Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

what does the term commission report means
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Kwa wenye uelewa naomba kujua hapa nchini kwetu kuna adhabu gan imewekwa kwa mtu atakae piga/sambaza picha za uchi,mwenye uelewa naomba msaada
0 Reactions
0 Replies
5K Views
the national language of tz is kiswahl but why the mother law of the land is both english and kiswahili?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilivamiwa na kibaka akanijeruhiwa na kuninyang'anya simu.Baada ya hapo nilikwenda hospital bila PF 3 na kupata matibabu na kurudi nyumbani bila kwenda Polisi.Wakati kidonda kinaanza kupona...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo?! Kutokana na kuongezeka kwa matukio ya ugoni, wanaume kufanya mapenzi na wake za watu na wanawake kufanya mapenzi na waume za watu, hali hii sasa imechukua sura mpya baada ya...
0 Reactions
39 Replies
23K Views
Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesigwa Lukaza wakiwa mahakamani wakisubiri hukumu KWA UFUPI Akitoa hukumu hiyo jana Kiongozi wa jopo la Mahakimu watatu wanaoisikiliza kesi hiyo, Jaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KESI MIRATHI YA NYUMBA KARIAKOO Wakuu salama ! pana kesi ningependa kupata uwelewa, Bibi hakuzaa aliacha nyumba kariakoo, alikuwa anaishi na binti wa jamaa yake wa ukoo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hili nimeona niliweje hapa ili wadau mbalimbali waje watoe maoni yao. dereva anapokamatwa na traffic ana haki gani kama ambavyo traffic pia ana haki gani. 1. je ni halali traffic kuchukua leseni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nataka Kuchukua Certificate Ya Sheria Nipen Vigezo Ndugu Nifanyaje Au Niambatanishe Nini?
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Memberz habar za jion nikijana ambaye naitaji ushauri wenu kuhusu kufungua kampuni tuna grp mtaani kwetu na tumepata wazo lakufungua kampuni je ni kampuni ya haina gani itatufaa kwenye kundi letu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu walifunga ndoa na mumewe 2002, mumewe hakuwa na kazi na elimu ya mumewe ilikuwa kidato cha nne kwakweli alimpenda mumewe kwa dhati. Mwanamke kipata chake ni kizuri (mwaajiriwa)...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Wakili Maarufu nchini,Alex Mgongolwa amekosoa kitendo cha Serikali kutimiza siku ya saba bila ya kuwapo kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali akisema si sahihi. Amesema licha ya kwamba yupo Naibu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mfano nimepata kazi taasisi au kampuni fulani na nimesaini mkataba wa zaidi ya mwaka...ikatokea hapo katikati nimepata kazi nyingine ambayo kwangu ina maslahi zaidi..kisheria utaratibu wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi nani kawambia kuwa kada wa ccm ni kuwa hakimu,maana inasikitisha kuona viongozi tena wa ngazi ya chini kabisa(kitongoji) wanachukua sheria za kumzidi hata rais.Mwenyekiti mmoja wa kitongoji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, kuna ukweli kwamba unaweza ukawa msomi sana na bado ukawa huna uwezo wa kutumia kisomo chako katika kuamua mambo. Kwa kifupi, mtu aliyesoma sana mambo ya utawala haina maana ndiye atakuwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
lawyers naombeni msaada natafuta case/ decisions za Fair Competition Commission ambazo zime determine kwamba intellectual property rights ambazo ni'' protected ni anti- competitive practices...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWA UFUPI Hata hivyo, wakati rushwa ikishtadi nchini, Watanzania wengi hawana taarifa za kutosha na wengi zaidi hawajui kabisa kuhusu kashfa kubwa za rushwa zinazoelezwa katika vyombo vya habari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamii!,tafadhali naomba kujuzwa kama inawezekana kuuza ardhi ambayo nimenunua kwa mtu na nipo kwenye hatua za mwisho za kuaptiwa hati mpya kwa maana nimefanya transfer.nimepata mteja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mahakama ya mwanzo iliyopo katika wilaya ya korogwe vijijini maeneo ya makuyuni-mombo,ni si sehemu salama kwa haki za binadamu.hakimu mkazi wa mahakama hiyo anae julikana kwa jina la mbwana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau poleni na majukumu ya kila siku Leo nilikua nataka kujua haki yangu kisheria maana ijumaa iliyopita katika harakati zangu za kibiashara nilijikuta kazi zangu zimesuasua kweli kweli maana ATM...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…