Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Naomba nijuzwe kisheria, shitaka limefika mahakamani, ikatokea mlalamikaji ajatokea mahakamani kwa sababu anazozijua mwenyewe, kesi itakuaje hapo!
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Law school, Kitivo cha sheria (UDSM) na ubinafsi wa wanataaluma wa sheria Kati ya fani zilizowekewa ugumu, ubinafsi, mizengwe, na umimi wa hali ya juu Tanzania, basi fani ya sheria inatia...
4 Reactions
16 Replies
13K Views
Tarehe 30 mwezi wa sita, Waziri wa katiba na Sheria aliwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2009/2010 bungeni mjini Dodoma. Pamoja na mambo mbalimbali aliyoyaeleza kutoka katika hotuba yake...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
SHULE YA SHERIA YA TANZANIA INAHUJUMIWA? Sheria ni moja ya taaluma mbalimbali zilizopo hapa nchini na kwingineko. Zipo nyingine nyingi kama vile Uhandisi, Ualimu, Uchumi, Uandishi wa...
2 Reactions
1 Replies
10K Views
habari zenu wadau, naomba ushauri wenu kwa wale wenye utaalamu wa kisheria, mzee wangu alinunua Ghorofa kwa mzungu(mzawa) japo alikua hajamalizia hela kidogo ila mzungu alisamehe ila hati...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Jamani msaada wenu wa kisheria Kuhusu huyu jirani yangu ambaye ustaarabu mdogo umemshinda Iko hivi kila siku asubuhi huwa natoka nje ili kusubiria bajaji au pikipiki kwa ajili ya kwenda kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Mie naishi Mbaya, nilifungua kesi yangu CMA baada ya kampuni kunifukuza kazi bila uthibitisho wa hatia na CMA wakatoa hukumu nilipwe mishahara ya miezi 10. Baada ya hapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ingawa dhamana ni haki mtu kikatiba, lakini Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo wa Karatu, Martina Fue anawanyima watuhumiwa dhamana ama kuweka masharti magumu kwa sababu anazozijua mwenyewe. Hali hiyo...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kiufupi dogo alizaa na mwanamke mmoja ambae hakuja kuishi nae na mtoto ana miaka mitatu sasa. Tatizo liko kwa mwanamke kukosa hekima, dogo anamtunza mtoto kama kawaida anatoa pesa za chakula na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana Jamii, Kwa heshima na taadhima naombeni msaada wa mawazo (Kisheria) katika hili. Mwishoni mwa mwezi wa tatu mdogo wangu anayesoma kidato cha nne alipotea nyumbani majira ya saa 2...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ninaomba yeyote mwenye kanuni za utumishi wa umma ani PM ili tuwasiliane nami nizipate. Asante
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habar za kwenu Ndugu zangu kuna jambo naomba kujuzwa eti si kosa kwa mapacha wanaofanana kutumia lesen moja ya gari. Cheti cha shule iwapo mmoja alifeli mmoja akaendelea bas wanapasiana vyeti...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtu amesimamishwa kazi, akapewa charge sheet, akaenda inquiry committee Na wakadeclare hana kosa lolote, inquiry committee ikapeleka inquiry yake displinary committee nayo ikamwona mtuhumiwa hana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni mda mrefu kidogo tangu hoja mbalimbali zilianza kutolewa na watu hususani wanaharakati wa haki za binaadam(human and peoples rights activists) na wanasheria mbalimbali(lawyers social group)...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
habari zenu wanajukwaa... Natumain nyote mu bukheri wa afya na kwa wasio vyema basi mungu awainue kiafya.. kuna mtu aliweka poni kiwanja chake kwa bei ya shiringi elfu thelathini hivi na hiyo...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Juzi nilikuwa maeneo ya selander bridge naelekea upanga. Kwa bahati mbaya kwenye mataaa taa ya njano ikanikuta nipo mbele ya zebra nikasita kuendelea maana nikajua nyekundu itanikuta mbele tu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wana JF. Nianze kwa kukushukuru kwa mchango wako. Asante sana! Kuna watu wanaendesha mradi Fulani Wa wakulima hapa Mwanza. Ni mradi unaodhaminiwa na watu Fulani kutoka US. Sasa mwishoni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kuelezea tusi ambalo mtu alilitoa kwa adui yake ni kosa? Nisaidien majibu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye kufahamu nawezaje kupata Tanzania Law Reports soft copy of these materials anisaidie
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Miezi michache ilopita kuna jamaa mmoja alikuwa anatuhadithia kuwa alikuwa Coco Beach na "kiburudisho " chake, baadaye wakajisikia " wadudu wananyenvua nyenvua", wakaamua kumalizana katika gari...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…