Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari wanasheria wa JF jamani rafiki wa marehemu baba yangu,alipewa heka moja na nusu kwa maandishi,baada ya baba yetu kufariki tu kafungua kesi kwamba watoto wa marehemu tunamwing ilia eneo lake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu humu ndani,ningependa kujua kama kwa Tanzania,unapowekwa chini ya ulinzi unakua entitled to miranda rights?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwezi wa Pili tarehe 10 niliandika barua ya kuacha kazi, notice ya siku 28, nilichokizoea na kukijua mimi ni kwamba mtu akiandika barua ya kuacha kazi then respond za majibu juu ya kuacha kazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. KWA UFUPI Makosa yaliyokiuka Sheria ya Wanyamapori namba 5 ya 2009 ni wageni kuwinda wanyama wasioruhusiwa kinyume na sheria. Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamii. Mimi ninapenda sana kufuga KASUKU nyumbani kwangu kutokana na vimbwanga vyake na pia nina mapenzi sana na ndege wa kufugwa.ila nasikia kuwa lazima niwe na kibali kutoka...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
wana jamvi napenda kuuliza, mm ni mfanyakazi ktk kampun fulan hapa nchi, kipindi cha nyuma makato ya mfuko wa jamii(NSSF)tulikuwa tunakatwa kwenye GLOSSY,hv karibun mwajili ametuambia kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I need a lecturer who will help me to proof read my ll.b research paper.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tulipanga chumba kwa mkataba wa miezi 12.tukalipa fedha yote. Mwenye nymba kanipa notice niondoke mwezi wa kumi. Nimeona nitafute chumba kingine,nimepata.Namtaka mama anipe hela yangu kwa miezi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba msaada jamani wana JF kuhusu hili:- Mimi nimehitimu elimu ya Sekondari mwaka 2008 lkn bahati mbaya matokeo yangu hayakuwa mazuri sana ya kuniwezesha kuendelea na kidato cha V, lakini wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada wandugu , wazazi walifariki 17 years ago , hakuna mirathi iliyowai funguliwa, inawezekana ikafunguliwa now? gharama kiasi gani kwa lawyer kusimamia hii kesi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tangu Kombe la Dunia limeanza hawa jamaa wamekuwa wanalazimisha kuniletea updates za matokeo ya michezo hiyo kitu ambacho sijakiomba kutoka kwao na kila SMS ikiletwa nakatwa hela. Nimejaribu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, ni jumatatu nyingine bila shaka kila mmoja yuko kwenye harakati za ujenzi wa taifa. Naomba kusaidiwa juu ya utaratibu wa kucertify vyeti kwa ajili ya maombi ya kazi. Je inaruhusiwa ku...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wadau naomba msaada wa kisheria. Nimehukumiwa nimlipe mshtaki wangu milioni sita wakati kazi sina na wal sina asset yoyote ninayoweza kuuza ili kupata pesa hiyo.Itakuwaje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wanajamvi,naombeni mnisaidie hili swali,with relevant authorities(case laws,books and acts) under which circumstances may a minor enter into a contract.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu, hivi ikibainika kua mwanamke anapanga njama za kumuua mumewe na ikathibitishwa kua ni ili arithi mali na ushahidi ukawa ni wa sms ambazo anawasiliana na ndugu zake kutaka kufanikisha...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu, naomba kufahamishwa ni kosa kuwapiga picha askari wakiwa kazini kwa mtu ambaye si mwandishi wa habari? Naomba kujuzwa kama ni kosa sheria inasemaje? Mfano wakati wanamkamata mwizi mtaani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kampala A court in Kampala has ordered former vice president Gilbert Bukenya to defend himself against allegations that he seduced the wife of his former...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
"Majaji waliamua kuwa mkewe Mason hakufanya kosa lolote" Kuna kisa kimeibuka nchini Uingereza ambapo mwanamume mmoja kwa jina David Mason, mwenye umri wa miaka 30, alimshitaki mkewe Brenda kwa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
habari wakuu polen namajukumu.kuna rafiki yangu alikua na mke na mtoto 1 huyu mwanamke alimuoa baada ya kupata mimba inamaana walikua marafikitu kabla.na walikutana huku mjini jamaa mchaga mke...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
SIKU ya Jumatano 25,Juni 2014 mahabusu tisa wa gereza la Wilaya ya Geita mkoani hapo walivua nguo hadharani mbele ya Mahakama ya Wilaya kwa madai ya kucheleweshwa kusikilizwa kwa shauri lao. - See...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom