Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wanajanvi naomba kujuzwa kama kuna sheria inayomlazim mtu kuomba kibari ili kifanya maandamano yawe ya arusi au ya chama au unatoa taarifa tu vyombo husika kama polisi?
Habari zenu wadau. Mimi naombeni kujuzwa tu kiudadisi, je sisi wapangaji wa eidha chumba au nyumba tuna haki yoyote ya kisheria baada ya kukubaliana ya kwenye mkataba? Asanteni.
POLENI SANA WAANDISHI MLIOCHAPWA NA ASKARI JANA
Ndugu watanzania wenzangu naomba nianze kwa kuwapa pole wale wotewaliofikwa na matatizo ya kuchapwa na Askari jana pale Makao makuu ya Jeshi la...
Inaonekana wengi tumeaminishwa na Tamko la TCD kuhusu maazimio ya kikao chake na Mh Rais, najiuliza;
Hivi TCD kina mandate gani ktk nchi hii? (naamini ni NGOs
Hivi tamko hilo lina legality...
Dada mmoja amenishtaki ustawi wa jamii kuwa nilimpa mimba mwezi mmoja kabla ya kuolewa na mume aliye nae sasa
Japo ametoka kwa mumewe muda mrefu bado ansendelea kunizonga na kunisumbua...
Habari wanajamvi, nimekuja huku leo ninahtaj msaada wenu. Japo sio mwandishi mzuri lakin naamin mtanielewa.
Mimi ni msichana niliolewa na nikabahatika kuzaa watoto wawili (mapacha) wa kike na wa...
Una kimada mmezaa naye mtoto baadaye akapata bwana akauacha. Hakuishia hapo akakwambia waziwazi huyo mtoto siyo wa kwako, ati unaendelea kutoa matumizi?
Habari zenu wadau,
Kwanza niwapongeze waliobuni na kuanzisha jukwaahili ambalo siyo tu ni chanzo cha habari mpya, burudani bali pia kisima chamaarifa. Hapana shaka kuwa kila anayetembelea jukwaa...
Wadau wa Sheria naomba mawazo yenu:
Ninamiliki kiwanja chenye hati na kimepimwa, ndani ya hicho kiwanja nilikuwa nimejenga nyumba moja na baadaye nikaona kuna nafasi ya kutosha nikaongeza nyumba...
Ndugu,Wanasheria,eneo Letu La Familia Limefuatwa Na Bara Bara, Lipo Nzega, Malipo Yalolipwa Ni sh 150 kwa mita skwea moja ya ardhi, eneo lipo ndani ya mji,ni dakika 4 tu toka nzega mjini, ukubwa...
Wakubwa Shkamooni wadogo Habari zenu.
Mwanamke mmoja wa nchini Marekani ametupwa jela miezi 30 na kufanyishwa kazi ngumu baada ya kukiri kubadilishana watoto wawili kwa ndege aina ya Kasuku...
Naombeni mnipatie ushauri. Nimewakodisha Prado kampuni ya Travel Partner, wao wanaazimaga magari ya watu kwa kuwa hawana magari ya kutosha kukidhi mahitaji ya wateja wao. Baada ya kunisumbua sana...
Habari zenu?? Nlikua naomba soft copies za "The employment and labour relations (code of good practice) rules 2007 na labour institutions(mediation and arbitration) rules 2007 km kuna mtu anazo.
Oscar Pistorius could also be convicted of a lesser murder charge or negligent killing, both of which call for years in jail. The judge Thokozile Masipa, 66, could acquit him if she believes the...
Wadau nisaidieni, mfano mwalimu nimepangiwa Mwanza nyumbani Mtwara. Ntalala Dar kabla kufika Mwanza. Je pamoja na nauli ya kutoka Mtwara kwenda Mwanza. Nastahili kulipwa gharama ya kulala njiani?
Wakuu wa Sheria naombeni msaada,
kuna jamaa yangu mmoja wametofautiana na mkewe na mke amerudi kwao kama miezi minane iliyopita,
katika kujadili naye akanieleza walikuwa na argument ya kawaida...
mimi ni mfanya biashara wa mpesa hapa jijini mwanza mwaka jana nilivamiwa na majambazi wakachukua 19. m badae niliitwa polisi nikamtambua mtuhumiwa1 kesi ikafika mahakamani nikaitwa kutoa...