Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kuna shida kwenye nguzo inayoingiza umeme kwangu. nilienda kutoa taarifa tar 2/4/2016 hadi leo hawajaja! nimerudia kutoa taarifa jana na leo. lakini hadi sasa hawajaja! hapa kwangu nina mashine ya...
Wakuu nawasalimu...
Ama baada ya salamu naomba msaada wa kisheria kuhusu hili.
Mimi ni msimamizi wa mirathi na taratibu zote zilifatwa mpaka nikateuliwa kuwa mrithi.Tatizo ni kwamba nyumba...
Hbr zenu wana jf, imetokea mlalamikaji amewaomba mashahidi waliohudhuria tukio wakatoe ushahidi mahakamani wakakataa, mlalamikaji inatakiwa afanye kipi ili kupata haki yake
wakuu habari zenyu..
Wakati fulani nikiwa ndio nakua kwenye miaka ya 90s hivi kulikua na kesi moja nilikua naisikia kwenye vyombo vya habari ilikua inamhusu mzungu mmoja ( kama sijakosea...
Kwa wale ndugu zangu wanaosoma sheria,
Kuna Kitabu cha Mzee Samatta Kinaitwa Rule of Law VS Rulers of Law.
Ukipata pesa jitahidi ukitafute; kimekusanya kesi nyingi alizozihukumu.
Na kama ukisoma...
Abari zenu wadau, nimepatwa na mtihani baada yaku mzamini rafikiangu fulani
bank, ili aweze kupewa mkopo. sasa baada alipo pewa huo mkopo wa milioni 4, amerejesha rejesho 4tu, akaingia mitini...
Mkataba wangu Mimi unaishia mwezi wa 7, Leo ni mwezi wa 4, mwenye nyumba, nyumba tunayoishi kaiuza, hajatuambia official tunasikia na mafundi wake tuu. Sasa anataka atuhamishie nyumba ingine...
RC Makonda have to think twice before making some of his statement out of emotions. I have heard that Regional Commissioner of Dar es Salaam have officially banned religious leaders and their...
Kuna jamaa yangu alikamatwa kwa kesi ya kuhisiwa kavunja kaunta ya Bar ,baada ya kumkamata wakampiga na kumpeleka kituo cha polisi, wakachukuliwa Maelezo na mtuhumiwa kawekwa ndani kwa siku...
Wakuu, nimetakiwa kumsimamia mama mjane juu ya haki zake. Mama huyu aliolewa mwaka 1997 huko Mpanda na mume aliyekuwa na watoto wanne wakubwa. Baada ya mwaka mmoja mume aliyekuwa mfanyakazi...
Jamani ndugu zangu wataalamu wa sheria kuna mtu nilimkopesha milioni moja na tukaandikiana kuwa baada ya miezi 2 atatudisha milioni moja na laki tatu saivi ni miez minne mnisaidie nifanyeje...
Msaada wa kisheria kuna kesi ya ubakaji kwa mtoto wa miaka 7 amebakwa na vijana wenzie wa umri sawa na wake
wazazi wake wamekataa kuelewana na wazazi wa watuhumiwa wanaomba waende mahakamani je...
Naomba kusaidiwa mdogo wangu aliajiliwa serikalin mwaka 2012 june akiwa na cheti,anategemea kuhitimu ngaz ya dproma mwez wa tano,,hajapanda daraja mpaka leo,taarifa zlizopo watapandishwa mwez wa...
Kiwanja kimevamiwa na mtu amejenga nipeni ushauri wa hatua za kuchukua. Ili mtu apate haki yake Kinyume cha hapo msaada unahitajika haraka mizunguko sio dili
Wakuu habari za usiku ....nina kesi mahakama ya mkoa mwanza na kesi ipo hatua za mwisho baada ya polisi kusua sua na ushahidi toka 2010 mpaka leo na mara kadhaa hakimu anamwonya mwendesha mashtaka...
Wadau samahani na mniwie radhi kama ntakosea jambo.
Naomba wanaojua sheria na wenye uzoefu katika hili kwa kulipitia wanisaidie.
Hivi unaweza kumpa mirathi mtoto ambae ulizaa kabla haujaoa...