Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wasalaam ndugu zangu, iko hivi
Nilipata Kazi taasisi moja hapa Dar nikiwa mkoani mwanzoni mwa mwezi huu wa 12. Kutokana na kutokuwa na ndugu ambaye ningeweza kufikia kwake ilibidi nitafute chumba...
Wanasheria wetu naomba Ufafanuzi katika hili Jambo.Binafsi pamoja na Elimu ndogo niliyonayo na uzoefu wa matukio yaliyowahi kutokea naamini Mbunge anapofukuzwa Uanachama anakuwa amepoteza Sifa ya...
Mtu akiwa na mahusiano na mwanafunzi na wakashiriki ngono bila kutokea mimba je adhabu yake inakuaje?
Maana kesi zote nilizoskia adhabu ya miaka 30 inatolewa pale tu binti anapopata mimba , je...
Habari wakuu,
Juzi nilinunua simu aina ya Samsung galaxy, sasa nikaona niiwekee protector.
Kwa bahati mbaya fundi wakati anajaribu kuweka protector akawa amepasua , kioo cha simu yangu hadi...
Ndugu wadau
Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Naomba niende moja kwa moja kwenye shida yangu, tarehe 24/2/2020 Kama familia tulipata msiba wa kuondokewa na MZEE wetu aliyetangulia mbele za...
Kwa wanafunzi na wale wanaoanza practice ya criminal, hizi zinatumiwa kama checklist kwenye trial Subordinate na High Court na appeals High Court na Court of Appeal. unaweza kuokota kitu.
Jana nilikuwa sehemu vijana walifanikiwa kumalizana mizozo ya viwanja
Sasa wamekubaliana kugawana kiwanja cha mama yao Chenye hati moja
Wanataka msaada jinsi ya kutenganisha hati moja ziwe...
Habari zenu wana jf,,, naombeni misaada wa mawazo na mawazo ya kisheri... Nipo katika wakati mgumu
Mimi baada ya kuhitimu MBA programme naliamua kujihusisha na shughuli za biashara. Kuanza na...
Wakuu najua Hii Forum Ya JF Ina Wababezi na Wataalamu wengi sana. Hivi Ni Nyaraka gani huthibitisha uraia wa Mtanzania?.
Je, cheti cha kuzaliwa ni nyaraka mmojawapo ya kuthibutisha urai wa...
Wasalaam ndugu zangu.
Niende Moja kwa mojakwenye mada
Ikiwa wazazi wameachana na watoto wakawa wanaishi na mama kwa kuwa baba ameoa mke mwingine,je ni sahihi mama wa watoto kukatazwa kujua watoto...
Maana ya ndoa
Kwa mujibu wa Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao.
Aina za ndoa
Kuna aina mbili za...
habari wanaJF kesi mahakamani hususan mahakama za mwanzo ikifutwa na kama kumetokea hitlafu katika ufutaji kesi hio ni taratibu gani za kuchukua kufufua kesi hio na kama hujarizika na ufutaji wa...
Je, ni haki kisheria familia yangu ya mke na watoto inishtaki ikidai mgao wa pesa unaotokana na shamba la urithi la ekari 20 nililouza? nilipewa shamba hilo ukiwa ni urithi wangukutoka mali ya...
Habari🖐
Nahic kila mtu ameshawahi kuona au kusikia kesi za ubakaji, sometimes ni kweli ilitokea na sometimes haikutokea.
Hapa nazungumzia kesi ambazo mwanaume amekuwa Falsely accused and it was...
Kuna jamaa aliniuzia ardhi miaka kama 14 iliyopita, Mimi nikaendelea kutumia, mwaka huu wameibuka ndugu zake wanasema ardhi ile ni ya urithi(familia) ambayo baba yao alirithi toka babu yao hivyo...
Anaandika Nyemo.H Nyemo toka Facebook
Habari za usiku huu,
Naombeni msaada wa kisheria. Leo nimeingia kwa pilato!
Iko hivi wakuu, mzazi wangu wa kiume (baba) alipofariki miaka kadhaa iliyopita...
Naomba kujua kama mtu aliomba mkopo then katika mkataba yule mtoa mkopo hakuweka kipengele cha "madhumuni ya mkopo",je ikitokea shida mbele ya safari yupi anafaidika mkienda mahakamani?
Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?