Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wakuu poleni na majukumu. Kunamzungu ambaye alikuwa expat hapa Tanzania na mda wake wa kuishi nchini umekaribia kwisha, kuna silaha (bunduki) anayeimiliki kisheria, ningependa kununua kutoka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni muda mrefu nafatilia kesi ya m ama ambae anaumwa tangia mwaka 2012.ajabu nikwamba jarada halionekani,nilienda mahakama ya wilaya ambapo kesi hiyo ilihukumiwa wkadai file liliitwa mahakama kuu...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Kumeshawahi kuwa na propaganda lukuki hapa jamvini kuhusu Marando kuwatetea watuhumiwa wa EPA etc. kuwa ni indication ya namna gani hapaswi kuaminika. Muda si mrefu nilikuwa naangalia TV nikaona...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wapendwa wana JF, Mimi na wenzangu kumi na moja (11) ambao ni Walimu kwa taaluma - tumesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazotukabili za kuto-mtii mwajiri wetu mahala pa kazi...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Sheikh Farid Hadi Ahmed amemuomba Rais kuunda tume itakayowahusisha watu kutoka Tanzania Bara, Zanzibar, wanasheria na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanasheria, Kuna jamaa wawili wanangoma nawafahamu ila wanaishi maeneo tofauti,tatizo la hawa jamaa yani wanakula watoto wadogo hovyo hovyo! Kama kuna taasisi yoyote wani PM niwape namba...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Wakuu hawa jamaaa ni noma sana. Leo watu wamepata elimu kubwa sana kuhusu rasimu ya pili ya katiba maeneo ya kata ya Kiranyi Arumeru. Kwa kweli wanajitahidi sana wanatoa vipeperushi na cd zenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MMOJA wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Je wajua kuwa una haki ya Kumshtaki Wakili wako Mzembe Ni bahati mbaya kuwa wanasheria ndiyo waelimishaji washeria, hivyo basi nivigumu kukuta wanatoa elimu inayowanyooshea vidole. Kupitia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wajuvi wa masuala ya sheria msaada tafadhali.Hivi huyu mkurugenzi mkuu wa mashtaka anashughulika na kazi gani mahakamani.Pili je,ni katika mahakama gani huwa anashughulika zaidi? Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda (mwenye kanzu) akiwa chini ya ulinzi wa polisi mara baada ya kuahirishwa kwa kesi yake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni familia ya mke wangu wanahangaika na hii mirathi mpaka leo tangu mwaka jana. Suala ni kwamba watu wa hazina wamesema wameshatuma hundi tangu tr.21/09 kwa hiyo ikishafikia hatua hiyo what comes...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Issue ni kuwa nimemdhamini bwana mmoja mkopo kutoka benki ya CRDB. Jamaa kakimbia na kaniachia deni. Kwa kuwa kamshahara kangu kanaflow kupitia benk yao jamaa wananikata kila mwezi. Na jamaa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvini. Ninaomba mwenye vitabu vya sheria hasa llb vilivyo kwenye softcopy naomba anitumie niweze kutumia katika uwanja wa sheria email yangu ni alphredmahunja@gmail.com
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Sidhani kama kuweka label kwenye kazi za wasanii kutatatua tatizo la kazi zao kuibia kwa sababu bado zinaweza kunakiliwa kama kawa na kuuzwa ukizingatia wateja wengi wanatafuta unafuu. Kwanini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habarini ndugu, naomba kujuzwa kazi ya bunge letu ni kutunga sheria au kupitisha sheria?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaaamu, Kuna vifungu vya sheria vinavyohusu Wajibu wa kila raia katika suala la Ulinzi na Usalama wa Taifa ambavyo huwa vinatutatiza wengi tu na mimi nikiwemo. Labda kwa leo niviweke hapa ili...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Nimesikia Kila Wakitajwa Wanashelia(haswa Mawakili) Wanapambanuliwa Na Sifa Ya Usomi, Yaani Kila Likitajwa Jina La Wakili Linaambatana Na Sifa Ya Usomi Mf; Mwanashelia Msomi Tundu Lisu, Wakili...
0 Reactions
179 Replies
19K Views
kwa wale walo apply intakes za Feb 2013 na August matokeo yametoka,tembeleen web
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Back
Top Bottom