) wanaoishi pamoja kwa kipindi fulani au hata muda mrefu zaidi pasipo kuwa...
Wadau natumai ni wazima wa afya njema,naomba kufahamu stahiki anazotakiwa kulipwa mtu aliyefanyiwa" retrenchment" na bado ana mkataba.
======
Wadau natumai ni wazima wa afya njema,naomba...
Wadau wa sheria, je sheria inasemaje kama mwajiri ameamua kuuza taasis yake kwa mtu mwingine na makubaliano yao ni kuwalipa mafao yao waajiriwa kabla ya kuuza!sheria inasemaje kwa watu ambao bado...
ORDERS
THE LOCAL CUSTOMARY LAW (DECLARATION) ORDER (1963)
(Section 12)
[1st August, 1963]
G.N. No. 279 of 1963
FIRST SCHEDULE
DECLARATION OF LOCAL CUSTOMARY LAW
SHERIA ZINAZOHUSU HALI YA...
Article: By Zakaria Maseke
zakariamaseke@gmail.com
Advocate/Wakili.
(0754575246 - WhatsApp)
Unit titles (hati pacha) ni nini? 🤷♂️ Ni mfumo ambao mtu ‘ANAMILIKI’ sehemu au chumba (apartment au...
Habari zenu Wadau,
Kama unatembelea jukwaa hili la sheria, ina maanisha tayari unafahamu umuhimu wa sheria katika maisha yako ya kila siku.
Lakini ukitaka kujifunza sheria program zilizopo...
habari wadau.
wataalamu wa sheria naomba majibu yenu.
JUMA anamiliki kiwanja chenye sqm 1200.
amepatwa na shida ameamua kumuuzia AMINA sehemu ya kiwanja chake. kamuuzia sqm 400 na yeye JUMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.