Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Sasa ni miaka 62 tangu MORTGAGOR a- mortgage eneo lake la ardhi kwa mtu (mortgagee) kwa kiasi pesa ambaye ana miaka 44 amekufa . Mortgagor amekufa some 27 years back . Watoto wa Mortgagor leo...
0 Reactions
4 Replies
895 Views
Nimekuwa nikifuatilia hukumu anazotoa judge Matuma. Ni Judge wa haki with higher power of reasoning. Judgment zake zinatokana na use higher mental faculties in dealing with the law, and evidence...
1 Reactions
8 Replies
716 Views
Ndugu wa JF hapa kuna Mvulana ( Sio Mwanafunzi) alikamatwa na Msichana (Mwanafunzi). Alipokamatwa akaitwa mtendaji wa kata pamoja na baba mzazi wa binti. Kesi ikapelekwa Polisi then mahakamani...
8 Reactions
166 Replies
7K Views
Napenda kujua, Je inakuwaje kama nimeomba mkopo Benki na afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo lakini Benki wakachelewa kunipa mkopo ule. Hadi wakaanza kunikata makato, kisheria imekaa vp km...
1 Reactions
10 Replies
605 Views
Naomba kufamaham kuwa kisheria inakuwa vp km afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo wangu kutoka Benki na Benki hawajaniwekea fedha ktk akaunti. Je, naweza nikawashtaki na wakapatikana na hatia?
0 Reactions
6 Replies
569 Views
Habari waungwana. Jamani naomba kujulishwa ninavyojua mimi kuwa Bima (Insurance) ni makubaliano baina ya mwenye mali anaehitaji bima na mtoa huduma. Kwa kawaida kwa vyombo vya moto bima ya third...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Wanasheria,swala la mtu akishindwa kulipa deni la taasisi fulani na Taasisi hiyo kuandika barua ya mnada kunadisha mali za mhusika na hiyo barua haijaandikwa na mahakama hilo swala limekaaje kisheria
0 Reactions
4 Replies
933 Views
u
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari ndugu jamaa na marafiki kwenye hili jukwaa sheria, niende kwenye Maada moja kwa moja. Nilikuwa nimesafiri kurudi nikakuta eneo langu lenye ukubwa Wa eka 5 eka 3 nimepanda miti aina ya paina...
2 Reactions
11 Replies
880 Views
Good morning wapendwa,,, Naombeni msaada wa kisheria katika Hili. Kuna mtu nimekutana nae na kufahamiana nae. Elimu yake ni ngazi ya diploma(uhasibu) lakini ufaulu wake KIDATO Cha nne ni daraja la...
1 Reactions
68 Replies
2K Views
Habari zenu Wana jamvi,naomba msaada wa kisheria kuhusu kubadili jina nililosomea kwenda jina langu halisi. Ipo hivi nilipoanza kidato Cha kwanza nilitumia jina la mtu ambaye aliacha shule so...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naomba anayejua maana ya gazeti la serikali ni nini. Naskia skia tu gazeti la serikali lakini sifahamu ni gazeti la HabariLeo au Daily News au ni lipi hilo?Msaada pls.
0 Reactions
44 Replies
23K Views
Nataka kufahamu zaidi kuhusu utoaji wa mahari kwenye masuala ya ndoa kama:- 1. Mahari ni nini? 2. Mahari ni muhimu katika ndoa? 3. Bila mahari ndoa hiyo ni batili? 4. Nani anahusika kupokea na...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari ipo hivi, Mimi niliolewa ila nilitengana na mwenzangu, tuna watoto wawil. Mmoja miaka mitatu mwingine ana mwaka mmoja, sasa baba yake amekuwa mwiba kwangu ananitishia sana kuhusu...
16 Reactions
118 Replies
5K Views
Habari kwenu wanabodi, naleta swali hili kwenu, Je, ni kifungu gani cha sheria kinacho regulate utoaji wa maiti kutoka vyumba vya kuhifadhia maiti maarufu kama mochwari (mortuary)? Maana katika...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Niliajiriwa mwaka 2013 kama mwalimu wa sekondari, mnamo 2015 nliacha kazi kwa kufuata taratibu na kwenda kufanya shahada ya pili katika eneo lingine ambapo kimsingi nisingeweza kupata ruhusa kwa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Marital Rape: Je, Mume anaweza kumbaka mke wake? Ni ukweli unaokubalika ya kwamba Mume na Mke katika zama hizi za kisasa wako sawa kama ‘partners na kila mmoja akiwa na haki iliyo kamili...
0 Reactions
277 Replies
62K Views
Nilianza shule nikiwa naitwa X nikasoma mpaka darasa la sita, nikafukuzwa shule, ilikua private na sikuweza pata uhamisho. Nikaamia shule nyingine ndani ya wilaya hiyo iyo ya serikali lakini mkuu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
By ADAM IHUCHA | Special Correspondent | July 28 2012 A fresh row is brewing between Tanzania and Malawi over the ownership of Lake Nyasa, one of the world's largest freshwater bodies. Home to...
2 Reactions
102 Replies
34K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…