Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu habari zenu,
Naombeni msaada wa kisheria kujua kuhusu hatimiliki na taratibu zake, na gharama zake zikoje pia!!
Kama kuna mwanasheria ambaye atataka kunisaidia zaidi..naomba anitafute...
Mimi nataka kujiunga na chuo mwaka huu na tayari nimeshachukuwa application form.Tatizo langu ni pale ambapo majina ya vyeti vyangu vya O'level na A'level ni tofauti na majina yaliyo kwenye...
Makongoro Nyerere aunganishwa kwenye kesi ya Abubakar Marijani Papaa Msofe13/02/2013
0 Comments
Imeandikwa na Happiness Katabazi, Dar es Salaam via blog --
MFANYABISHARAmwingine na Mkazi wa...
Haya yamejili Leo alipokuwa akiongea na wajumbe waliofika Dodoma Leo. Amehudhunishwa na hali ya Chuo hicho kuwa chini ya kiwango, ameonyesha kutolizika kabisa na kiwango cha elimu kitilewacho na...
Habari.
Nimedhamiria kufungua kesi kuishitaki taasisi ya mikopo ya faidika kwa kufoji mwandiko wangu na kunikata makato makubwa zaidi ya kiwango tulichokubaliana. Kwa sasa sina fedha ya kuendesha...
Habari zenu wadau mimi ni mtunzi wa riwaya chipukizi nilikuwa nahitaji.msaada wenu katika kuaandaa riwaya mpya ambayo inahusu mambo mbalimbali yanayohusu sheria.
Nimekuja katika jukwa hili la...
Habari waungwana, nahitaji msaada kwa mtu yeyote aliye na mawasiliano na ofisi za N.I.T tafadhali kama ataweza anitumie moja kwa moja 0657496629.
Natanguliza shukrani
Ndugu wanajamii,
Mimi ni mtumishi wa umma katika taasisi fulani. Naombeni kufahamishwa Kama kuna waraka wowote wa serikali uliobadilisha viwango vya posho ya kujikimu. Mfano kumekuwa na tetesi...
Naomba kufahamu hili jambo kisheria,, inakuwaje pale mwananchi anapokosa haki yake ya kimsingi kwa mujibu wa katiba kutokana na uzembe wa mamlaka za kiserikali?
Je malalamiko ya kisheria...
Habari,naomba mnisaidie kuna kibarua wa miaka 6 nauliza hivi kuna sehemu nafanya kazi kwa Wahindi kuna watu wapo wanafanya kazi zaidi ya miaka5 lakini ni vibarua je hii ni haki,na kama si haki...
habarini wana jamiiforums, poleni na majukumu ,ombi langu ni kutaka kupata ushauri kwa hili ninamdogo wangu wa kiume ni mtumishi serikalin ,kwa bahati mbaya alikuwa anauhusiano wa kimapenzi na...
habari wanajf.
nlikopa shs 1.2milioni toka faidika july mwaka jana, nikapiga simu kwa wahusika mwezi october wakanisms kuwa nitawalipa shs 3.3milioni kwa miezi 36. zilipotoka salary slip za dec...
Heshima wakuu
Naombeni wataalam/ wajuzi kwenye tasnia ya kisheria mnielekeze mambo yafuatayo;
1. Mtu akipatikana mahakamani na kosa la "Dangerous Driving", hukumu/ faini yake itakuwa nini?
2...
Nimeliita ni janga kwani ukiandika barua ya kuomba uhamisho wa kituo chako cha kazi unaambiwa tafuta mtu wa kubadilishana naye.
Sasa mimi nimpate wapi? na ikiwa nikamtafuta na nikamkosa,that...
Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mahakama kuu ya Tanzania imemwachia kwa dhamana msanii wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael aka Lulu aliyekuwa mahabusu katika gereza la...
Kuna kijana tulimwajiri Saluni kwa miaka kama 2 hivi.
Tulimuamini kupita kiasi ,kuna kipindi alihitaji generator akasema lipo lina uzwa used linafaa ,tukampa laki 4 akanunua .Alitumia GENERATOR...