Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Pole na majukumu wakuu.Naomba ufafanuzi/maelezo kuhusu likizo ya uzazi. Je,mwajiriwa mwanamke aliyejifungua ambaye hajatimiza miezi nane kazini tangu ajiriwe ana qualify kupata likizo ya uzazi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je ni kitabu gani chenye mwongozo wa namna ya uendeshaji wa mashitaka ya jinai katika mahakama?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeombwa ushauri na rafiki yangu mmoja nimekosa jibu la kumpa issue yenye iko hivi: Ni mkaka wa miaka 40 alikuwa na mahusiano na mdada mmoja wakaja wakaachana kutokana na huyo mkaka kupata...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
wadau kuna habari moja iliandikwa na gazeti la Mtanzania kuhusu kukwama kwa Tume ya kuchunguza uvunjaji wa sheria wakati wa kutekeleza oparesheni tokomeza. jamaa wametoa ufafanuzi. nimeudaka...
1 Reactions
0 Replies
846 Views
Habari wana JF. Hii ni mara ya pili ninarudia kuandika kisa hiki kilichotokea kwa Marehemu profesa Mmoja kwa jina tunamhifadhi. NI vizuri kuandika hii hadithi ili Jamii iweze kutambua uzembe wa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
ninamgogoro wa ardhi katika baraza la wilaya kesi bado japo nimemaliza kutoa ushahidi kwa upande wa mdai na pia mdaiwa anatarajia kutoa ushahidi wake. yapo mambo ambayo naomba msaada wenu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni msemo mzuri na wenye maana yake inayojipambanua. Lakini ktk uhalisia ni kwamba kuna watu wako juu ya sheria hasa hapa TZ. Kwa namna walivyojipanga na kuzitafasiri sheria mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Natuhumiwa na kesi ya kutotunza kumbukumbu za dereva. Mambo yalikua hivi, tarehe 8/6/2014 jamaa alichukua pikipiki yangu kwa ajiri ya shughuli zake binafsi huwa namuazima kila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je ukikamatwa na kizibiti/ushahidi mfano unauza bangi,ukakutwa na gunia 5 au unauza gongo,ukakamatwa na dumu 20 za lita 20. 1. Je ukifikishwa mahakamani kizibiti chako chote kinaletwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndg wanasheria, Kuna rafiki yangu mmoja alimpaga ujauzito binti yeye akaenda masomoni,imepita miaka mitatu hajarudi lakini wazazi wake walimtoleaga mahari huyo binti na akaenda kuishi kwao na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tumesikia Serikali ya Uganda ikiwekewa vikwazo na inayoitwa jumuiya ya kimataifa kwa kuweka sheria inayoharamisha ndoa na vitendo vya mapenzi ya jinsia moja. Serikali ya Uingerza pia imetangaza...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari zenu wandugu! Kuna jamaa kaniuliza swali kuwa RB ile ambayo mtu akiripoti tukio polisi huwa anapewa kirefu chake ni nini? Sikuwa na uhakika na jibu langu lakini nilijibu nadhani itakuwa...
0 Reactions
29 Replies
45K Views
Kwa kuwa mpaka sasa mchakato wa kupata katiba mpya umevurugwa kwa makusudi kukidhii masilahi ya makundi machache katika jamiii haswaa WANASIASA nashauri TLS (Chama cha wanasheria Tanganyika)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina mpwa wangu kaolewa miaka mitano iliyopita. Kabla ya kuolewa alikuwa mfanyabiashara, na alipoolewa mumewe akamwambia afunge biashara yake wawe wanafanya pamoja akakubali. Baada ya muda...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
wana JF naombeni mnijuze hv ili uwe mwanasheria unatakiwa uwe umesomea kombi gani???
2 Reactions
19 Replies
9K Views
Wana JF poleni na mihangaiko ya toka asubuhi. Leo baada ya kutoka kanisani nilimkuta mama mmoja jirani yangu, akaniomba ushauri ila ilikuwa ngumu sana kwangu kumpatia jibu la moja kwa moja. Mama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CHADEMA wana wanasheria makini kama Tundu Lissu,Marando,prof. Safari,Kibatara,Kichere,Kimomogoro nk. Walioishinda serikali dhidi ya kesi za uchochezi,uchaguzi,ugaidi nk. Mawakili hawa...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imeweka zuio la muda kwa uongozi wa muda wa Kampuni ya Uwekezaji ya Taifa (Nicol) kwa kuitaka kutojihusisha na biashara au shughuli yoyote ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna (CP), Suleiman Kova, amewataka madereva wanaoendesha vyombo vya moto, kutoa taarifa za askari wanaodai rushwa pindi wanapobainika na...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Jamani naomba kujuzwa mambo haya. 1. Mtu anapo nunua gari kutoka kwa mtu binafsi maandikishano yanatakiwa kimsingi yafanyikeje? 2. Ni vitu gani vya msingi anatakiwa avipata kutoka kwa muuzaji...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom