Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari wakubwa. Naomba kujua kuhusu hii biashara Kama ni illegal au hapana na mahala pa kuzipata kwa jumla na bei zake kwa mwenye kujua, maana kuna tenda jamaa yangu kanipa yeye ni muuza mtumba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu, mimi ninafanya kazi katika kampuni xxx walinihakikishia kunipa mkataba lakini hadi leo sina mkataba imeshapita miezi zaidi ya mitano na sina jinsi ya kudai mshahara maana nalipwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeibiwa pesa kutoka benki ya CRDB na NMB kwa njia ya mtandao (cyber crime). Jamaa aliswap namba Yangu ya simu na Kisha akaenda kuisajiri upya na akaitumia kukwapua pesa benki zote mbili na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada. Nilinunua jiko lagesi dukani nabaada yakulitumia kwamwezi moja aliwaki tena. Kwakifupi niliuziwa kitu kibovu. Ninahaki yakulirudisha au nimeshazurumiwa.
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Fani ya sheria inaonekana haina deal tena.. Zamani wanasheria walikuwa wanapiga sana hela, but nowadays mambo yamekuwa vice versa, fani ya sheria haiheshimiki tena. Jamaa...
1 Reactions
41 Replies
10K Views
Habarini wadau. Naomba kujuzwa juu ya hili: Kama mtu amerithi kiwanja ambacho kilishapimwa na kina hati ila kwa bahati mbaya ile hati ilipotea...anatakiwa afwate taratibu gani ili aweze kuipata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hellow, would any one pls post a TANZANIA LABOUR ACT for me in WORD FORMAT? I badly need it. thanks.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Jamani wanajamii kuna kaka yangu anasumbuliwa sana na mke wake na anachohitaji yeye ni mume wake ndiye aende mahakamani na kuhitaji kutoa taraka ili apewe masharti magumu iwe faida kwake. Kitu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ilifikia hatua ikabidi nizoee, kushtuliwa kwa simu kuita kwa namba ngeni kisha nikipokea naskia robo calls/automated calls za matangazo either ya kunishawishi kujiunga na ringtones n.k, SMS ndio...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Abbas Kandoro amewasilisha maoni ya wakuu wa mikoa ya katiba. akasema eti watu wenye mzazi mmoja ambaye si raia hawana haki ya uraia Tanzania. Eti allegiance yao itakuwa elsewhere!!! yeye mwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau Ili swali kwa walio USA tu. Nina rafiki yangu jina kapuni kaniagiza nimuulizie swali humu Kaoa mnyamwezi na wana miaka karibia 3 na anayo green card ya miaka kumi Tatizo bibie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba kujua kama wazazi wamehamia Tanzania kutoka nchi nyingine na Baba akapata uraia wa kuandikishwa na mama hajapata je mtoto atakayezaliwa Tanzania mzazi mmoja akiwa na uraia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa JF na wanasheria, ningependa kufahamishwa hili; Sheria ya fedha inasemaje juu ya kiwango cha fedha tasilimu ambacho mtu anaweza kutembea nacho? Mfano: Fedha za Dodoma (alizokamatwa nazo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia chaguzi mbalimbali zilizofanyika hapa Tanzania kwa muda mrefu, kwa kweli nimekuwa nikitatizika na suala moja ambalo nimeona ni bora niombe msaada kwa wadau mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wajuzi wa sheria naomba kusaidiwa hili! Hivi sheria inasemaje kuhusu uhamisho wa mfanyakazi kutoka Kituo kimoja hadi kingine hasa kama anafuata familia yake! Je kuna sehemu yeyote inayo mlazimisha...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
wana jukwaa ninaomba mwenye soft copy ya Law of Contracts act (2002) na The bills of Exchange Act (2002) ninaombeni plz
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Ile pesa unayomwekea ndugu ama rafiki kama dhamana polisi huwa inarudishwa au ndio imeenda?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna dada yangu mmoja alinunua kiwanja miaka ya 96 hivi na aliuziwa na mzee mwenye hilo shamba pamoja na mtoto wake wa kiume ambapo kwa sasa wote ni marehemu. Leo hii ndugu wanaanza kujitokeza na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu ya kila siku. nafanya kazi katika shirika moja binafsi kwa mkataba wa miaka miwili na ktk mkataba huo ili uresign unatakiwa utoe notice ya miezi 3 au uache/ ulipe mshahara wa...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Waheshimiwa wanasheria, Kuna jambo ambalo linanitatiza kwa muda mrefu naomba msaada wenu Kuhusu Pride Price? Je, Kwenye sheria zetu imo, na zinasemaje? SHUKRANI
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…