Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Poleni na kazi ngumu ya utafsiri sheria, hata hivyo nahitaji kujua au kupatiwa nakala (softcopy) kwa lugha ya kiswahili za vitu vifuatavyo:
1. mwenendo wa makosa ya jinai
2. Taratibu za sheria...
Wanasheria msaada, kuna stamp duty act 1972, which requires any instrument specified in the schedule to the act executed in mainland Tanzania to be chargeable with duty. Swali: Mkataba wa mauziano...
Mimi ni mwanafunzi niliyesoma Chuo cha Mwl Nyerere, nimeandamwa baada kutoa ushahidi wa Mwl aliyeniomba rushwa ya ngono. Nilirekodi tukio lote kwa kutumia simu na hadi nina sms niliyomtumia hela...
Habari huku wakubwa.
Kuna tetesi kuwa wafanyakazi wapatao 200 na zaidi wamestaafishwa kinyama bila huruma wangali wadogo na mchango wa taifa bado unawategemea.
Wamepewa taarifa ya maamuzi hayo...
Nimeulizwa swali juu ya mustakabali wa kisheria wa Wanafunzi wa Kidato cha Tatu huko Morogoro waliopeana mimba
Je Kuna Mkondo wowote wa kisheria nyuma yao (hasa mvulana)
Nini Hatma yao wote...
Nawaomba wataalamu wa sheria wanisaidie katika haya:
1. Sijalipwa mshahara na mwajiri wangu tangu Septemba 2013 mpaka sasa.
2. Nilistaafu tarehe 30.06.2014 baada ya kufikisha umri wa miaka 62...
Kama file la kesi ya Madai likiwa halionekani mahakamani ni madhara gani mm mlalamikaji naweza kuyapata?
1. Kesi inafutwa
2. Linafunguliwa Lingine
3. Pesa Ambazo namdai mtuhumiwa ndio...
Habari zenu wanajf kwa ujumla.
Nawapa kisa kimoja kilichotokea wakati niko kwenye daladala mali ya UDA, ilikua jumatatu ya wiki hii nilipopanda gari la UDA lililokua linatoka ubungo kwenda gongo...
Members nadhani wapo wengine kama mimi ambao wanaona sio sawa kwa mtu kuikataa hali ya uhalisia wake aliopewa na mungu, kwa wale waliozaliwa miaka ya 70 kurudi nyuma watanielewa vizuri zaidi...
Wakuu habari zenu,
Kwa wataalam wa sheria ninapenda kujua jambo lifuatalo kwani kuna ndugu yangu amejikuta ktk mvutano na mwajiri wake ili tuone kama kuna namna anweza saidika.
Mosi ya alikuwa ni...
Nilisema katika comments flani hapa JF kuwa Mh.Kikwete hafai kuwa Raisi kama hawezi kulivunja Bunge ,wanasema hana ubavu au hakuna kifungu kinachomruhusu na kumuwezesha kulivunja Bunge la Katiba...
Kijana mmoja alikuja kuomba ushauri kwangu na haya ndiyo maelezo yake,anaomba ushauri kwa wanaoijua sheria.
Mimi nilikuwa mmoja wa kundi la majambazi waliotingisha sana nchi na kuiba bila...
counselors, may I have your assistance plz, nimejaribu Kutafuta legislation inayosimamia masuala ya ujenzi WA minara, unfortunately sijaipata.....ur help plz
Jamani naombeni ushauri.
Nilipanga nyumba self, doubleroom, miezi 6 kwa ths 80,000 kila mwezi, mwenye nyumba alisema baada ya wiki 2 umeme na maji vitakuwa vimeingia...hivyo sikuona shaka. Sasa...
Mara nyingi nimekuwa nikiona kesi za ubakaji thidi ya wanaume, je endapo mwanamke amemuingilia mwanaume bila ithini yake, je sheria inamruhusu mwanaume kushtaki? Embu wataalam wa sheria mtusaidie!
Jina lake kamili ni Edson oswald Mbogoro.Ni mwanasheria wa kujitegemea aliyepitia machungu mengi ikiwa pamoja na kuporwa ubunge na Nchimbi kule Songea lakini bado ameendelea kuwa mpiganaji na...
Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu...
Anna Tibaijuka najua ni memba humu, ni lini mtateua au kuajiri mwenyekiti baraza la ardhi la wilaya maswa? Cc Mwigulu Nchemba mpe mama hela za kuajiri, wana maswa watahisi mna ajenda ya siri
By Faustine Kapama THE government will not be taken to the International Court of Justice (ICJ) if the High Court will invalidate a decision calling for recalculation of tariffs paid to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.